hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maboto aongoza kura za maoni Ubunge jimbo la Bunda Mjini

    Hongera sana Mhe. Maboto kwa kuongoza kura za maoni ya CCM Bunda Mjini. Sasa haki itendeke. Tusije tukaona mtoto wa Wassira akiteuliwa kuja kugombea Jimbo la Bunda mjini. Nasisitiza tena. haki itendeke. Aliyeshinda apewe haki yake.
  2. JamiiForums Tanzania Hongera Mwana JF, hatimae Vyoo vya Stand ya Mkoa Hapa Sumbawanga vimerekebishwa.

    Moderator utanisaidia kuweka link ya ule uzi na jina la mleta uzi. Kwenye uzi ule MwanaJF alionyesha hali mbali mbaya ya choo cha stand ya Mkoa pale Katumba, Sumbawanga. Na mimi pia nilichangia. Uzi huu ni appreciation kwa Jamii africa, mleta uzi na watekelezaji. Hongera JF, Hongera Mwana JF...
  3. JamiiForums Tanzania Kama uliweza kuvuka 30 na wala hauna addiction katika haya mambo au yameshndwa kunyonya kupindukia nishati yako na rasilimali zako, basi hongera sana

    Ni ngumu na mara chache sana ukishavuka 30 eti u-develop addiction mpya. 🚨KULA KUPINDUKIA FAST/JUNK FOODS 🚨KUNYWA KUPINDUKIA CARBONATED DRINKS 🚨 KUPUMULIWA KIFUA 🚨CLUBBING/PUBBING 🚨BETTING NA GAMBLING 🚨MITUNGI 🚨MIKASI 🚨NGADA 🚨SIGARA NA SHISHA 🚨MJANI 🚨OVER-MASTURBATION 🚨VIDONGE VYA...
  4. JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Serikali yetu kwa haya mambo makuu 3

    Benki kuu imezindua mfumo intergrated core banking system,huu ni mfumo wa kibenki ambao kwa miaka 24 iliyopita tulikuwa tunatumia mfumo kutoka nje ambao tulikuwa tunalipa kwa kuutumia,kwa sasa hatulipi kitu na mfumo umejengwa na watanzania na tumesevu bilioni 90 kwa mwaka. Leo tunazindua...
  5. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  6. JamiiForums Tanzania Uingereza yapanga Kutambua Taifa la Palestina Septemba Ikiwa Israel Haitasitisha Vita Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kuwa ifikapo Septemba mwaka huu, Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru endapo Serikali ya Israel haitachukua hatua madhubuti kukomesha vita na janga la kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Taarifa hiyo imetolewa Julai 29, 2025...
  7. JamiiForums Tanzania Aisee unakuta kuna mwamba anaendesha hii chuma. Aisee hongera sanaaa

  8. A

    JamiiForums Tanzania Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

    Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe...
  9. JamiiForums Tanzania Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

    Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam. Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA. Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Hongera Sana Tundu Lissu hakika utakumbukwa vizazi na vizazi

    Ukiangalia kwenye jicho la tatu bunge kuvunjwa August 3 mwaka huu Misimamo yako isiyoyumba Sasa imeanza kuzaa matunda Mwanzo tuliwaambia wakashupaza shingo Sasa naona no reform no Election imewaingia na wametupa taulo. Ni matunda ya Tundu Lissu kusimama kidete, kukubali kuteseka kwa sababu...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera TFF na TPLB kwa Hatua ya Kuleta Marefa wa Kimataifa

    Napenda kuipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi (TPLB) kwa uamuzi mzuri na wa kizalendo wa kuwaleta marefa wa kimataifa kusimamia baadhi ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara na Si nyingine ni kariakoo dabi Hatua hii imeongeza uaminifu, haki uwanjani, na kuimarisha...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Maria Sarungi, wahuni walitaka wakurubuni eti uje kumzika baba yako, usingelirudi duniani, ungepotea kama Mdude, Soka et al na wengine

    Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima . Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Hongera RITA kwa mfumo mzuri wa online services

    Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online. Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF. Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Hongera Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga kwa kuchangia tone tone!

    Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga ameomba samahani kwa vurugu zilizotokea katika mkutano wa Chadema mjini Igunga. https://twitter.com/Rydx_017/status/1932698774637318410?t=NO05ylCjFuDIiqyK310g0g&s=19
  15. D

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ipo juu sana tanzani. Hongera mama. Jpm aliogoa sana demokrasi kwa kuw hakujiamini.

    Wote tunakumbuka kipindi kile ukitokea we ni mpinzani unawindwa na akinq sabaya na makonda kwa maagizo ya yule nduli. Alifunga mikutano yote ya chadema kwa kuwahofia na hakuwa anapenda kabisa siasa ndo mana nchi iliongozwa kwa uongo mwingi mana hakukuwa na mkosoaji na aliogopa hilo Mama...
  16. JamiiForums Tanzania Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu. Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
  17. JamiiForums Tanzania Hongera Samia kwa kuilinda Jamhuri lakini Je Jamhuri inakulinda?

    Huu uzi ni Mfupi sana; Ni Pongezi tu kwa Rais Samia Suluhu kwa kuilinda Jamhuri kikamilifu na kushughulikia wachache ili wengi waendelee kuwa chini ya Himaya ya Jamhuri ya muungano ya Tanzania; Baada ya kufanya kazi hii nzuri unastahili Pongezi.Swali ni Je Mfumo Utakulinda?Au Utakutumia tu...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO

    Hii ni taarifa ya hivi punde. Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa. Pongezi nyingi kwake na watanzania. =============== Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Hongera Prof. Mohammed Janabi, Mkurugenzi WHO Afrika

    Hakuna jambo linafurahisha kama kuona mtanzania mwenzetu anapata mafanikio makubwa kimataifa. Sisi watanzania wazalendo tumeupokea taarifa za kuchaguliwa kwako kuwa mkurugenzi wa WHO Afrika matumaini makubwa. Nafasi aliyoipata Prof. Janabi ni ushindi wetu watanzania kama Taifa. Katika hili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna

    Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna. Mwaka 2021 magari ya mwendokasi yalikuwa yanatoka Kariakoo mpaka mbezi lakini sasa hakuna. Tunashukuru sana Rais Samia kwa kuwafanya wanyonge kuwa wanyonge zaidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…