Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya na Katibu Mwenezi wa CCM Leo jijini Dodoma kumehitimisha utumishi wa Dkt Bashiru na Komredi Polepole katika Utumishi wa chama cha Mapinduzi.
Utezi wa Dkt. Bashiru na Hamphrey Polepole katika kukiongoza Chama cha Mapinduzi ulirejesha matumaini mapya kwa watanzania...