holela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RC Makala: Tukiweza kuwadhibiti biashara holela, ajenda ya usafi itawezekana Dar es Salaam

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anaongelea mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Dar. Miongoni ni suala la wamachinga na kupoa kwa Serikali baada ya kutoa tangazo la kuwaondoa. RC Makala amesema kwasasa wameweka kipaumbele kwenye kutoa elimu na anaamini hawatafika kwenye kutumia nguvu. RC Makala: Ili...
  2. Hivi Serikali haiwezi kupima miji yote kabla ya ujenzi holela kuenea?

    Dodoma kwa sasa inaonekana imepangika kweli kweli. Kwa asilimia kubwa imepimwa, ikifuatiwa na mkoa wa Pwani lakini upande wa kuanzia Bagamoyo. Je, Serikali haiwezi kufanya hivyo kwa miji yote midogo na mikubwa?
  3. Ijue hatari ya matumizi holela ya vidonge vya kuzuia mimba

    Ujana ni maji ya moto. Ni msemo maarufu ukiwalenga vijana wakiwamo wasichana ambao ujana wao unawasukuma kujiunguza kwa ‘maji ya moto’. Hata hivyo kwa muktadha wa habari hii, maji haya ni kitendo wanachokifanya wasichana hao kutumia njia mbalimbali hata zisizo salama ili kuzuia mimba. Miongoni...
  4. Waziri Lukuvi awataka wamiliki wa ardhi kujenga kwa kufuata sheria

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kujenga kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu zote wakati wa kufanya ujenzi. Waziri Lukuvi alisema hayo mwishoni mwa wiki hii katika ofisi yake ya ardhi ya mkoani Dar es Salaam na Pwani...
  5. Matumizi holela ya vidonge vya uzazi wa mpango vyaongeza Saratani ya matiti kwa mabinti

    Ongezeko la saratani kwa wasichana latisha TAASISI ya Saratani Ocean Road (ORCI), imebainisha kuwapo ongezeko la saratani ya matiti kwa wasichana nchini, kunakochagizwa na matumizi holela ya vidonge vya uzazi wa mpango. Imesema wasichana wenye umri kuanzia miaka 25 ndio kundi lililothibitika...
  6. Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji la Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50

    Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50 Jiji la Mwanza chini ya Mkurugenzi wake, Kiomoni Kibamba limezidi kuchafuka na kukithiri kwa majengo yanayojengwa kiholela kutokana vibali vya ujenzi kutolewa kinyume na utaratibu. Jiji hilo kupitia Idara ya...
  7. GE2020 Ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato Airport ni kashfa inayomtesa Magufuli?

    Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020. Karibu kila mahali Rais...
  8. Serengeti: Ujenzi Holela Hifadhini

    Ulishawahi kusikia ujenzi holela? Basi tazama hiyo picha hapo utajifunza kitu. Huwezi amini kuwa hayo ni majengo ya mojawapo ya hoteli za kitalii zinazoendelea kuibuka kama uyoga ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti! (Ninazo picha nyingi sana, nitaambatanisha nyingine very soon!). Hivi NEMC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…