hoja

  1. 888I

    JamiiForums Tanzania Kufungia Kanisa kwa Sababu ya Hoja za Gwajima? Taifa Linapotea Mwelekeo wa Haki na Uhuru

    Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM, Askofu Josephat Gwajima. Kisingizio? Lakini kwa anayesoma hali kwa makini, hoja ya kweli ni moja tu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hoja Hujibiwa kwa Hoja na si Vioja

    Tujibu Hoja kwa Hoja, si kwa Kejeli Ni muhimu tujenge mazoea ya kujadili hoja kwa hoja. Mtu anapowasilisha hoja, si busara kuikwepa kwa kuuliza kwa nini hakuzisema enzi za utawala fulani. Swali kuu linapaswa kuwa: Je, anayosema sasa ni ya kweli au la? Badala ya kurukaruka na kubeza, tujibu...
  3. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Chama cha darasa la 7 sio rahisi wajibu hoja ?

    Mmejionea wenyewe kiranja wao alichoongea Leo . Tatizo ni Elimu , chama cha darasa la Saba.
  4. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Hoja 10 za Askofu Gwajima zinazosubiri kujibiwa kwa hoja

    Hizi ni hoja kumi alizozitoa Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima akihoji na kushauri. 1.Kuna wimbi la utekaji, na uvamizi wa kikatili wa raia pasipo hatia wala utaratibu wa kueleweka. 2.Vyombo vya ulinzi nchini havijaeleza kushindwa kushughulikia matukio ya utekaji wa raia kwanini hatua hazichukuliwi...
  5. Mwalimu Adolph Longino

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wajitafakari: Siasa za Kudandia hoja haziwajengi wala kujenga Taifa

    Katika historia ya vyama vya upinzani nchini Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejipambanua kama sauti mbadala ya kisiasa. Hata hivyo, miaka ya hivi karibuni imeonesha mwelekeo unaotia shaka: chama hiki kimegeuka kuwa jukwaa la kila anayepinga serikali—bila kujali dhamira...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ana shida jimboni .... Afukuzwe CCM.... Aliahidi safari za Kawe/Japan... Hakuongea wakati wa Magu - Hoja ya mauaji bado haijajibiwa !!!

    Mzee Msuya - sio mimi nasema - Mzee Msuya mtu wao wa system kabla hajafa alisema watu wa CCM ni wadhaifu sana kwenye kujenga hoja. Bunge linasema: Mtu mwenyewe ana shida jimboni Afukuzwe CCM Aliahidi safari Kawe-Japan Kataja jina takatifu la mtoto wa Rais Angeweza kuyamaliza kwa ushauri wa...
  7. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Uchambuzi Wa PolePole kwenye Hoja ya Wahuni

    Polepole anasema ''Inaweza kuwepo serikali lakini nyuma yake kuna kikundi cha wahuni ndicho kinaiongoza. Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina...
  8. Alex Fredrick

    JamiiForums Tanzania Tubishane kwa Hoja na Itikadi za Vyama Vyetu, Kwenye Masuala ya Msingi Kama Taifa Tusimame Imara Kama Mwamba

    Nchi Yetu Tanzania Kupitia Katiba yetu tumeruhusu mfumo wa Vyama vingi na Uchaguzi wa Kwanza wa Mfumo wa Vyama vingi tumeanza 1995 Toka miaka hiyo tumeshuhudia minyukano ya kisera na kiitikadi kwenye Vyama vyote Pia tumeshuhudia minyukano ya wanasiasa na Wanaharakati kwenye medani za Kisiasa...
  9. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Hoja sita juu ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia nchini

    Na Adv. Heche, Dodoma Leo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kama wakili mwenye uzoefu na niliyeapa kutetea Katiba na uhuru wa mahakama bila kuegemea upande wowote...
  10. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wana hoja za msingi sana kwa Watanzania, wasikilizwe

    https://youtu.be/3H_uTS1rIj8?si=8Q5NYm9rN6lyonQL Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ni chama cha siasa chenye nguvu kuliko hata CCM. Hii imedhihirika baada ya Serikali ya CCM kuonekana inahangaika sana kutaka kuiua na kuizika CHADEMA. Ukisikiliza hoja za Viongozi wa CHADEMA kwenye...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Kingereza kingi na presentation nyingi kwenye makongamano ya Ulaya sio hoja ya kuzuia uchaguzi!

    Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi . Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu. Acheni utoto !
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuweke hoja za msingi hapa kama watu tunaojitambua

    TANZANIA NI NCHI YA DEMOKRASIA. Naomba tuweke hoja ya msingi juu ya maswali yafuatayo. 1. Kwanini agenda ya reforms kabla ya uchaguzi mwaka 2025 inapigwa vita mpka kwa kutesa, kuumiza na kumwaga damu? 2. Kwanini mifumo mibovu ya uchaguzi inakumbatiwa na kutetewa?? 3. Kwanini kiongozi wa...
  13. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Namna na mbinu za kushinda mijadala ya mtandaoni

    NAMNA YA KUSHINDA MIJADALA YA MTANDAONI!! Ghadhabu imepanda, joto limekuwa kali sana baada ya kuona Mtu fulani akipingana na mawazo yako ama kupost jambo usilopenda mtandaoni linalopinga mtazamo wako wa kidini, kisiasa, kiafya, kiuchumi na kijamii? Basi, suluhisho si kughadhabika. Hapa...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je, mashabiki wa Simba wanaolalamika gharama za safari kwenda Morocco wana hoja?

    Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha. Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au kupunguza ungaunga za njiani wakati wa kwenda Morocco. Faida ipo kwenye kurudi baada tu ya mechi na kuwa...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Awasilisha Hoja za Maafisa Ugani Bungeni

    MBUNGE NDAISABA RUHORO AWASILISHA HOJA ZA MAAFISA UGANI BUNGENI Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro leo tarehe 09 Mei, 2025 bungeni jijini Dodoma amefikisha mahitaji ya maafisa ugani ili waendelee kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi. Katika maswali yake, Ndaisaba Ruhoro...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa sana, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo

    Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo Siku zote katika maisha tunapokuwa wadogo tukubali kuwa tumezidiwa, ni jambo la kushangaza tunapoona mabishano kati ya Wanasiasa wa Afrika na Ulaya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania G-55 Hawana hoja zaidi ya udalali

    Tatizo la G-55 ni uchumi wao sio kutukanwa wala kunyanyashwa. Mbona hayo matusi hatujayaona ??. No reform no election Wake wa viongozi wawili ni Covid 19. Tujiulize tu je nani ali sign kwa niaba ya Mnyika kuweka wake zao bungeni? Walikuwa wanaibia na kufanya ubabe wa kuwaweka wawapendao kwenye...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Siyo mwanasheria ila moja ya hoja zangu ndiyo zimeenda kuwashinda jopo la wanasheria wa Yanga huko CAS

    Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na mashabiki lia lia kuwa nisubiri nione. Nikaambiwa mimi ni nani nipewe nakala ya hukumu, wakiwa na...
  20. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Tunawadanganya wanawake kwa hoja ya 50 kwa 50

    Kuna hii stori kila siku inapigiwa kelele mitandaoni, kwenye redio na tv, mashuleni n.k kwamba mwanamke na mwanaume wawe sawa, 50 kwa 50, kwenye kila jambo hadi kwenye uongozi. kwamba Wanataka kuwe na mazingira ya kuwasukuma wanawake wawe viongozi. tena tuwatengenezee hayo mazingira. Lakini...
Back
Top Bottom