Polepole hajamshambulia mtu, yeye ametoa hoja kuwa mchakato wa upatikanaji wa mgombea wa CCM ulikosewa
Haukufuata katiba na taratibu za chama, lkn badala yake watu wanaomjibu wamejikita kumzungumzia mtoa hoja
Kwa Gwajima vile vile alitoa hoja kuhusu utekwaji wa watu, watu wanapotea lkn...