hofu

Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheikhe Mwaipopo na wenzake wanasaidia kutimiza malengo ya M7/7 kwa kuleta hofu Kwa raia itakayofanya Siku hiyo watu wasitoke kwa shughuli zao.

    Hamjambo! Bado najiuliza nini kinaendelea. Wanaopanga na kuchochea maandamano kisaikolojia hawatishwi na mtu yeyote Yule isipokuwa vyombo vya Dola. Fikiria watu wanaomtukana Rais, amiri jeshi Mkuu, wanaotukana viongozi wa serikali, Hivi hao watu watatishwa na Sheikhe Mwaipopo kweli? Sheikhe...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Shinda Hofu ili Ufanikiwe.

    Salaam to everyone, And hopefully all of you are doing alright. Kichwa cha habari kinajieleza. Kwenye maisha kuna muda Hofu ni hisia zisizokwepeka. Hisia hizi ukishindwa kuzizuia na kuzitawala, zinaweza kupelekea usifanikiwe katika jambo lolote unalolipambania kwenye maisha yako, let it be...
  3. JamiiForums Tanzania Sauti za vilio, hofu na taharuki ni simulizi za kawaida kwa wachimbaji wadogo maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo - Shinyanga

    Sauti za vilio, hofu na taharuki zimekuwa sehemu ya simulizi za wachimbaji wadogo katika maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo, mkoani Shinyanga. Ni maeneo ambayo chini ya ardhi yake kuna matumaini ya dhahabu, lakini juu yake kuna wingu la vifo vinavyojirudia mara kwa mara. Katika kipindi cha miaka...
  4. JamiiForums Tanzania CCM hawana hofu tena, wameshinda vita!!

    Hakuna wanachokihofia wala hawajali tena wanafanya nini kibaya Kwa watanzania. Leo hii wanajiuliza ni jambo gani baya hawajawahi kufanya. Kama kila aina ya uovu wamefanya na Bado watanzania wapo kimya, wahofie nini tena? Hakuna ufisadi ambao CCM hawajafanya, lakini wanaona watanzania wamejawa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Amani Iliyofichwa na Ukimya wa hofu si ya kweli

    Kulikuwa na mji ambao wananchi wake walianza kudai haki zao. Walitaka huduma bora, usawa, na sauti yao isikike. Lakini badala ya kusikilizwa, wanasiasa walipanda majukwaani na kusema: “Msilete fujo… amani ni bora kuliko yote.” “Wanaodai haki si watu wa maendeleo… ni wavurugaji.” “Hawa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba Ukiachia hiyo Ajira Utakonda au utakufa njaa, ni Hofu tu

    Kwenye haya maisha kuna vitu huwa tunajitia wasi wasi na mashaka, mwisho wa siku unakuta mtu anahangaika Kuanzia ujana hadi uzeeni yeye ni wa kuamka saa kumi na moja kurudi saa mbili usiku. Cha maana anachofanya zaidi Sana ni kula, kulala, kujenga nyumba baasi. Sio kwamba hayo Mateso ukiyaacha...
  7. JamiiForums Tanzania Acha Hofu ya Watu: Timiza Ndoto Zako

    "Hofu ya watu watanionaje" imewachelewesha watu wengi sana kutimiza ndoto zao za thamani. Watu wengi wana ndoto kubwa,mawazo makubwa,vipaji na uwezo wa kufanya mambo makubwa sana. Lakini wanashindwa kuanza kwasababu wanaogopa na kuhofia kuwa watachekwa,watakosolewa au kuonekana tofauti na...
  8. JamiiForums Tanzania Kuishangilia kwa ghafla Serengeti boys, huwenda kukawapo hofu na kupoteza mchezo

    Hizi ni fikra zangu tu binafsi, kuwashangilia na kuwatambua kwa ghafla, kuwazawadia, kuwatumia ndege, kuwajazia waheshimiwa tele, huenda vijana wetu wakaingia ubaridi hofu na woga, maana wamepandishwa juu na kupewa heshima kubwa ya kutambulika kwa ghafla. Binafsi niwajenge kisaikolojia...
  9. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Hofu Yatumiwa Kunyamazisha Wananchi

    Ripoti ya Tume ilifichua kwamba wanaharakati waliunda mfumo wa kutoa hofu kwa Watanzania wa kawaida waliotaka kupinga ghasia. Kuzuia wananchi wa kawaida wasimame kupinga uchochezi ni kuharibu nguvu ya msingi ya kidemokrasia ya taifa, ni kuua sauti ya wengi ili kutawala kwa nguvu za wachache...
  10. JamiiForums Tanzania Messi aumia kwenye mchezo wa ligi wiki chache kuelekea Kombe la Dunia, Waargentina wajawa na hofu

    Lionel Messi, nahodha wa Inter Miami na Argentina jana aliumia kwenye mchezo wa ligi ya MLS. Messi alitolewa dakika ya 73 na kuelekea moja kwa moja kwenye vyumba vya kubadilishia nguo huku akishika mguu wake. Hii inatokea wiki chache kabla ya mashindano makubwa ya World Cup. Jeraha la Messi...
  11. JamiiForums Tanzania Taifa lisipoheshimu logic hutawaliwa na kelele, hofu na usanii wa uongo

    “Logic is a practical science of correct thinking.” Hii si sentensi ya darasani tu. Ni msingi wa ustaarabu wa mwanadamu. Ni tofauti kati ya jamii inayotafuta ukweli na jamii inayotafuta washangiliaji. Ni mpaka unaotenganisha dola yenye busara na dola inayotegemea jazba, propaganda na uaminifu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkulima amepanda Mabingobingo kwenye Makazi, Wananchi tunahofia Usalama wetu

    Katika Mtaa wa Nguku, Kata ya Nyandoto, Tarime Mjini, wananchi wanaishi katika hofu ya usalama baada ya mkulima mmoja kupanda mabingobingo (Napier Grass) katikati ya makazi ya watu. Nyasi hizo zimekuwa zikizua wasiwasi mkubwa kwa wakazi kutokana na urefu na wingi wake, hali inayodaiwa kutoa...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Msikiti Geuka Crime Scene!” Lamu Wakazi Wabaki na Hofu Baada ya Sheikh Kuchinjwa Wakati wa Swala

    Wakazi wa Faza, Lamu East bado wako kwa shock baada ya msiba wa kutisha kutokea ndani ya msikiti mchana kweupe. Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 33, anayejulikana kama Khalid Maka, aliuawa kwa kuchomwa kisu akiwa ndani ya Faza Jamia Mosque wakati wa swala. According to taarifa za polisi...
  14. JamiiForums Tanzania Hofu ya Kupoteza Sauti za Umma: Taifa Linalosahau Haraka

    Kuna wakati unaamka na kuhisi hofu isiyoelezeka. Hofu ya kuona watu waliokuwa sauti ya jamii wakitoweka taratibu kwenye macho ya umma, halafu maisha yanaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea. Hiyo ndiyo hisia ninayopata kila ninaposikia kuhusu watu tunaoweza kuwapoteza kimya kimya, halafu...
  15. JamiiForums Tanzania Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

    Ndoa si Biashara: Kujibu Hoja za Wanaokimbia Ndoa kwa Hofu ya Kiuchumi Katika miaka ya hivi karibuni, kumezuka Wimbi jipya la wanaume wanaopania kukaa mbali na ndoa. Hoja yao kuu? "Wanawake wanatumia ndoa kama mradi wa kujitajirisha." Ingawa ni kweli kuwa kuna visa vya watu kutumia vibaya mfumo...
  16. JamiiForums Tanzania Eti, "natafuta mke/mume mwenye hofu ya mungu", nyambafu!

    Eti, "...mwenye hofu ya mungu..." Kwa nini mungu anaogopwa hivi? 🤔. Seran.
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

    Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua. Hujiulizi ni kwanini Mungu...
  18. JamiiForums Tanzania Hofu yatanda, wakimbizi wa Burundi wadaiwa ‘Kufukuzwa’ Tanzania

    Wasiwasi umeibuka kuhusu kurejeshwa kwa lazima kwa wakimbizi wa Burundi kutoka Tanzania, huku wengi wao wakisema hawataki kurudi nyumbani kutokana na hofu ya usalama na mateso ya kisiasa. Manyanyaso hayo yanaripotiwa wakati Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za wakimbizi zikizuia wakimbizi...
  19. JamiiForums Tanzania Walichofanya Unitree Robotics kwenye Chinese New Year Gala 2025&2026 ni mabadiliko na maendeleo makubwa ya AI lakini napata hofu

    Walichofanya kampuni ya maroboti kutoka China Unitree Robotics katika sherehe za mwaka mpya wa kichina 2025 na hii ya juzi tu hapa ni kuonesha kwa namna gani haya mataifa makubwa kama China walivyo shupalia suala zima la AI na maendeleo yake. Lakini mimi hii teknolojia ya AI toka kuanza...
  20. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linaendeleza hofu ya utekaji nchini

    Tukio la kukamatwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Malori Tanzania (TATAMATA), Godlove Materu limerejesha hofu ya utekaji nchini, kutokana na mtindo wa ukamataji unaofanywa na Jeshi la Polisi nchini. Materu Materu (45), ambaye ni mkazi wa Chapwa, Mji wa Tunduma, Wilaya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…