hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili utapanda hizi ngazi kwa style gani?

  2. JamiiForums Tanzania Kwenye kauli hizi chache za Rais akiwaapisha Mawaziri watatu wateule, kosa la Balozi Mulamula ni insubordination?

    Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana. Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo: 1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Hata uwe deep zaidi kwenye dini hizi dhambi za asili huwezi kuziacha

    Dini/madhehebu yapo kwa ajili ya kutufanya tuishi kwa amani na kutokutenda madhambi. Lakini kuna vitu hata uwe deep kwenye dini huwezi kuviacha kwa wepesi yaani ni ngumu sana. UZINZI Aisee kuchomoka hapa sio rahisi unaweza ukatoka masjid au umetoka kwenye mfungo wa siku nzima lakini ukafanya...
  4. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya siku hizi yanafananaje?

    Hii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo. Miaka ile ikitokea kuna mapinduzi ya kijeshi, moja ya sehemu ya kwanza ambapo wafanya mapinduzi walikuwa wanachukua ni radio au television ya taifa. Tukumbuke kuwa kipindi hicho kulikuwa hakuna media binafsi. Hivi katika dunia ya...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu za Mzungu kuondoka Simba

    Nisiwe msemaji ila sikiliza Mahojiano yake na EFM
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji movie /series hizi hapa

    Location Dar!! -Haves and haves not season 4 kuendelea -Tyrant season 4 -Deep state season3 -Queen of south season4 -Condor season 3 Movie -the witch (ile ya kizungu) -Oblivion -inception (2010) Mode of payment -Exchange : Tunabadilishana series mi nakupa nilizonazo naww unanipa hizo -Nalipia...
  7. JamiiForums Tanzania EFM Sport HQ ni Kipindi cha Hovya Siku Hizi

    Kipindi kimekosa mvuto kabisa, kimekuwa kipindi cha majungu, tunakumbuka jana hoja kubwa ilikuwa ni tukio la Yanga kutangaza CEO mpya na Afisa habari wake lakini cha kushangaza kipindi kizima kilijikita kwenye malumbano ya mijinga kabisa, wamejikita kwenye hojabdhaifu kabisa eti Manara hajawahi...
  8. JamiiForums Tanzania Wandugu kumbe hizi fungus za mahindi zinaliwa?

    Wanaiziita huitlacoche.
  9. JamiiForums Tanzania Mbeya: Viongozi wa dini waongoza maombi ili kuzuia ajali Inyala

    Hi gentlemen and ladies! Hapo chini kuna video ya viongozi wa dini waliokusanywa na viongozi wa serikali kwenda kukemea ajali huko Inyala Mbeya. Hapo serikali ambayo inakusanya kodi ilipaswa kupanua barabara, kuondoa vichocheo vya ajali na kuweka alama muhimu za barabarani. Ina maana wataalamu...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo nikisikiliza nakumbuka mbali sana

    Ila nikikumbuka hizi nyimbo nafurahi Ila Kuna mda napata huzuni Kuna watu tulikua tunaimba nao sasa hivi ni marehemu time flies Wachuja nafaka yaleo Kali Hardman-tamala Adili ft Domo kaya pekee yangu Fid Q mshika mawili Jay mo cheza kwa step Jaffarai Niko bize Afande Sele mtizamo Proff jay ndio...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    Salaam Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani? Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu. Kiprotocal hii...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi tu ya faida za kusoma vitabu

    FAIDA KUMI (10) ZA KUSOMA VITABU. 1. Ni chakula cha ubongo. Bila kusoma ubongo unadumaa. Hivyo inakupasa kusoma ili kukuza ubongo/akili yako. 2. Vitabu vinakufikisha mahali popote duniani. Utapata kufahamu mazingira na maisha ya watu wengine waishio mbali. Ninaye rafiki, anafahamu miji na...
  13. JamiiForums Tanzania Habari hizi za kimataifa kwa manufaa ya nani hapa Tanzania?

    Wakongwe wa tasnia ya habari akiwemo mkuu Pascal Mayalla mtanisaidia kujua ukweli wa hili. Kwa muda mrefu redio na TV zimekuwa na hizi habari wanazoziita za kimataifa na wakati mwingine wanavuka na kuzichambua kabisa, kiukweli Sina Shaka na hilo, lakini Shaka inakuja wanatuletea habari za...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi hapa namba za ma -OCD wote Tanzania, tuzitumie kwa manufaa

    NAMBA ZA OFISI ZA WAKUU WA POLISI WILAYA(OCDs) MIKOA YOTE Ndugu Balozi/Mtumiaji wa Barabara Tafadhali hifadhi namba hizi kwenye simu yako ili kukurahisishia kutoa taarifa za matukio ya kihalifu au kutaka huduma ya OCD wakati wowote. Ni AIBU kwa balozi kutokuwa na hizi namba. OCD CHAMWINO...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali hizi tozo ni balaa. Nilichokiona Nyamhongolo stand ni wizi juu ya wizi

    Habarini wanajukwaa na watanzania tunaokamuliwa na wajanja wachache. Yaani inakuwaje jamani watu Kama watano tu wanatuendesha sie nyumbu. Tunamcheka nyumbu 10k wanakimbia chui 5 Ila na sie hatuna tofauti. Wanatumia nyumbu wenzetu maaskari kutudhibiti tunaotaka kuwatetea Mana watt wao wanasoma...
  16. JamiiForums Tanzania Dini hizi. Kwa hiyo King Charles atakuwa mkuu wa Anglikana na hali alitalikiana na kuoa tena?

    Hili litakaaje kwa waanglikana. Kwa kawaida mfalme au malkia wa Uingereza ndiye mkuu wa kanisa la Anglikana. Sasa huyu ndoa yake aliyopo leo haina baraka za kanisa. Atakuwaje kiongozi wa kanisa hilo?
  17. JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania wa kawaida, naomba kujua umuhimu wa hizi safari

    Makamu wa Rais yuko Marekani kuhudhuria mkutano, Rais yuko Uingereza kwenye msiba. Kuna mawaziri wako nje ya nchi kwa ziara mbalimbali. Mambo haya ni tofauti na awamu iliyopita. Natamani kufahamu umuhimu wa hizi safari hasa hii ya makamu wa rais. Ikiwa baadhi ya marais wako msibani kuhudhuria...
  18. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

    Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili. 1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au wakiona kuna mechi zimekaa mkao wanahofu watapigwa lazma wazime mtandao.Ukiweka dau kubwa kuanzia...
  19. JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

    Wana wa mama tozo hopeful mnapambana ipasavyo... Basi bwana mwezi uliopita nikiwa benk flan ya kikulima kikulima nikakutana na ndugu yangu kwenye ukoo tulipotezana mda sana. Huyu ndugu alikuwa na mkewe pamoja na rafiki wa mkewe. Hawa wanawake wote walikuwa na vibendi vikubwa tu vya kujifungua...
  20. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha hizi zinathibitisha uhusiano wa karibu kati ya Kenya na Uingereza

    Karibu marais wote wa Kenya wamewahi kuonana na malkia Elizabeth II kasoro William Ruto ambaye ameenda kumzika. Hapa kwetu ukiondoa mwalimu Nyerere Nani mwingine? Tuliwahi kumuweka mtu mmoja pale ikulu kila uchwao yeye alikuwa akiwaita wazungu mabeberu. Yule mtu sijui tuliteleza wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…