Mimi ni Mwanaume wa miaka 27 ,
Dini yangu, ni mkristo.
Naishi DAR
Kazi yangu ni muajiliwa
Elimu yangu ni DIPLOMA.
Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo ,
Awe mkristo
Awe anaishi Dar
Awe ameajiliwa au anafanya biashara
Awe na miaka kwanzia 20 adi 26.
ALIYE TAYALI NA MWENYE SIFA HIZO ANIFUATE PM