hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna muziki, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio. Sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani

    Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kiwango cha mutale kwenye hizi mechi 3 zilizofuatana ndivyo no 10 tulitamani awe hivi

    Kwa mechi 3 zilizopita ambazo simba amecheza kiwango cha mutale katika kufanikisha ushindi wa timu kimekua ni superb Angalia goli la pili la simba Leo na hata la kwanza anakaba,anatoa pasi hakai na mpira mguuni lakini kubwa kuliko yote ni kurahisisha kazi kwa ajili ya straika Binafsi si...
  3. JamiiForums Tanzania Aisee yani siku hizi kuivuka 65 ni kama special favour flani hivi.

    Utasikia kaugua ghafla, mara alipata mshituko akiwa kazini, mara kaanguka akiwa bafuni, mara alichelewa kumeza dawa zake za kisukari, etc ukiuliza umri unakuta wengi ni between 55-65. MORE LIFE.
  4. JamiiForums Tanzania Ukiona una dalili hizi ujue wewe ni fukara na masikini

    DALILI ZA WAZI ZA UFUKARA NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO Kwenye maisha unapoanza kufanikiwa kuna vitu huwa vinaonekana wazi kwamba maisha yako yamebadiliks hata kama wewe binafsi utaendelea kujifanya masikini. Vivyo hivyo katika umasikini pia huwa kuna dalili za wazi kwamba mambo hayapo vizuri...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete pokea maua yako kwa hizi shule za kata. Kuna Wana-CCM baadhi watapinga

    Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, baada ya kumaliza shule ya msingi mwaka 1986, Sikuchaguliwa kujiunga na secondary ya serikali kwa maana nafasi zilikuwa chache na hata waliochaguliwa pia walikuwa wachache na wakati mwingine shule haitoi hata mwanafunzi mmoja wa kujiunga na kidato Cha kwanza...
  6. JamiiForums Tanzania Nauza hizi mashine

    Nauza hizi mashine moja ni kwa ajili ya upepo na nyingine, kwa mwenye kuhitaji hizi anaweza fika kimara stop over kuja kujionea Bei 4.5 kwa mashine la upepo na mazungumzo yapo 0715378899
  7. JamiiForums Tanzania Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi hapa Sifa za zege zuri kwa kujengea na Eng James

    Sifa za zege zuri kwa kujengea ni pamoja na: 1. Uimara: Zege linapaswa kuwa na nguvu ya kutosha kubeba uzito wa majengo na kuhimili mzigo wa muda mrefu. 2. Upinzani wa Maji: Zege bora huwa na uwezo wa kuzuia maji kuingia, hivyo kupunguza hatari ya kuoza au kuharibika kwa majengo. 3. Uwezo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Tabia hizi zina kera watu wengi

    Tabia hizi zina kela watu wengi 1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday Hii sio sawa tena mbele za watu ase 2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho 3) Mtu anae...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanga inashuka daraja kipindi cha uchaguzi? Hizi hasira za wanayanga watazielekezea kwa utawala uliopo

    Nasemaje...? Ole wake hili liwe kweli, utawala huu uliopo utajutia, utajiongezea upinzani zaidi kwa wanachi hasa mashabiki wa Yanga watauchukia na kuwa sehemu ya upinzani Naiomba serikali isiruhusu hizi akili za kijinga TFF kuishusha daraja Yanga! Na ikiruhusu hili litokee, basi kile...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Namna ya kujilinda, hatupo salama, chukua hatua hizi

    NAMNA YA KUJILINDA- HATUPO SALAMA. NAMNA YA KUJILINDA HATUPO SALAMA .1.Usipende kuwasha location ya simu yako kila mara. 2.Usipende kutembea mwenyewe nyakati za usiku. 3.Hakikisha kabla hujalala kuna mtu umempa taarifa au umemtakia usiku mwema na amejua upo wapi. 4.Wakija watu kukukamata...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi ni events zenye Jina la Samia mpaka sasa

    Samia music festival Samia comedy Samia jogging Samia kalamu awards Samia nyama choma Samia film awards Samia cup Samia media awards Nimechoka kutaja... Mpaka kufikia mwezi wa 10 walah wabilah kazi itakuwepo
  13. JamiiForums Tanzania Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi hapa biashara 15 zinazo tajirisha vijana nchini kwa sasa

    Hizi ni BIASHARA 15 zinazowafanikisha vijana wengi kwa sasa, hasa Afrika Mashariki (ikiwemo Tanzania), pamoja na sababu kuu zinazopelekea mafanikio yao: CHAGUA YAKO. . 1. Biashara ya Mitandao ya Kijamii (Social Media Management & Influencing) Sababu: Vijana wana uelewa wa mitandao, hivyo ni...
  15. JamiiForums Tanzania Nachukizwa sana na baadhi ya nchi zinazoadhibu mitandao ya kijamii kwa kisingizio cha kuvunja Sheria, madhumuni ya nchi hizi ni kudhoofisha teknolojia

    Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria. Mwaka...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna udini wala vita ta kidini haitakaa itokee. Sababu hizi hapa

    Asilimia 90 ya Watanzania ni vijana na Kati Yao asilimia 80 ni Gen Z. Gen Z hawanaga mambo ya dini. Mambo ya dini ni ujinga ujinga tu. Ni Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini, wadogo zetu wa tisini mwanzoni na kaka zetu wa sabini ndio tulikuwa na ujinga ujinga wa kufuata mambo ya dini kwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania nasi tuwe na siasa kama za waarabu, hizi zetu zimekosa maana

    Waarabu siasa zao siyo za kubembelezana, wakianzisha chama cha siasa kinakuwa na military wing. Angalia Kule Syria, Tizama HAMAS, Tizama Hezbollah, na sasa HOUTHI kule Yemen. Wao wanaingia wamekamilika, kwanini sisi tuna anazisha vyama kama vile tuko kwenye vikoba? CCM wao wana Military wing...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi wi-fi routers ni utapeli tu kama mwingine, yani mtu una download file la gb 3 spidi kama ya konokono

    Yani wabongo tunachezeshwa pass tu za ulaghai, ukienda hapa unapigwa ukirudi unapigwa tena huku wanakutekenya usihisi machungu ya kufinywa Ooh sijui unlimited data, sijui 5G, 4G, kumbe fix tu wanajua kukula kwa namna yao. Pure evil bastards.
  19. JamiiForums Tanzania Hivi unajua tofali la kuchoma ni imara na bora kuliko tofali hizi za block za cement?

    Tofali za kuchoma ni imara zaidi kuliko tofali za block za saruji. Zina nguvu na uimara mzuri, na zinaweza kuhimili uzito mkubwa, hivyo zinatumika sana katika ujenzi wa kuta za kubeba uzito. Sababu za Uimara wa Tofali za Kuchoma - Nguvu ya Compression: Tofali la kuchoma lina compressive...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi chokochoko za KIDINI zinazo endelea zinachochewa zaidi na matamko ya TEC, kwa maslahi ya Amani ya Taifa letu naomba tuache.

    Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko. Nchi ikichafuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…