hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania 🧐Magari ya Rais Samia: Msaada JamiiForums! Hizi Range Rover za Misafara Zina Sifa Gani Hasa?

    Ndugu Zangu Wanajukwaa! Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake. Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanaompongeza Samia, waambatanishe na picha hizi

    Ni dhahili bila shaka, wale wote wanaompongeza rais Samia, au wanaofurahia ushindi wa Samia, Wasiacha kutembea na picha hizi vifuani mwao. Furaha ipo wapi? Je, Mtahudhuria mazishi au mtaacha waliwe na kunguru? Nini kosa la hwa watoto? Naamini sasa mtakula na kula kwa furaha.. Binadamu...
  3. JamiiForums Tanzania Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi hizi: Mama mzazi wa Spika Tulia yupo salama?

    Taarifa za ndani zinazotufikia si rafiki sana. Inadaiwa…
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi hizi: Ester Bulaya yupo wapi?

    Taarifa kuhusu yeye si nzuri sana
  6. JamiiForums Tanzania Sasa wewe Murilo, Umeshasema Umemkamata Niffer, Lakini mpaka Sasa Ndugu wanazungushwa Kila Kituo, Hizi Degree zenu za Sheria mnazinunuaga?

    Katika jambo ninaliliamini 100% Mapolisi wengi aina ya Muliro, Mafwele na genge lao , Huwa Elimu zao ni za kuunga unga sana, Wakiwaga chuoni Wanaishia Kuhonga na kununua Mitihani . Unaweza jiuliza, Muliro kasema wamemkamata Niffer, lakini bado Mpaka muda huu Ndugu wa Niffer Wanazunguka Kila...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea umeibiwa simu, zingatia hatua hizi

    Watu wengi wanaoibiwa simu hujikuta katika hali ya matumaini ya kukuipata simu haraka iwekenavyo huku wakisahau kuwa wezi wa simu nao huwa na mbinu mbalimbali ambazo huzitumia ili simu waliyoiba isipatikane kirahisi. Sasa ikitokea umeibiwa simu, fuata hatua hizi Hatua za Haraka Tulia na...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ndio wizara ngumu ambazo zinahitaji mtu aina ya Magufuli kuziongoza

    Niaje waungwana Siku ya leo ningependa kuangazia wizara 2 ambazo ni ngumu kiutendaji, na zinahitaji mtu aina ya Magufuli kuziongoza ili zilete ufanisi, au matokeo chanya kwa wananchi na serikali kwa ujumla. Wizara hizo ni Wizara ya Ujenzi inayoongozwa na Mheshimiwa Abdallah Ulega. Na Wizara ya...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Aggrey kushinda tuzo ya mwanaume bora wa mwaka. Naomba kufahamishwa alikuwa anashindanishwa nani?

    Eti mwanaume bora wa mwaka? Wametumia metrics zipi kumuita mwanaume bora wa mwaka? Alikua anashindanishwa na nani?
  10. JamiiForums Tanzania Hizi hapa lyrics za wimbo mpya wa Roma "Teremsha Bunduki"

    Afande teremsha bunduki, Unawatetea mbona hawakukumbuki, Unatuonea, unatupiga Mabuti, Mara virungu, mara unataka kutushuti, Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi siku hizi Aggrey Marealle?

    Nakumbuka miaka hiyo Aggrey Marealle nilikuwa namuona sana kwenye media akiwa mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya TBL. Yupo wapi siku hizi huyu ndugu kwa anayefahamu.
  12. JamiiForums Tanzania Siku hizi ujanja ni kutafuta Azam Tv ya Burundi au Malawi

    Huku bei ni mserereko kabisa. Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli.. Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake hizi tabia mkiwa na ujauzito ni za kweli au ni madharau? wife anasema harufu yangu ina mkera!!

    Mimi wife kila akiwa mimba haishiwi vituko asee nimewahi agizwa embe bichi usiku wa maneno Mungu saidia nilipata kaembe kachanga na kadogo japo ilikuwa kwa binde sana. Uzi huu hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ukihama bank unakuwa umejiondoa kwenye Direct Debit postings za hizi credit company?

    Naombeni wenye ujuzi wa haya mambo kwa mfano umekopa kwenye hizi micro credit wakawa wanakata hela Moja kwa Moja bank je ukiamua kubadilisha mshahara uuchukulie bank nyingine itakuwa umejiondoa kwenye hako ka mkataba?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Compliances unazotakiwa kuzifanya kama mfanyabiashara TZ

    Wafanya biashara wengi hawajui compliances wanatakiwa kuzifuata kila mwaka ili biashara zao zisipigwe fine. Nimekuandalia e-book inaitwa "Compliances unazotakiwa kuzifanya kama mfanyabiashara TZ kila mwaka" Ni FREE e-book. Nitumie neno e-book kupitia Whatsapp kwa namba hizi 0678131068...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi ambazo akili mnemba (AI) inaenda kuzifanya na isizoweza kuzifanya

    Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuzidi kushika kasi, kazi nyingi zilizokuwa zina muhitaji binadamu kwa kiasi kikubwa zinaenda kufa na kupotea kabisa. Kwa wale wanaopenda kuajiriwa kazi zifuatazo zinaenda kufanywa au haziwezi kufanywa kwa kutumia akili mnemba (AI). Ukiangalia kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi helikopta zinatafuta nini rock city

    Kuna helikopta zimepita jana na leo asubuhi kuna nini maana sio kawaida helikopta kupita anga la chini namna hii au kuna mtuwao wanamtafuta wampoteze
  18. JamiiForums Tanzania Anaandika PCK: Hizi hapa ndio details za familia ya Mafwele ilipo

    Mliopo South Africa hembu fuatilieni hizi details kama zina ukweli. Kwa msiomjua huyu jamaa mi Mrundi ashafanya kazi na wasanii wa Tanzania ni Promoter wa Muziki, ameanza kukemea hali inayoendelea tanzania kwasasa kwa takriban week chache zilizopita, na ashawahi kuishi Tanzania na ana...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa zinavyoteseka na hizi simu hasa kwenye kipengele cha NYWILA(PASSWORD)

    Mimi fundi simu hapa kariakooo ila mojawapo ya hekaheka ninazokutana nazo kwenye simu ni juu ya nywila a.k.a Password. Hili jambo limeachisha ndoa nyingi sana,unakuta mtu amechukua simu ya mkewe kwa lengo la kumtengenezea haswa kioo,anapofika kwa fundi mwanaume huomba nywila kwa kisingizio cha...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 hatutachagua mtekaji. Damu hizi zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako

    Wewe unayeteka watu nakwambia hautachaguliwa kwa matendo Yako haya. Na hizi damu za watu wasio na hatia wana wa Mungu zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako. Huwezi kuteka watanzania hivi halafu ukalala usingizi. Mungu huyu wa mbinguni tunamuomba kila siku akutendee adhabu kwa kiwango Cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…