hivyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Paulo alisema kila mtu atabeba mzigo wake (dhambi zake) kama ni hivyo yesu alikuwa kwa dhambi za nani?

    Yesu alituhakikishia dhambi zetu alizifia msalabani je nani mkweli? Karibuni
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini wanaishi miaka 5 zaidi kuliko wale wasiofanya hivyo

    Takwimu zinaonyesha kwamba waume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini huishi miaka mitano zaidi. Na pia hupata hadi asilimia 35 zaidi ya kipato kuliko wale wasiokuwa na tabia hiyo. Utafiti ulioongozwa na Arthur Szabo kutoka University of Kiel unaonyesha kwamba kitendo rahisi cha asubuhi...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu afande amenisikitisha sana kwa kweli kama ndio hivyo tumekwisha

    Hbr za muda wakuu wangu ! ...ni kweli nimeadimika sana humu ndani ila tupo pamoja ni majukumu ya kitaifa na shughuli zangu binafsi vinanibana sana hadi kukosa muda wa kuja kuwatembelea na kuwa tia moyo kwa yale mnayo yapitia us individual au groups poleni san wanangu ama hakika Mungu yupo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Safi sana Rais Samia, endelea kuwachezesha haters wako kalinyambariga hivyo hivyo

    Tena style hiyo ya kizenji ndo inapendeza zaidi, si unaona vidume vinavyopandisha mzuka na kufinga vibwebwe kabisa viunoni wakicheza?
  5. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

    Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani. Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Hospitali ya Wilaya ya Ubungo haiwaruhusu wagonjwa kuingia na simu kwa baadhi ya wodi, Je, ndiyo Sheria inataka hivyo?

    Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto). Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa haki ya kuwasiliana na ndugu zake, na endapo akapata changamoto yoyote kabla ya ndugu kumtembelea...
  8. JamiiForums Tanzania Kila wakiita interview wananikuta nina ukwasi wa kutosha hivyo napuuzia

    Wahenga wanasema kumpiga teke chura ni kumuongezea hatua sasa Serikali imenikaanga mtaani mwaka wa saba huu bila ajira nikatafuta chimbo likawa linanipa dor za kulipa bills zote za muhimu na vichenchi kidogo kubaki Sasa kuna wakati natamani ajira maana mishe zinakazaga kiasi kwamba hata kwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kama Kauli zina Umba Kosa ni Mara Ngapi WA CCM wanafanya Hivyo lakini hatuoni Mashtaka

    Kume kuwa na kauli mbali mbali zanazotolewa na wana siasa hususan wa chichiemu ambazo zina chochea uvunjifu wa Amani na ni kinyume cha sheria, lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi. Yao, lakini ikiwa kauli inayo karibia na hiyo na haipo kinyume cha sheria, lakini nguvu za dola, magazeti...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kama Amiri Jeshi mkuu ameshindwa Jukumu la kulinda raia na kinyume chake raia wanatekwa na kuuawa hivyo ajiuzulu au atukabidhi wauaji

    Kazi kubwa kama amiri Jeshi ni kulinda raia wa nchi yake Kama ameshindwa Hilo jukumu Hana sababu ya kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi Na wote watakaondelea kutii amri yake kinyume na katiba ya jamhuri ni waasi wa taifa letu tukufu Serikali ya uasi Ile inashindwa kulinda katiba ya nchi na...
  11. JamiiForums Tanzania Uwezi kuwa mpinzani, ukajiunga ccm UNAENDELEA na akili zako? Mtatiro amekuwaje hivyo hivi?

    Leo mtatiro anawaamisha watumishi walio kuwa na shida ya ubadhifu na matumizi mabaya ya MADARAKA alafu mtatiro anaamua kama jitu la CCM na sio Cuf? Hivi Mtatiro Ujui ukifa UTAKUTANA maelf self?Ujui kama lipumba yupo Alie kujenga?kweli ccm imekubadili akili? Naumia sana WIZI ULIO kuwepo...
  12. JamiiForums Tanzania Hata wale waliotekwa walitekwa yale ya 29/10 hivyo maridhiano yanawahusu.

    Huko serikalini ni kama watu wamepanick hata hawaeleweki. Sababu nikwamba hawaelewi washike lipi waache lipi. Mambo ni mengi: . Ukosoaji unaongezeka . Utekaji unaendelea . Shinikizo kutoka ndani na nje bado ni kubwa. . Wanaitwa serikali bandia maana uchaguzi ulivurugwa. Wasichokielewa...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima: Mlipaswa kunisikiliza. Hata hivyo itakuwa vilevile kama nlivyowaeleza...!

    https://youtu.be/4ZAYXzEBXt8?si=izBx2goyWhBTHUYH RV Mahuburi ya Askofu Josephat Gwajima Jana katika mkesha wa mwaka mpya kanisa GCTC - UFUFUO NA UZIMA yalikuwa too philosophical, indirectly yakiwalenga watesi wake - CCM, Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake... Soma pia PreGE2025 - Askofu...
  14. JamiiForums Tanzania Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini. Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
  15. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya kijana Jovin mhaini yanasisimua; moyo usinifanyie hivyo

    Aiseeh! 1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua. 2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake aliyevunjwa miguu. 3. Video inamuonyesha Jovin akipokelewa huko kwao Arusha kama sijakosea. 4...
  16. JamiiForums Tanzania Islam meanse Peace. Hivyo basi...

    Merry Christmas to all good people. Kama unaona hii salamu haikuhusu, basi sio mbaya. Mimi sina hiyana. Salaam Alaikum. Hii salamu ukiondoa lugha, kimuktadha haina mipaka. Ni kwa vile tu imenasibishwa na uislam. Hata hivyo wapo wakristo katika hizo nchi za kiarabu wanaitumia salamu hii...
  17. JamiiForums Tanzania Wabongo wengi ukiwasaidia wanaamini kuna kitu unapata. Hivyo usimsaidie MTU burebure

    WABONGO WENGI UKIWASAIDIA WANAAMINI KUNA KITU UNAPATA. HIVYO USIMSAIDIA MTU BUREBURE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wabongo wengi wanaamini huwezi kuwasaidia burebure. 2. Wanaamini wanastahili uwasaidie kwani nawe unakitu utapata unapowasaidia. 3. Kwamba wewe ndio unashida kuliko...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania hali ya nchi imeshabdilika hivyo mnatakiwa kubadilika haraka iwezekanavyo kama ifuatavyo

    Nchi imeshabadilika baada ya maelfu ya mauaji ya Watanzania kufanyika bila hatia, hivyo wananchi wamejaa na chuki, hasira, visasi, sumu n.k dhidi ya utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia. Watanzania hawa wapo ndani na nje ya nchi hivyo chochote kinaweza kutokea Sasa kulingana na haya...
  19. JamiiForums Tanzania Tuache kuwaletea dharau, kebehi na kiburi wale wenye mzuka wa kuandamana kwani kufanya hivyo ni kuwachochea watekeleze kile walichokuwa wanakipanga

    Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnaodhani Jeshi litaungana na Wananchi katika utawala huu mnajidanganya. Hawafundishwi hivyo!

    πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…