historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa dada wa Polepole, kumenikumbusha Historia ya kutekwa kwa kaka zake Kambona

    Hamna Jipya chini ya Jua. Ila safari hiii Utekaji umefanywa dhidi ya MTU ambaye ni Mzalendo kwelikweli. Hivi Polepole Kwa namna alivyo Mzalendo, ni wa kumtekea Familia yake???.
  2. JamiiForums Tanzania Tutajenga Historia au Tutarithi Hofu? Wito kwa Matajiri wa Tanzania

    Salaam, mara nyingi nimekuwa mpenzi mtazamaji hapa JF, leo nkaona nidondoshe uzi kwa mara ya kwanza, nilipotaka weka uzi platform ikanitaka niwe a registered member basi nikafanya hivyo nakusubiri approval na siku ya leo ndio my JF ac imekua approved. Direct to the topic. Tanzania na Afrika kwa...
  3. JamiiForums Tanzania China yaandika historia kwa mchuwano wa kwanza wa soka wa Roboti wanaojiendesha wenyewe

    Kwa mara ya kwanza, China imeandaa mechi ya soka inayochezwa na roboti wa umbo la binadamu (humanoid robots) wanaojiendesha kikamilifu kwa kutumia akili bandia (AI), bila msaada wa binadamu wakati wa mchezo. Kwa mujibu wa shirika la habari la Associated Press (AP), mechi hiyo ilifanyika...
  4. JamiiForums Tanzania John Mnyika: Tumetaka Jaji ajitoe kwenye kesi yetu kutokana na Historia yake katika Utumishi

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam. Kesi hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Black Panther: Filamu kama njama ya kufuta historia halisi ya harakati za Black Power

    Ni mwaka wa 2018, ulimwengu ulizizima kwa uzinduzi wa filamu ya Black Panther, kazi ya Marvel Studios iliyoongozwa na Ryan Coogler. Kwa wengi, ilionekana kama ushindi wa uwakilishi wa Waafrika na Wamarekani Weusi kwenye sanaa ya Hollywood. Watu walifurika sana kwenye kumbi za cinema kutazama...
  6. JamiiForums Tanzania Mahojiano Bongo Plus: Historia ya Uchaguzi (1958 - 2055)

    https://youtu.be/Z3f-8I6ALVQ
  7. JamiiForums Tanzania Je, Kuna "Mtanzania Halisi" Asiyekuwa na Asili ya Nje?

    Hapana, hakuna Mtanzania halisi ambaye hana kabisa asili ya nje—kwa sababu karibu watu wote waliopo Tanzania leo ni matokeo ya mchanganyiko wa makabila, mataifa, na tamaduni zilizokuja kupitia: Uhamiaji wa kale kutoka Afrika ya Kati na Magharibi (Bantu migration) Wafanyabiashara na waarabu...
  8. JamiiForums Tanzania Katika historia ya TISS, ni mara moja tu walifanya Press Conference, ilikuwa ni mwaka 2010, nini hasa kilijiri?

    Nyakati kama hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2010 ambapo Rais wa kipindi hiko, Jakaya Kikwete alikuwa anajiandaa kutetea kiti chake kwa muhula wa pili na wa mwisho. Ghafla kuna tuhuma za wapinzani zikaelekezwa Idara ya Usalama wa Taifa. Katika hali isiyokuwa yaa kawaida, TISS kupitia kwa Jack...
  9. JamiiForums Tanzania Nyongeza Katika Makanikia ya Michuzi Historia ya Abdulwahid Sykes na Jomo Kenyatta 1950

    https://www.instagram.com/reel/DLVrV_LKwvP/?igsh=ZjFkYzMzMDQzZg== Nimeangalia hii Makinikia aliyoweka Muhidin Issa Michuzi. Nimemwona Jomo Kenyatta na Julius Nyerere kwenye Land Rover wakienda kwenye mkutano wa hadhara kuhutubia wananchi. Hii ilikuwa mwaka wa 1961 Kenya bado haijapata uhuru...
  10. JamiiForums Tanzania Historia ya McDonald's: Safari Kutoka Mgahawa Mdogo Hadi Mnyororo Mkubwa wa Chakula Duniani

    McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani. Mwanzoni, walikuwa wanauza vyakula vya barbeque na walikuwa na menyu yenye zaidi ya aina 20 za...
  11. JamiiForums Tanzania Historia ya McDonald's: Safari Kutoka Mgahawa Mdogo Hadi Mnyororo Mkubwa wa Chakula Duniani

    McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani. Mwanzoni, walikuwa wanauza vyakula vya barbeque na walikuwa na menyu yenye zaidi ya aina 20 za...
  12. JamiiForums Tanzania Historia ya Ugaidi

    Kwanza kabisa inabidi tukumbushane Msemo mmoja; One man's Terrorist is another man's Freedom Fighter" Kwa muktadha huo tunaweza kusema huenda ugaidi ulianza tangia enzi na enzi, ikiwa tu mtu anatumia vitisho ili kupata anachokitaka, bila kujali kama anachokitaka ni Haki yake... Ugaidi umekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ijuwe B52 Stratoftress: historia na Uwezo wake

    B-52 Stratofortress ni ndege kubwa za kijeshi za Marekani, zilizotengenezwa na kampuni ya Boeing. Hizi ndege zenye nguvu zina historia ndefu na zinajulikana kwa uwezo wao wa kubeba silaha kubwa na nzito. Historia yake: Ilianza kutengezwa mwaka 1952, na kuanza kutumia rasmi mwaka wa 1955...
  14. JamiiForums Tanzania IRAN: Tulikuwa tayari, tupo tayari na tutatoa majibu yatakayokumbukwa na historia!

    Iran: ▪️ Adui ana ndoto ya kwamba ameharibu mitambo yetu ya nyuklia lakini tulikuwa tayari tumeshagundua njama zake tangu mwezi Machi! ▪️ Tulihamisha kwa wakati nyenzo zote muhimu na kuziweka sehemu salama. Urani bado ipo chini ya udhibiti wetu kamili; adui anapiga mahandaki na moshi mtupu...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Historia Rais Samia Afungua Rasmi Daraja la J.P. Magufuli Kigongo-Busisi, Mwanza

    NI HISTORIA RAIS SAMIA AFUNGUA RASMI DARAJA LA J.P. MAGUFULI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelifungua rasmi Daraja la J.P. Magufuli lenye urefu wa kilomita 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 1.66 linalounganisha Wilaya za Misungwi na Sengerema...
  16. JamiiForums Tanzania Makala maalumu ya historia ya Tundu Lissu: Ni hasa huyu mtu? Mambo saba (7) usiyoyajua kumhusu

    MAMBO SABA USIYO YAJUA KUHUSU TUNDU LISSU. - Courtesy: BBCSwahili.com Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu. Kwa wengi, yeye ni alama ya mapambano ya haki, demokrasia na...
  17. JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu ana historia ya kusema uongo hadharani

    Benjamin Netanyahu amekuwa akizungumzia mambo ya silaha za maangamizi makubwa pamoja na kubadilisha tawala za nchi kwa miaka takriban 30 sasa. Mwaka 2002 akitoa ushuhuda kuhusu silaha za maangamizi za Iraq, alidanganya na kudai kwamba Iraq inazo hizo silaha na kwamba Saddam akiondolewa kutoka...
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya Escape from sobibbor

    Nani mwenye kujua historia hiyo vizuri, nimeona Ile movie ikieleza na kuonyesha hali ilivokuwa wakati huo. Naombeni na picha za wakati huo na sasa
  19. R

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mnara wa Askari Posta, Dar es Salaam. Je, ilikuaje ikaitwa Bismini? Nini chimbuko la jina hilo? Maana yake ni nini?

    Hivi Gen Z mnajua kweli historia ya huu mnara? Kitu kilichonipa ushawishi wa kutaka kukua zaidi ni hili neno 'Bismini'. Maana yake ni nini? Na chimbuko lake ni nini? Nimejaribu kutafuta lakini hakuna walikoeleza maana ya Bismini ==== Hekaya fupi ya Mnara wa Askari Jijini Dar es Salaam Mnara...
  20. JamiiForums Tanzania "Kidron Valley: Bonde la Historia Takatifu na Mapito ya Kiroho"

    Kijito cha Kidron, kinachojulikana pia kama Bonde la Kidron (kwa Kiebrania: נַחַל קִדְרוֹן‎ Nahal Kidron; Kigiriki: Kedron; Kiarabu: Wadi al-Nar), ni eneo maarufu mashariki mwa mji wa kale wa Yerusalemu. Bonde hili linaelekeza kati ya Mlima wa Mizeituni na Mlima Moria—eneo ambalo Hekalu la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…