historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Makosa katika historia ya TAA yanayohitaji kurekebishwa haraka

    Historia ya TAA kama ilivyoelezwa na CCM hapo juu inahitaji kusahihishwa. Naweka hapo chini kipande kutoka makala niliyoandika mwaka wa 2019 kusahihisha makala ya Mzee Pius Msekwa kuhusu historia ya TAA: "Katika gazeti la Tazama la leo tarehe 14 Oktoba 2019 kuna makala iliyoandikwa na Pius...
  2. JamiiForums Tanzania Siku gani ulipokea simu nyingi zaidi katika historia ya maisha yako?

    Hebu tujalibu kupiga soga mbili tatu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tuambie siku ambayo ulipigiwa simu nyingi na watu tofauti kuliko siku nyingne zote na sababu ya kupigiwa. Naanza mimi, nakumbuka ilikua 2013 siku ambayo matokeo ya form 4 yalitoka, aisee ile siku nilipigiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia ya TANU kwa picha na maelezo ya nyakati kutoka Maktaba ya Ali Msham

    PICHA ADIMU ZA TANU, JULIUS NYERERE NA WAZALENDO WALIOSAHAULIKA KATIKA HISTORIA YA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961 Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania May 02, 2015 1 Abdulrahman Ali Msham Akiwa Amesimama Lilipokuwa Tawi la TANU Alilofungua Marehemu Baba Yake Ali Msham...
  4. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bajeti ya kwanza ya Magufuli imefeli kuliko bajeti zote katika Historia

    Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akiwa anahojiwa na Mwananchi amezungumzia maswala ya Lipumba na CUF na future ya upinzani Amedai Lipumba kutumiwa na CCM ni kutawafanya wapinzani waungane kuliko hata mwazoni Akaziungumzia bajeti amedai kati ya bajeti ya trilioni 29 ambazo 11 ni za fedha...
  6. JamiiForums Tanzania Tukio gani muhimu katika historia ya Tanganyika lilitokea siku kama ya leo, Aprili 17, 1953?

    Tarehe 17 April 1953 ulifanyika mkutano wa mwaka wa TAA Ukumbi wa Arnautoglo, Dar es Salaam. Mkutano wa mwisho wa TAA ulifanyika mwaka wa 1950 na katika mkutano huu uongozi wa wazee wasomi wa enzi ya utawala wa Wajerumani, Mwalimu Thomas Saudtz Plantan aliyekuwa President na Clement Mohamed...
  7. JamiiForums Tanzania Historia inaandikwa Simba anamaliza Klabu Bingwa akiwa kinara

    Simba 4-1 as vital Al merehk 2-2 alhaly kwa matokeo haya rasmi simba anakua kinara wa kundi kwan mechi ya mwisho watakapo kutana simba na alhaly ata kama simba atafungwa atabaki kua kinara kwani akuna wa kumfikia kwa point msimamo upo ivi Simba p 13 Alhaly p 8 As vital P 4 All merekh p 2...
  8. JamiiForums Tanzania Leo katika Historia Tanzania

    Leo Aprili 2,2021imetimia miaka minne tangu samaki aanze kupimwa kwa kutumia rula nchini Tanzania
  9. JamiiForums Tanzania Kauliza mwenye kuuliza itakuwaje historia mpya inayoandikwa ikifanana na historia rasmi iliyozoeleka?

    Historia ya Tanganyika na kwa makusudi nataka nianze na hii kwa kuwa mimeitafiti na kuandika kitabu ambacho naamini sote tunakifahamu. Umuhimu wa historia hii unasimama kwenye historia ya kudai uhuru chini ya TANU. Chuo Cha CCM Kivukoni kilichapa kitabu cha historia ya TANU mwaka wa 1981...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Historia moja imebaki intact; hakuna Rais aliyefanikiwa kurithisha kiti cha Urais kwa amtakaye

    Katika historia ya Tz, jambo moja limekuwa linatokea mara kwa mara. Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kumuweka anaemtaka anapoondoka. Wengi walihisi Magufuli atatuwekea mtu wake akimaliza mda wake but haikutokea. Nyerere alimtaka Salim, akatokea Mwinyi. Mwinyi akamtaka Malecela, akaibuka...
  12. JamiiForums Tanzania Uandishi wa historia ya uzalendo

    UANDISHI WA HISTORIA YA UZALENDO TANZANIA Somo la historia ya Tanzania litaanza kufundishwa katika shule za msingi kuanzia Machi, 2021 baada ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kukamilisha uandishi wa rasimu na mihtasari. Hatua hiyo ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli alilolitoa...
  13. JamiiForums Tanzania Nani anaweza kutupa historia ya pesa?

    Wakuu leo nina swali Swali: nani anaweza kutupa historia ya pesa?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17. Tarehe iliyondika historia za majonzi Tanzania. Je, imebeba ujumbe wa kiroho, au ni coincidence tu?

    TAREHE 17/03/2020 Tanzani ilitangaza rasmi kuvamiwa na janga la korona na taasisi zote za elimu kufungwa na hatua mbalimbali za tahadhari zikatolewa. TAREHE 17/02/2021 Kifo cha makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Hayati Maalim Seif Shariff Hamadi. (RIP) TAREHE 17/02/2021 Kifo cha Katibu mkuu...
  15. JamiiForums Tanzania Inakuwaje sasa: Mwigulu aendelee kuandika Sheria kwa Kiswahili na Ndalichako aendelee kuandika Upya Mtaala wa somo la historia?

    Nafikiri Mama Samia anapaswa kuwaondoa hawa kutoka Baraza la Mawaziri na asitishe pia kazi walizoelekezwa na Hayati Magufuli kuzifanya. Tunafahamu msukumo wa kutaka Sheria ziandikwe Kiswahili ni kwa sababu Lugha ya Kiingereza ilikuwa ni kama Mama Mkwe kwa Magufuli, na hivyo pengine ilikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Nini kilipelekea vijana wa Tanzania kuteka ndege ya ATC 1982 Mwanza?

    Hi there! Do you remember our history. Here is a story written 27 years ago: Tanzania Jet Hijacked; 2 Are Reported Killed Published: February 27, 1982 Hijackers demanding the resignation of President Julius K. Nyerere of Tanzania seized a Tanzanian jetliner with more than 90 passengers...
  17. JamiiForums Tanzania Historia ya Tanzania

    Historia ya Tanzania ilianza na wakoloni wa Ulaya. Karne ya 18 ilikuwa na dola ndogo za miji katika mwambao baada ya kukaliwa na waarabu kutoka Oman. Ilikuwa karne 7 baadae mwaka 1499 wakati baharia wa Kireno Vasco da Gama alipotembela visiwa vya Zanzibar. Baada ya takribani miaka 100 au kabla...
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya Simba na Yanga

    Yanga na Simba zilianzishwa mwaka 1935 na 1936 baada ya kutokea mvurugano baina ya viongozi wa pande hizo mbili. Yanga ndio timu kongwe zaidi Tanzania ilianza 1935 wakati Simba ikitokea ubavuni mwa Yanga baada ya mvurugano huo na kuunda timu nyingine inayoitwa Sunderland. Lengo sio kutaja...
  19. JamiiForums Tanzania Anayeijua kwa ufasaha historia ya Sayyid Othman Bin Muhammad Nur

    Jamani samahanini wadau naomba kuuliza kwa wale wakali wa QADIRIYA kuna yeyote anayeijua kwa ufasaha historia ya SAYYID OTHMAN BIN MUHAMMAD NUR wa Tunduni Mchangani Zanzibar? Kama yupo tafadhali naomba atujuze maana nimeitafuta kila sehemu lakini sijaipata wala hakuna vitabu vinavyomuelezea...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Vifo vimekuwa vingi, ni wakati wa kutafakari ni historia gani unaiacha kwenye akaunti zako za mitandao ya kijamii

    Nilipata ujumbe kutoka FB ulioandikwa " (pamoja na picha yake ya profile) ni siku yake ya kuzaliwa, wasiliana nae umtakie heri ya siku ya kuzaliwa". Huyu mtu alifariki miaka kama mitano nyuma sasa sijajua kwann FB haikufuta akaunti yake. Hayupo, ila ameacha alichokiacha kwenye mtandao wa jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…