historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    PostGE2025 “The dark side of Tanzania General Election 2025”, walichofanya Mawakala historia itawahukumu

    Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 nchini Tanzania umepita, Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangazwa Mshindi kwa kupata Kura Milioni 31 sawa na takribani 98% ya Kura zote zilizodaiwa kupigwa kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC). INEC pia...
  2. Umafia wa Zanzibar una historia!

    hawa watu ni shida, na wala hatukupaswa kuungana nao kabisa, angalia jinsi walivyowaua wapinzani wao huko Zanzibar, damu damu, damu. https://www.youtube.com/watch?v=Ss-lfLLzV-k
  3. G

    Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  4. Historia huwa inajirudia CCM

    CCM wataachia nchi kama Nyerere kwa kushindwa kupata Mikopo, misaada na utalii kujifia. Na viongozi watakimbilia uhamishoni kuomba hifadhi History tends to repeat itself Maandamano ni VITA ya watu wajinga in this era. Wao wanaogopa nchi kukwama kiuchumi na kukosa misaada hilo tu. The rest...
  5. PostGE2025 Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Historia inawaangalia

    Watanzania wanalia baada ya mauaji ya kikatili ya wananchi mnamo tarehe 29 Oktoba 2025, na siku hiyo hiyo uchaguzi wa kiguni ulitokea ambapo viongozi wengine walichaguliwa bila kupigiwa kura na watanzania. Watanzania milioni sitini na sita (66) wanaendelea kuteseka, huku haki yao ya msingi...
  6. F

    Ni Historia tu na si Uchonganishi: CCM(chama cha rangi ya Alizeti) na Mkoa wa Majeshi

    Nimekuwa ninarejea mambo yalivyokuwa wakati bado niko shule ya msingi na sekondari miaka hiyo hasa upande wa siasa za CCM( leo hii chama cha rangi ya Alizeti). Mikutano mikuu ya CCM ilivyokuwa inawakilishwa na mikoa mbalimbali. Lakini mmojawapo ya mikoa ambayo ilitambulishwa mwaka 1985 ni mkoa...
  7. L

    Mwanazuoni wa historia Tanzania apongeza mpango wa 15 wa maendeleo ya miaka 5 wa China

    Hivi karibuni mkutano wa 4 wa wajumbe wote wa kamati kuu ya 20 ya chama cha kikomunisti cha China ulifanyika mjini Beijing, na kupitisha mpango wa 15 wa maendeleo ya miaka mitano (2026-2030). Pamoja na mambo mengine mpango huo una malengo manne makubwa, ambayo ni kuhimiza ongezeko la uchumi na...
  8. PostGE2025 Historia za waraka wa TEC kwa Utawala wa Mkapa na Magufuli

    Kipindi cha utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli (Novemba 2015 – Machi 2021), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa matamko na waraka kulaani mauaji, utekaji nyara, kutoweka kwa watu, na kutoa maonyo makali kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu, hofu nchini, na hatari ya...
  9. PostGE2025 Utawala wa Samia umeua watu wengi sana katika historia ya Tanzania

    Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.! Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa. Tukutane #D9
  10. Ukisoma Historia ya Tanzania toka mwaka 1961 mpaka sasa, Tanzania si nchi ya kutishwa na Gen Z, hawa wanadhibitiwa na migambo tu na Dunia ione

    Duniani hakuna adui mkubwa Wala mdogo lipokuja swala la amani ya Taifa, Leo tunaona wageni wanafanya vurugu nchini huu uhuru wanautoa wapi? Tuionyeshe kuwa Tanzania si nchi ya kuichezea kiusalama, waone umoja wa waTZ tukipigania masilahi ya Taifa letu. Ni muda Sasa wa kuionyesha Dunia kuwa...
  11. Daniel Sillo, Kiongozi anayejitengeneza historia katika siasa za Tanzania

    Mbunge wa Babati Vijijini, Ndugu Daniel Baran Sillo, ameendelea kuandika historia katika medani ya siasa nchini, hususan mkoani Manyara. Safari yake ya kisiasa ilianza kwa uthubutu na ujasiri mwaka 2015, alipojitosa kwa mara ya kwanza kuwania ubunge, ingawa hakufanikiwa. Hata hivyo, hakurudi...
  12. Kushiriki mapenzi ya kinyume na maumbile ni kosa kwa mujibu wa sheria

    Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na kutumia via visivyo vya uzazi kufanya mapenzi, kwa mfano kutumia sehemu ya haja kubwa kufanya ngono, kutumia midomo, vidole n.k Kasi ya uovu huo inatisha kote nchini. Imefikia mahali imekua kama fashion. Usipofanya huo uchafu mnapokua faragha...
  13. Wazalendo wa Tanganyika historia itawakumbuka milele daima Amen

    Damu zenu wa Tanganyika wazalendo zitawasumbua watawala na wote walio husika katika hili mmekufa kishujaaa mkilipigania Taifa lenu la Tanganyika mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa Mbingu na Ardhi mlinzi wa wote Bariki vijana hawa wa kitanganyika walio mwagwa damu na...
  14. S

    Enyi JWTZ Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo

    Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo. Fungeni mikanda ya maamuzi. Kwa mkijua, nchi inauzwa. Ngorongoro imeuzwa. Bandandari imeuzwa. Pori la Loliondo limeuzwa. Madini yameuzwa. Ni kipi kimebaki kwa ajili ya wanetu? Ndugu zetu wanatekwa, wanauawa, na wanafungwa bila sababu. Yote...
  15. B

    Dr. Mnyaka Sururu Mboro - Ni "Upuuzi" katika masomo ya historia jinsi Mjerumani "alivyogundua" mlima Kilimanjaro

    Ruka hadi yaliyomo Potsdam baada ya ukoloni "Upuuzi" katika masomo ya historia Mnyaka Sururu Mboro jinsi Mjerumani "aligundua" mlima Kilimanjaro https://m.youtube.com/watch?v=RctLtVYpIyc Mnyaka Sururu Mboro alizaliwa mwaka 1951 na anaishi Berlin. Yeye ni mwanaharakati wa Tanzania...
  16. GE2025 Nitasamehewa na Historia? Sitoshiriki Kupiga Kura Uchaguzi wa Mwaka Huu 2025

    Mwaka 2025 umekuja na msisimko mkubwa wa kisiasa nchini Tanzania. Ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kipindi ambacho Watanzania wanapata fursa ya kikatiba kumchagua kiongozi wao mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wabunge na madiwani. Lakini kwa mara ya kwanza tangu nianze kushiriki...
  17. Umewahi kujiambia ‘sina cha kuficha hata wakiniibia sina cha kuogopa’?

    Tujifunze kuhusu Umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi Kutoka kwa Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ujerumani Wanaojua historia miongoni mwenu watakuwa wanajua kwamba baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Ujerumani iligawanywa katika maeneo manne ya uvamizi chini ya Allies na USSR, na...
  18. Historia inaonesha watu walionyanyaswa udogoni wanakuja kuwa wakatili au wenye hasira sana ukubwani

    EITHER: Aliathirika kisaikolojia kwa manyanyaso makali baba aliompa mama (or vice versa) plus unakuta ndugu nao wanaingilia mgogogoro huu ka kuchagua pande kupelekea ukiwa kwa mama/baba. OR: Au manyanyaso aliopokea yeye binafsi katika makuzi yake. kurubuniwa kingono, kuteswa na ndugu...
  19. Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza nchini kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni

    Mtanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya kwanza na kushinda Medali ya Dhahabu katika mbio za Marathoni Kilometa 42.195 upande wa Wanaume katika mashindano ya Dunia ya World Athletics Championships 2025 akimshinda Mjerumani Amanal Petros. Simbu ametumia Saa 2:09:48 akipishana na Petros...
  20. Historia ya Sheikh Hussein Bin Mahmoud al-Ghassany

    MAJINA YAKE NA MAHALI ALIPOZALIWA Al-Allamah Shaykh: Hussein bin Mahmud bin Hussein bin Abubakar Al-Ghassany Al-shadhily Al-yashrutwiy. Babake: Shaykh Mahmud Al-Ghassany. Mamake: Mwana Mwema bint Hajji Musa bin Ahmad Musa. Shaykh Hussein Al-ghassany alizawa Kilwa kisiwani Tanganyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…