historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Majina ya Mitaa na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MAJINA YA MITAA YAHIFADHI HISTORIA Ndugu zanguni hivi sasa kuna mradi wa Anuani za Makazi (Post Code). Naamini sote tunashausikia kwa kuwa serikali imeutangaza. Mradi huu ulitakiwa uchukue miaka 5 lakini Rais Mama Samia ameamua huu mradi uwe "Operation Anuani za Makazi" na ukamilike kwa miezi...
  2. JamiiForums Tanzania The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

    Wanabodi, Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!. Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali, Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo...
  3. JamiiForums Tanzania Asilimia 97 ya historia ya binadamu haijulikani, hii iliyopo sasa ni 3% tu

    Maisha ya binadamu ya sasa hivi tuliopo inaelezwa kuwa historia yetu ilianza miaka 200,000 iliyopita, lakini hakukuwa na rekodi halisi zilizowekwa kwa kuwa rekodi za nini kilifanyika na kwa kiwango gani zimeanzia miaka 6,000 iliyopita. Hivyo kwa mujibu wa baadhi ya wanahistoria ni kuwa hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Historia ya Chama cha Makuli wa Dar es Salaam -- 1947

  5. JamiiForums Tanzania Historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika iandikwe upya

  6. JamiiForums Tanzania Fikra ya documentary: Historia ya Chama cha Makuli wa Dar es Salaam (Dar es Salaam Dockworkers' Union)

    FIKRA YA DOCUMENTARY: DAR ES SALAAM DOCKWORKERS' UNION (CHAMA CHA MAKULI WA DAR ES SALAAM) 1947 Leo nimetembelewa na mwandishi kijana Charles Michael kutoka Morogoro. Charles ni muhitimu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ambako amesomea utengenezaji wa filamu na ni mwandishi wa BBC. Alinipigia...
  7. JamiiForums Tanzania Je,hatukuambiwa umeme wa gesi ya Mtwara ukikamilika tatizo la umeme litakuwa historia?

    Nakumbuka kila kiongozi mwandamizi wa serikali ya awamu ya 4 akiwa kwenye tv alikuwa anahubiri ukomo wa tatizo la umeme pale mradi wa umeme wa gesi ya Mtwara utakapokamilika. Kulikuwa na uzinduzi mwingi tu sijui wa Kinyerezi one, sijui terminal two. Tulihakikishiwa mradi ukikamilika hakutakuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

    Jana (Ijumaa) nikiwa kazini Kuna saa nilikosa Kazi (zilikua zimeisha). Nikawazaa, ghafla mawazo ya maisha ya UYATIMA niliyopitia yalinijia. Ni ndefu sanaa we somaa.! Japo siwezi kuyaandika yotee, maana UYATIMA wangu ulinipitisha kwenye makubwa sanaa..!! Nilizaliwa kwenye familia ya watoto 3...
  9. JamiiForums Tanzania Kuwa sehemu ya historia ya katiba mpya kwa kuweka maoni yako hapa

    Katiba mpya yaja na hili sio jambo geni wala la kubahatisha tena. Tumetoka mbali na tumepitia mengi mabaya na mazuri ya kushangaza na ya kuleta matumaini pia. MOJA LILILO WAZI ni kwamba KATIBA MPYA haizuiliki tena! Jamii Forums ni mtandao tegemewa kwa mengi hapa Tanzania hasa linapokuja suala...
  10. JamiiForums Tanzania Bilal Rehani Waikela na historia ya TANU Western Province 1955

    BILAL REHANI WAIKELA NA HISTORIA YA TANU WESTERN PROVINCE 1955 ‘’Juhudi za kuihuisha TANU zilikuja mwaka 1955 mwaka mmoja baadae kupitia Young New Strong Football Club - kilabu ya kandanda iliyoanzishwa miaka mingi nyuma ambayo ilikuwa maarufu pale mjini. Wanachama wa kilabu hiyo baadhi yao...
  11. JamiiForums Tanzania Makosa makubwa yaliofanywa na marefa katika historia ya soka

    Afcon 2022 Baada ya refa wa Zambia kupiga kipenga cha mwisho kabla ya muda wa mechi kukamilika katika mechi kati ya Tunisia dhidi ya Mali, wakufunzi wa timu ya Tunisia waliwasilisha pingamizi baada ya mechi hiyo wakitaka kujua ni kwanini refa huyo alichukua uamuzi huo kabla ya muda wa mechi...
  12. JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi inahitaji hekima na tahadhari kuieleza

    Historia ya mapinduzi si historia nyepesi:
  13. JamiiForums Tanzania Ifahamu MV Liemba; Historia yake

    MV Liemba (MV kwa Kiingereza. motor vessel) ni meli ya Kitanzania inayohudumia pwani za Ziwa Tanganyika. Ni chombo cha usafiri kwa maji chenye umri mkubwa kipo tangu mwaka 1914. Meli inasukumwa na injini ya diseli na urefu wake ni mita 67, upana mita 10 na ukubwa unatajwa ama kuwa tani 1500 au...
  14. JamiiForums Tanzania 2025 ni mwaka wa historia, upinzani wanakwenda kuchukua madaraka ya utawala. Kwa Mara ya kwanza tangu kuasisiwa kwa taifa hili

    Kwanza nianze na chama tawala CCM, kwa hali ilivyo hadi sasa si shwari ndani ya chama cha CCM, kuna mpasuko mkubwa ,mpasuko huu umesababishwa na kutofautiana kiitikadi na misimamo. Kundi la kwanza ni lile lililokuwa kinyume na JPM, hili kundi lilikuwa halikubaliani na sera ya kujitegemea ya JPM...
  15. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika 1961: Historia ya wapigania uhuru haifahamiki

  16. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mohamed Said: Maisha, Kazi na Historia yake

    Mfahamu Mohamed Said mdau wa JF ambe ni JF expert Member tangu 2008 Mohamed Said Salum (alizaliwa tarehe 25 Februari, 1952, Gerezani, Dar es Salaam) ni mwandishi na mwanahistoria kutoka nchini Tanzania. Ametunga vitabu mbalimbali, lakini anafahamika zaidi kwa kitabu chake cha "Maisha na Nyakati...
  17. JamiiForums Tanzania Mfahamu Eric Shigongo: Maisha na historia yake

    Eric James Shigongo Mwandishi, mwanasiasi na mhamasishaji (alizaliwa wilayani Buchosa, zamani Sengerema, mkoa wa Mwanza, 10 Agosti 1969) ni mbunge wa Buchosa katika Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania (kuanzia tarehe 25 Novemba 2020) na mjasiriamali ambaye amejikita zaidi katika uandishi...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo 10 kuhusu Dick Cheney, Makamu wa Rais aliyekuwa na nguvu zaidi katika historia ya Marekani

    Mfahamu Dick Cheney aliyepata kuwa Makamu wa Rais wa 46 nchini Marekani katika utawala wa Rais George W. Bush 1. Jina lake kamili ni Richard Bruce Cheney, mzaliwa wa Lincoln huko Nebraska nchini Marekani, alizaliwa 30 January 1941. Ni mwanasiasa mashuhuri wa chama cha Republican lakini pia ni...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hii kesi ya Mbowe na maamuzi ya huyu Jaji, ni historia mbaya kwa watoto na wajukuu wa Taifa letu

    By Baba Mwita kupitia twitter: Mtu anakwambia alipopelekwa TAZARA na MBWENI yalitumika majina BANDIA. Jaji leo anatoa MAAMUZI anasema jina HALISI la mtuhumiwa halikuwa kwenye "DR" ya TAZARA hivyo ameshindwa kuthibitisha alifika hapo! Sasa, litakuwepo vipi wakati amekwambia alikuwa registered na...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aweka rekodi ya kudumu Mikoa ya Kigoma na Katavi

    Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta, Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…