chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,718
Kiukweli watu ni wazuri ukiwa na mafanikio tu ila ni wabaya na vituko ukiwa na shida.
Kitu ambacho unaweza kukatishwa tamaa na kufa kifo cha kuzalilika ni pale unapokuwa kwenye matatizo yaliyo kuzunguka.
Kipindi cha Dk. Shika na mia tisa itapendeza kilionekana ni kituko.
Ila kiukweli kiundani huyu jamaa nchi ya Urusi kaacha jina kubwa kwenye kampuni ya lancefort ltd kwa sasa inamilikiwa na serikali Urusi.
Kuna kamsemo vijana wanapenda kutumia “bora kuwa mbwa Ulaya kuliko kuwa mwanadamu Afrika”
Mimi na kubali huu msemo asilimia 100%
Thamani yake ya Dkt. Shika iligubikwa na matatizo mpaka ubalozi wa Tanzania Urusi unatambua lakini hakuwa na mchango wowote japo kutetea hata kikombe wala shati lake na familia yake.
Kama Dkt. Shika mambo yasingekuwa mabaya aliyopitia leo tanzania ingekuwa na mmoja wa Tanzania mwenye utajiri mkubwa urusi. Hata angekuwa mchango mkubwa na nchi yake.
Makadilio niliyosikia kuwa kwa kampuni hii lancefort ltd pesa iliyopo nayo sasa sawa na trioni 60 sawa na bajeti ya miaka miwili tanzania.
Ila kampuni lancefort ltd bado imeweka jina lake Dkt. Shika kuwa ndio baba na muanzilishi wa hii kampuni japo inamilikwa sasa na serekali ya urusi.
Tuliomziaki na kumpa majina kibao kama Baazi ya televisheni mpaka kumfananisha na wimbo wa kalubandika.
Tulimkosea sana kwa matatizo aliyopitia na kukosa wakumsaidia kupata haki yake.
Mungu hakulaze mahari pema Dkt. Shika