historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or 2022 (Oktoba 17, 2022), Benzema ashinda Tuzo ya Ballon d’Or 2022

    Usiku wa leo, kwanzia saa 1:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or. Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake. Vilevile, kutakuwa na tuzo ya golikipa bora wa mwaka, mshambuliaji bora wa mwaka na tuzo ya mchezaji bora...
  2. JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Historia ya Baba wa Taifa kwa mukhtasari

  3. JamiiForums Tanzania Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

    Kwa miaka mitatu mfululizo niliamua kufanya utafiti wa kina maeneo ya Arusha, Mbeya na Mara, utafiti huu ulikuwa hasa ukiangalia kwa ukaribu maisha ya Nyokaa, Kenonke na Jombi. Nilikaa maeneo hayo yote kwa miezi 6, kuzungumza na watu waliokaa na hii miamba, wahanga wa matukio ya hawa jamaa nk...
  4. JamiiForums Tanzania Tukiwekeza kwa matajiri wanaotokana na viwanda na kilimo, umasikini utakuwa ni historia

    Mtazamo wangu; Kama tukichukua matajiri wakubwa 1000 wanaotokana na umiliki wa viwanda; viwe vya kati au vikubwa. Pamoja na matajiri 1000 wanaotokana na kilimo; wakapewa sera nzuri ya kodi, sera nzuri kwa masoko ya nje, sera nzuri katika kuagiza vipuli, na wakawezeshwa kwenye mitaji ya...
  5. JamiiForums Tanzania Historia ya Uhuru itatutisha hadi lini?

  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wanababaika na historia ya African Association?

    KWA NINI WANABABAIKA NA HISTORIA YA AFRICAN ASSOCIATION ILHALI ILISHAANDIKWA? Jana na ndiyo post yangu ya jana ipo hapo chini nilionyesha makosa ya yaliyopo katika historia ya African Association na kwa hakika ni makosa ambayo watendaji makosa hayo hawakubali kusahihishwa licha ya kuwa watafiti...
  7. JamiiForums Tanzania Unamjua ''Bamanga'' Katika Historia ya Uhuru na Mapinduzi ya Zanzibar?

    UNAMJUA ''BAMANGA'' AHMED SAID KHARUSI KATIKA HISTORIA YA UHURU WA ZANZIBAR? Leo nimeletewa picha ya Ahmed Said Kharusi maarufu, ''Bamanga.'' Maktaba yangu ya picha imepambwa sasa na picha mbili za mzalendo huyu ambae hatajwi katika historia ya Zanzibar. Nimemtaja Ahmed Rashaad Ali mara nyingi...
  8. JamiiForums Tanzania Niishukuru Kamati Kuu ya CCM kuridhia mchakato wa Katiba Mpya uendele. Tanzania mpya itazaliwa na changamoto za kimfumo zitabaki historia

    Nawashukuru sana Ile Tanzania nilioiota KWA muda mrefu inaenda kutimia,kuanza KWA mchakato wa katiba mpya ni Nuru KUBWA kwetu!changamoto za kimfumo zinaenda kufa na Tanzania Mpya inaenda zaliwa rasmi! Niwaombe wadau wawape ushirikiano wa kutosha kikosi kazi cha mkandala Ili mchakato ukamilike...
  9. JamiiForums Tanzania Uingereza kuwa na Mawaziri watatu wenye asili ya Afrika ambao wataongoza Wizara nyeti za nchi hiyo, Fedha, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani

    Waziri mkuu mpya wa Uingereza bi Liz Truss jioni hii ameanza kuunda baraza lake la mawaziri na bwana Kwasi Kwateng ameteuliwa kuwa waziri wa Fedha huku bwana James Cleverly akichukua nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje. Bi Suela Braverman ameteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kuchukua nafasi...
  10. JamiiForums Tanzania Historia ambayo wengi hawaifahamu kuhusu Chuo Kikuu cha Makerere na Hospitali ya rufaa ya Mulago nchini Uganda

    Nikiwa katika mahafali ya wanafunzi waliohitimu masomo yao katika chuo Cha Kingdom Builders Bible Academy (KBBA) kilichopo Isole mkoani Geita tarehe 18/08/2022 ndipo nilipofahamu kwa ufupi historia ya chuo kikuu Cha Makerere na Hospitali ya rufaa ya Mulago iliyopo nchini Uganda” Faraja Gasto...
  11. JamiiForums Tanzania Mawazo, Stori na historia ya maisha yangu

    Kwanza mimi huwa najiulizaga, hivi mawazo yanatoka wapi? Inakuaje unatokea kuwaza tu mfano unawaza ngoja niandike uzi. Japo sijapata jibu lakini naamini mawazo/thought are social influenced thing, mazingira yanayotuzunguuka ndo yana determine sana kile kinacho kua generated akilini, how are...
  12. JamiiForums Tanzania R. Kelly alificha historia yake mbaya isijulikane, Mahakama yaambiwa

    Mwimbaji huyo mkongwe amedaiwa kuwa na historia mbaya na ya siri ambayo umma haukuijua wakati wote akiwa mmoja wa wanamuziki maarufu na wenye ushawishi. Waendesha mashitaka wameiambia Mahakama kutarajia taarifa mbaya katika muda wa wiki 4 zijazo watakapowaleta mashahidi akiwemo msichana...
  13. JamiiForums Tanzania Historia ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

    Historia ya kazi na shughuli za ulinzi na usalama hapa Tanzania zilianza tangu zama za mababu zetu. Jamii nyingi zilizoishi katika maeneo mbalimbali hapa nchini zilikuwa na ulinzi wa jadi uliohusisha kila mwanajamii. Ulinzi wa jadi ulikuwa ndiyo msingi wa usalama wa jamii zote kwa wakati ule...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaandika historia ya kipekee katika mapinduzi ya kilimo

    Ajenda ya 10/30 inayobebwa na kauli ya KILIMO BIASHARA inatekelezwa kwa kasi ambayo kila mtanzania ni shuhuda. Rais Samia ameonyesha uhalisia kuwa inawezekana, haya ni baadhi ya mambo yanayofanyika hivi sasa. Tayari Hekari 11,453 zimetengwa kwaajili ya mradi wa vijana (Block farms) katika Mkoa...
  15. JamiiForums Tanzania Historia ya pesa ya sarafu Tanzania

    Baada ya vita ya dunia mwaka 1919, Bara na Zanzibar pamoja na Kenya na Uganda zilikuwa chini ya himaya ya mwingereza ingawa kwa mikataba tofauti. Kuanzia hapo nchi hizo zilianza kutumia sarafu moja. Katika kipindi kifupi kuanzia mishoni mwaka 1919 hadi kati kati ya mwaka 1920, bara walitumia...
  16. JamiiForums Tanzania Ijue historia ya soko kuu la Kariakoo

    Neno ‘KARIAKOO‘, asili yake ni neno la Kiingereza la ‘Carrier Corps’, likiwa na maana ya kwamba mahala hapo ndipo inapomalizikia misafara iliyokuwa ikiwasili kutokea nje ya hapa mjini, wakati huo wa utawala wa Wajerumani na Waiingereza. Misafara hiyo ilihusisha askari pamoja na wapagazi...
  17. JamiiForums Tanzania Dome Okochi Budohi na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika

    Kulikuwepo na wazalendo kutoka nchi jirani ya Kenya kama vile Dome Okochi Budohi na Patrick Aoko ambao walikuwa wanajua vyema siasa za walowezi za kupora ardhi za wananchi. Kutoka kwa wazalendo kama hawa, Abdulwahid alipata usikivu wa mawazo yake ya kuigeuza TAA kuwa chama cha siasa chenye...
  18. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kutunza kumbukumbu au historia

    Historia ni kumbukumbu ya mambo au matukio yaliyopita haijalishi ni mema au mabaya. Mtu binafsi, familia, ukoo, kabila, kampuni, taasisi, dhehebu, shule, chuo, wilaya, mkoa, kijiji n.k ina/ana/una/kina/linatakiwa kuwa na kumbukumbu au historia ya maandishi, picha na vitu mbalimbali. Historia...
  19. JamiiForums Tanzania Historia Halisi yenye kusisimua kuhusu rapa Juice WRLD

    Whatsup! Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua. Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea kujuzana hata yale ambayo unayajua na humu sijaweza kuyaandika kwasababu sio rahisi maisha ya miaka...
  20. JamiiForums Tanzania Historia gani ni ya kweli

    Maana asilimia kubwa ya historia ni za kubuni au kutengeneza [emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…