historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia fupi ya Mchungaji Paul Nthenge ambaye aliwaanisha waumini kufunga bila kula kwa siku kadhaa ili kumuona Yesu. Huyu ni Paul McKenzie Nthenge

    Historia fupi ya Mchungaji Paul Nthenge ambaye aliwaanisha Waumini kufunga bila kula kwa siku kadhaa ili kumuona Yesu. Huyu ni Paul McKenzie Nthenge wakati kanisa lake la Good News International huko Malindi lilipoimarika miaka michache iliyopita. Hakuwa mtu aliyechanganyikiwa, kama...
  2. JamiiForums Tanzania Historia ya Coca Cola

    Coca-Cola ni kinywaji maarufu cha sodiamu kinachojulikana kote ulimwenguni. Kinywaji hiki kilianzishwa mwaka 1886 huko Atlanta, Georgia, Marekani na daktari wa meno aliyeitwa John Pemberton. Pemberton alianza kuchanganya viungo mbalimbali kwa ajili ya kutengeneza dawa ya koo iliyokuwa inatumika...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara zilizovuma sana enzi zake lakini kwa sasa zimebaki Historia

    1. Biashara ya kuuza vocha za simu; 2. Biashara ya vibanda vya kupiga simu; 3. Biashara kutembea na Camera kupiga picha; 4. Biashara ya Disco vumbi; 5. Biashara ya Kuonesha Video (VHS); 6. Kusoma mita za Umeme (japo hii haikuwa biashara bali ajira) 7. Biashara ya kuchezesha Joyce Wowowo; Ongeza...
  4. JamiiForums Tanzania Mhando wawili katika historia ya TANU: Steven na Peter Mhando nani kapata kuwasikia wakitajwa popote?

    KITABU KIPYA: WATU MASHUHURI KATIKA UHURU WA TANGANYIKA - SALUM MPUNGA, YUSUF CHEMBERA NA PETER MHANDO KITABU CHA PILI TANU ilikuwa na historia ya pekee sana ambayo bado inahitaji kufanyiwa utafiti. TANU ilikuwa na ndugu wote wanachama, TANU ilikuwa na marafiki wote wanaTANU na kadhalika na...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyoandika historia Kigoma

    Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu imeandika historia mkoani Kigoma ambapo imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 567 kwa ajili ya miradi tisa ya ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilometa 420 kwa kiwango cha lami mkoani humo. Ujenzi wa barabara hizo zitawezesha mkoa huo kuunganishwa...
  6. JamiiForums Tanzania Historia yangu ya mapenz. Niliachwa: ogopa sana kuachwa

    Nina umri was miaka kadhaa sio teenager tena ni mtu mzima flan ila napenda chini na kwa imani yangu mambo magumu mno. Niliachwa wkt nikiwa college, niliteseka Sana, nilikuja kugundua asb kumekicha. Wanawak chuo ni wengi TU hats sielewi Kwa NN Binti wa kinyaturu akanitesa mtoto was watu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Mwekezaji Mo Dewji mambo madogo madogo yanayotuaibisha kama haya yawe Historia Klabuni Kwetu

    Nimekwazika sana tu kusikia ( tena kutoka kwa Msemaji Ahmed Ally akikiri hivi punde EFM Sports Headquarters na kusema zimechelewa tu kidogo kutokana na Masuala ya Fedha ) kuwa Wachezaji wa Simba SC wana manung'unuko ya Moyoni baada ya kutopewa / kutolipwa Posho zao kwa wakati ambazo Sisi...
  8. JamiiForums Tanzania Wakati wa kufurahi tufurahi pamoja; Kundi la Ghetto Kids la Uganda laweka HISTORIA na Golden Buzzer kwenye British's Got Talent

    Kundi la Ghetto Kids la Uganda laweka HISTORIA na Golden Buzzer kwenye British's Got Talent: Britain’s Got Talent ilirejea kwa msimu wake wa 16 siku ya Jumamosi ambapo kundi la densi la Uganda - GhettoKids - lilipata tuzo ya Golden Buzzer. BritainsGotTalent ni shindano la vipaji...
  9. JamiiForums Tanzania Kabudi: Tanzania imeweka historia, ndio nchi ya kwanza Afrika kusaini mkataba wa hisa isiyofifishwa

    Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee Kissinger: Mwalimu Wangu wa Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MWALIMU WANGU MZEE KISSINGER MZEE KISSINGER WA MTAA WA CONGO CHUO KIKUU CHA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?'' Mimi huwa simjibu kitu nashukuru na kama nimefuata kujua kitu kutoka kwake nitamuuliza na pale pale mwalimu wangu...
  11. JamiiForums Tanzania Historia ya TANU siku zote imeandikwa na makosa

    ''Mwalimu Nyerere na Historia'' (1980) Kitabu cha Prof. G.A. Mhina Kitabu hiki nimekuwancho kwa miaka mingi sana. Lakini kwa kuwa ni kitabu cha picha nilikisoma mara moja tu katika miaka ya 1980 na kikabakia Maktaba. Sikukigusa tena. Jana nimeona picha za TANU katika mtandao na haraka...
  12. JamiiForums Tanzania Historia ndefu ya Afrika kwa ufupi

    MAARIFA NI NGUVU!!!!!! ✊🏽 ~ MUDA WA HISTORIA YA AFRIKA (SIMULIZI ZETU ZA UKWELI) - 100,000 BC - Wanadamu wanahama kutoka Afrika kwenda sehemu zingine za ulimwengu. - 3,118 KK - Mfalme Menes anaunganisha falme za Kemet ya Juu na ya Chini. - 2,600 BC - Piramidi ya kwanza imejengwa huko...
  13. JamiiForums Tanzania Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mbunge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi wakati mmoja kusema kupitia mahojiano na chombo cha habari kuwa atakuja kugombea Urais baada ya Magufuli Mzaliwa wa Geita na mtaalamu wa masuala ya IT na mahusiano ya kimataifa...
  14. JamiiForums Tanzania Historia yawekwa: Mashabiki wa Yanga wakesha usiku mzima wakiangalia mechi ya kirafiki ya Simba

    Mechi ya marudiano ya Simba vs Raja AC iliyochezwa jana mjini Casablanca ilitegemewa kuwa ni mechi yenye ushindani mkubwa pamoja na kwamba ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya kukamilisha ratiba. Pamoja na kwamba timu zote mbili zilicheza kwa tahadhari na kujaribu kutafuta ushindi lakini ile hali ya...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa historia ya maisha na kifo cha "Mbena Malumbi" kama sijakosea jina lake

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo. Kwa kipindi nilichokaa Morogoro nilipata kusikia kwa kifupi taarifa kuhusu Mbena Malumbi na pia kuoneshwa baadhi ya zilizokua mali zake. Hivyo, nimekuja kwenu kuwaomba mnijuze kwa mawanda mapana kuhusu bwana huyo.
  16. JamiiForums Tanzania Machache kuhusu Zanzibar na historia ya biashara ya utumwa

    UKITAJA BIASHARA YA UTUMWA Duniani unaitaja Zanzibar #Unguja ambayo ndicho kilikuwa kitovu na soko kuu la Biashara hiyo ambapo watumwa walikusanywa kutoka pande mbalimbali Afrika (Kongo, Burundi, Rwanda, Tabora, nk.) kupitia Bagamoyo na kuletwa hapa kwaajili ya kuuzwa kwenda kutumikishwa. PICHA...
  17. JamiiForums Tanzania Historia itakukumbuka Mbowe kwa kuyasaliti Mageuzi

    Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo...
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya Taarabu nchini Tanzania

    Taarab ina historia ndefu katika muziki wa Tanzania kama ulivyokuwa muziki wa dansi. Wapenzi wa taarbu wa zamani waliiweka taarabu katika vyanzo kama Taarab ya Tanga, Taarab ya Dar es Salaam,Taarab ya Zanzibar na Taarab ya Mombasa. Taarab ya Zanzibar wakati huo ilikuwa ni ile yenye kundi kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Historia ya TANU Katika Picha Mbili 1955 na 1993

    HISTORIA KATIKA PICHA MBILI 1955 NA 1993 Picha hizo mbili hapo chini zimepishana miaka 38 kwa mkato na kifupi unaweza kusema zimepishana miongo minne yaani miaka 40. Picha ya kwanza ni mkutano kwa kwanza wa mwaka wa TANU Ukumbi wa Ghandhi, Hindu Mandal Dar es Salaam na picha ya pili ni kumbi...
  20. JamiiForums Tanzania Tufanye nini na hizi clip zinazopotosha Historia ya Tanzania?

    Kuna clip inazunguka mitandaoni ikieleza mengi kuhusu Tanganyika. Kubwa linaloshtua watu wengi ni kusema imani kuu nchini ni Ukristo. Nimeandika makala hiyo hapo chini kutanabaisha kuhusu historia ya Tanganyika nikijaribu kueleza imekuwaje tumefikia hali hii: MEETING OF THE MINDS Alikuwa Dr...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…