Ghizela (Hungarian: Gizellafalva) is a commune in Timiș County, Romania. It is composed of four villages: Ghizela, Hisiaș (Hosszúág), Paniova (Panyó) and Șanovița (Sziklás).
Hamjambo!
1. Ni sawa uoe/kuolewa alafu useme nikijipenda inatosha, au akinipenda Mama inatosha. Mkeo au mumeo asipokupenda tafsiri yake hakuna ndoa hapo.
2. Uongozi unatokana na mapenzi. Kupendwa. Ndio maana watu wanachagua viongozi wanaowapenda.
3. Na huwezi kuongoza watu wasiokupenda. Kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu.
Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
EPUKA KUWA MTUMWA WA HISIA ZAKO MWENYEWE📌📌
Watu wengi leo wana ongozwa na hisia kuliko akili. Ukikasirika unafanya maamuzi ya haraka, ukiumizwa una jihukumu, ukifurahi unatoa ahadi usizo weza kutimiza. Mwisho wa siku unajikuta umeharibu mahusiano, kazi, au heshima yako mwenyewe.
Kumbuka hili👇...
1. Kua katika mousanyiko kisha kijana/mwanaume wa rika lake anashuka kwenye ndinga, wakati huo yeye hana mbele wala nyuma, huwa wanajisikia unyonge mkali sana.
2. Anapopishana na mwanaume alie handsone. Yani wanaume wakipishana na mwamaume ambae ni mzuri, tena hapo wakiwa kwenye kundi la watu...
Unawaza nini?
Unakumbuka nini?
Je unakuogopesha?
Je inakuumiza?
Je inakuogopesha?
Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments
Karibuni kwa mjadala
https://www.jamiiforums.com/threads/ambulance-zetu-na-wahudumu-wa-chumba-cha-mahututi.1728818/
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita.
Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema maelekezo yote yaliyotolewa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya hotuba yake baada ya kuapishwa yametekelezwa na yanaendelea kutekelezwa kwa kufanyia kazi makundi yote ya msingi kwa kusikiliza hisia zao, matatizo yao ili...
Hili ni jambo ambalo watu wengi wanaogopa kulizungumzia lakini ni tatizo kubwa, kwenye magroup ya maisha ya ndoa kuna post nyingi (Kwa ID za kujificha) wanawake hulalamika waume zao kukosa hisia baada ya kushonwa vibaya na wanaume wakilalamika hivyo. (Kwa ID za kujificha)
Kuna baadhi ya mishono...
Mke wangu ni Mbinafsi na Mchoyo sana.
Hili ni tatizo ambalo linanipa shida sana. Mke wangu tuna miaka kadhaa na watoto kadhaa. Kinachosumbua hasa ni ubinafsi. Anapenda kuwa centre of attention katika kila kitu.
Ni mtu ambaye anapika nyama kisha anaanza kuchukua kwenye sufia kwa mikono kula...
Ujumbe huu uamshe Hisia za uzalendo wa nchi yako Kwa jina la mwenyezi Mungu mkuu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa mbingu na Ardhi
Watanzania wenzangu, watoto wa ardhi hii ya thamani, tunabeba uzito wa historia mabegani mwetu. Tumelindwa na milima, mito na maziwa, tumekuzwa na jasho la...
Mwalimu aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi kuwa anataka kuwaonesha hatua tatu za hisia za binadamu..
Ya kwanza ikiwa ni sapraizi, ya pili kukereka na ya tatu kughadhibika..
Baada ya maelezo hayo akachukua simu yake na kuandika namba ya simu kwa kubahatisha tu kisha akaweka laudi spika na...
Heri nusu shari kuliko shari kamili
Punyeto na porn ni mambo mawili ambayo yamekuwa tatizo kubwa hasa katika zama hizi za teknolojia za smartphones unazoweza kutumia ndani ya blanketi, chooni, vyumbani, n.k..
wengi wanaopiga punyeto wamejikuta wakiingia kwenye uraibu mwengine wa kuangalia...
Ujue unapomiliki usafiri wish kubwa ni kuona chombo chako kiwe chuma cha kazi kila kitu kiwe on point kuanzia muonekano mpaka performance hapo unavimba popote kuanzia kwa wahuni mpaka watoto wazuri.
Kilichonitokea leo kimenifanya niwaze kuhusu ndugu zetu wanaomiliki ndinga kupitia mikopo the...
Wakuu, ni hisia zangu tu,wamba wamechekecha wakaona kuna mmoja inaonyesha raia wanamkubali, tufanyaje? Tutengeneze movie, kata huku nenda kule. katika zile 700 kuna kafungu kako.
Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi
Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri.
Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa...
Hii inahitaji kuwa basis ya national dialogue; Tanzania haijafika tu kwenye stagnation ya democracy kama wengi wanavyodhani, bali kuna other fronts ambazo ukizimulika deeply utagundua kwamba zinaanguka.
Hii tafsiri yake ni kwamba, wakati serikali yetu ikiendelea ku pump uchumi ukue kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.