Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Watendaji Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya pamoja na watumishi wa sekta ya afya wa Mkoa wa Dodoma Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa Kutoa huduma kwa wananchi si kitendo cha hisani, ni Haki kwakuwa...
Baada ya matamko ya nchi wahisahi kuhusiana na matukio ya liyotokea kabla na baada ya uchaguzi(feki) uliofanyika Tanzania.
Kama ilivyo ada mashehe wetu wasiwasite kutoka na kuitetea Serikali kama wa fanyavyo dhidi ya Matamko ya TEC.
Kwa kutoa matamko makali dhidi ya hawa mabeberu wanayoiandama...
Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa code, aliposema safari hii wanatumia Nyundo alikuwa na tafsiri nyingi.
Yanga hawangaiki tena...
Nimeshangaa na kutatizwa sana na kauli ya Ridhiwani Kikwete akijibu swali la Dr. Christina Mnzava pale Bungeni, alipoulizwa kuhusu nyongeza za marekebisho ya kikokotoo kwa wastaafu, na hata kurekebishwa kwa kikokotoo kutoka fungu linalotolewa kwa sasa.
Hebu angalia mwenyewe hapa chini...
Kampuni za kibiashara ni miongoni mwa vyanzo vya mapato kwa mashirika ya hisani (charity organizations) kwenye utekelezaji wa miradi na program mbalimbali. Utafutaji wa fedha kutoka kwenye kampuni hizi, kitaalamu unajulikana kama “Corporate Fundraising” . Kuna njia mbili za uchangiaji unaofanywa...
Wafadhili wakubwa yaani “Major Gift Donors” ni watu ambao wanatoa kiasi kikubwa cha ufadhili kwa shirika, ili kuliwezesha shirika kutekeleza programu na miradi yake kikamilifu. Tafsiri ya mfadhili mkubwa inatofautiana kutoka shirika moja na jingine, kimsingi hakuna kiwango maalum kinachoonyesha...
Matajiri wa Jf najua mnajionea kwa wenzenu waliona sio mbaya wapendelee nafsi zao na kukuza status zao kwa kutembea na watoto wakali wa mjini.
Ila leo hao slay queens wameanza kuonesha rangi zao za ukweli. Wanataka mali zote. Wanataka kile walichokiona kwako ile mara ya kwanza tu ulivyo mwambia...
1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid.
Yanga kama kawaida yao...
Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Sisi tunatoa tu maoni yetu hatujui yataisaidiaje nchi yetu leo na kesho, lakini ni heri kusema kuliko kunyamaza.
Nchi yenye watu zaidi ya 60m hawakosekani watu safi wenye sifa ya kuongoza wenzao kupata maendeleo. Kama ukiwekwa utaratibu na mfumo mzuri wa kuwapata viongozi bora unaofanana na...
Je ni;
1: Juhudi, Maamuzi na Muda
2: Astrology (nyota kutokana na mwezi wa kuzaliwa)
3: Bahati (ngekewa)
4: Numerology (namba kutokana na siku uliozaliwa)
5: Mapenzi na Kibali cha Mungu
6: Baraka au Laana ya vizazi/ukoo wenu.
7: Ukubwa au udogo wa Nyota yako
Karibuni
Katiba mpya!
Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?
Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-
1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.
Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ziko kwenye magazeti mawili, Gazeti la Nipashe la kila Jumapili na gazeti la Mwananchi la kila Jumatano, pia kuna kipindi cha TV cha KMT, kila Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa...
Watabisha sana lakini kauli ya waziri wa elimu kuhusu ajira za walimu ni kauli za udhalilishaji wa waalimu na Maprofesa wa vyuo husika!
Kama mitaala ya vyuo vya walimu inasimamiwa na wizara ya elimu! Kama vyuo vyetu vina ubora unaokidhi vigezo! Kwanini waziri anawataka walimu wafanye mitihani...
TCRA, BENKI KUU na idara zingine zinazohusika.
Huu ni utapeli kwa hisani ya serikali kwasababu hawa watu wana vibali vya huduma hii toka BENKI KUU na idara zingine husika.
Ukikopa wakati wa marejesho utaona pesa imekatwa VAT kama kawaida kuthibitisha kuwa serikali ndiyo iliyobariki uhuni huu...
Jana nimemsikia mtoto wa Marehemu Edward Lowassa ambaye pia ni Mtunga Sheria (Mbunge) Fred Lowassa akimshikuru Rais Samia Suluhu Hassan na kusema, "kama si Rais Samia baba asingefika Jumamosi alipofariki" kwamba ni Samia alijitolea Kwa hali na mali kuhakikisha Lowassa anapata matibabu...
Nimemsikia Kinana kila jambo hata lililowekwa kisheria anasema Mhe. Rais kafanya.....naomba wataalam wa sheria watusaidie; Ruzuku ya vyama vya siasa utolewa na Rais? Kwa sheria gani inayompa rais ambaye ni Mwenyekiti wa chama cha siasa kugawa Ruzuku?
Kama hakuna kifungu cha sheria kinachompa...