hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Movie & series za kutazama wiki hii

    Bilionea ambaye ni mgonjwa mahututi anafanyiwa upasuaji mkali wa kuhamishia fahamu zake kwenye mwili wa kijana mwenye afya njema. Walakini, hivi karibuni anagundua kuwa mwili wake mpya unakuja na historia yake Mwandishi Eddie Morra ana uhakika kwamba ana mustakabali mbaya baada ya kupoteza...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga kukipiga na Kibonde wake Jumamosi hii

    Timu ya soka ya Yanga yenye makao yake eneo la Twiga na Jangwani inatarajia kushuka dimbani siku ya jumamosi dhidi ya kibonde wake wa muda wote Simba Sports Club. Timu ya simba ndiyo inayo ongoza kufungwa na Yanga na hivi karibuni imepokea vipigo 4 mfululizo kwenye mechi 4 zamwisho. Endapo...
  3. JamiiForums Tanzania Sema hii ngoma Harmonize aliandika tuache masihara

    Tupia nawewe yako ngoma kali unayoikubali ya mmakonde
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana ukaondoa FUSE kwenye stabilizer na bado ikandelea kuwaka na kufanya kazi?

    Wataalamu na wafundi wa electronics, Nina stabilizer ambayo leo sijaielewa. Hivi inawezekana ukaondoa FUSE kwenye stabilizer na bado ikandelea kuwaka na kufanya kazi au kuna tatizo. Na km ni tatizo, litakuwa tatizo gani.
  5. JamiiForums Tanzania Hii haina madhara kwenye sehemu za huyu Dada? Nimeshangaa sana

    Hakuna haja ya salamu. Jana nlienda beach flani ya kishua huko pembezoni ya beach. Nikawa nime cool tu napata moja baridi,moja baridi. Sikujua kama Tanzania kuna joto hivi. Nimeingia Ijumaa alfajiri. Baadaye nikaona nikapoze mwili. Likaja lishangazi limefunga kitambaa laini kiunoni. Lina mipaja...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume chukua hii itakusaidia usiue, usijiue wala usiuawe

    Mwanaume chukua hii itakusaidia usiue, usijiue wala usiuawe Iko namna hii; Hakuna mwanaume mwenye ujasiri wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyeolewa isipokuwa mwanamke huyo amempa ishara kwamba yuko tayari. Kama mwanaume, ukimkamata mke wako akiwa na uhusiano wa kimapenzi na...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa Azam media sidhani kama kuna umakini kwenye upande wa usimamizi!

    Chombo kinachotegemewa kutoa habari mambo yapo hivi...mpira umekwisha au unaendelea dk ya 90....
  8. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kulishakuwapo mwaka wowote na kusitokee vitu ya aina yoyote ile. Hii ina prove hapa duniani bila ya kuwa mbabe utanyongeka hadi mwisho

    Hio ndio asili ya mwanadamu. Mipaka imeundwa kwa mapigano. Mamlaka zimeundwa kwa nguvu. Jamii zime-survive kwa kujilinda kivita. Umashuhuri wa jamhuri umeundwa kwa ushindi dhidi ya mnyonge. Ila wewe umebaki tu kusema "haina noma, malipo ni hapa hapa duniani"
  9. JamiiForums Tanzania Takwimu mbalimbali za soka la Ulaya wiki hii

    Takwimu za mshambuliaji Lamine Yamal wa Barcelona katika LaLiga, amecheza dakika 1,795, amefunga Magoli 5, ametoa asisti 11. Liverpool ni timu ya kwanza ndani ya Miaka 90 kufunga magoli 2+ katika mechi 18 mfululizo za michuano yote, pia ndio timu ya kwanza kufikisha Magoli 101 ya michuano yote...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Unajifunza Nini kutoka Kwenye Picha Hii Ya Waheshimiwa?

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kawaida picha huzungumza zaidi kuliko hata Mdomo wenyewe. Pichani ni waheshimiwa viongozi wetu mbalimbali wakati huo wakiwa Mjengoni pamoja wakituwakilisha sisi watanzania. Je wewe Umejifunza nini kutokea katika picha hii? Mimi nimejifunza kuwa Mheshimiwa Joseph...
  11. JamiiForums Tanzania Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

    [emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa. Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa...
  12. JamiiForums Tanzania Nimeichungulia hii mahala na imenishtua kwa kiasi fulani hivi je, ina ukweli wowote kwa Wahusika wa hilo Eneo?

    Kwamba katika Kitabu kitakatifu cha Dini ya Kiislamu cha QURAN Yesu Kristo katajwa sana tu kuliko Mtume Mohammad?
  13. JamiiForums Tanzania Hatari hii, vipele kisogoni

    Dr mponzi kama unachangamoto ya vipele kisogoni tafadhari wasiliana nami kwenye namba hii 0655928180
  14. JamiiForums Tanzania Ratiba ya NBC PL iangaliwe upya

    Nimejaribu kuangalia ratiba ya NBC PL nimejikuta nabubujikwa na machozi kwa uchungu, mashujaa aliyecheza na Yanga kigoma amecheza Jana na Singida BS na kunyukwa bao tatu sufuri wakati huohuo Yanga yenyewe inacheza kesho, hapa imekaaje wakuu? Jambo hili limekuwa likijirudia Mara kwa Mara na...
  15. JamiiForums Tanzania Naitamani Dar es Salaam ya namna hii

    👉🏾Dar es Salaam, jiji lenye giza na mwanga, limejaa ndoto na fursa zisizoisha. Lakini ni ndoto gani zinazozungumzwa na watu wanaoshindwa kutimiza malengo yao? Jiji hili linapokuja kwenye mandhari ya kibiashara na utamaduni, linatoa picha ya maendeleo, lakini je, kila pembe ya mji inavyoonekana...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

    Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu!
  17. JamiiForums Tanzania Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

    Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu! ANGALIA VIDEO HII HADI MWISHO
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Pangani waiumbua Yanga mkutano wa Rais leo, aibu kubwa sana hii

    Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao. Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli. Sio Pangani tu hata...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Pangani waiumbua Yanga mkutano wa Rais leo, aibu kubwa sana hii

    Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao. Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli. Sio Pangani tu hata...
  20. JamiiForums Tanzania Nimechoka kuangalia movie za binadamu kuuana nimeamua kwenda na hii

    Wasalaam wana JF. Ni muda mrefu sasa (zaidi ya miaka 30) nimekuwa mshabiki wa movie za vita, uhasama, ubabe na umafia kati ya bin adam na bin adam ila imetokea ghafla kuanza kuona hakuna jipya kwani nikutafuta sifa baina ya mtu na mtu au taifa fulani na jingine. Nimeamua kwenda na hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…