hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tunapoenda kuanza mwezi June; Aya hii ikusaidie, iwe muongozo kwako.

    TUNAPOENDA KUANZA MWEZI JUNE; AYA HII IKUSAIDIE, IWE MUONGOZO KWAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Isaya 48:17 Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata. Nisikie! Mungu...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
  3. JamiiForums Tanzania 1-3, hii ndiyo Simba tunayoijua, au wamejivunja?

    Kwa mpira wa haki ya Mungu, Simba isingefika hapa ilipo Sasa kwenye ligi na CAF msimu huu. Hawana timu ila Ina tajiri mo. Wameikwepa Yanga kukwepa kufungwa na Yanga mara 6 mfululizo, Kama hawatafanya usajili na kujidanganya kuwa wana timu na kocha, msimu ujao maumivu yao yatakaza,
  4. JamiiForums Tanzania Nimewin milion 8 kampuni ya 1 win ila inagoma kutoka wakuu hii kampuni ni ya kitapeli au

    Naombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hii ratiba imekaaje, vipi nyie mmeielewa?

    Ijumaa tarehe 6/6/ 2025 South Africa vs Tanzania (friendly match) Kesho yake Jumamosi 7/6/2025 Tanzania vs Madagascar (COSAFA cup) Tarehe 11/6/ 2025 Eswatini vs Tanzania Siku nne baadae, 15/6/2025 Yanga vs Simba 18/6/2025 kenGold vs Simba 22/6/2025 Simba vs Kagera NB: Ratiba ya Simba ndio...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hii video wataelewa wenye akili tu Magwajima wataibuka wengi tu

    Magwajima wataibuka wengi tu
  7. JamiiForums Tanzania Jamani kweli hii sio kuvuja kwa umeme? Unit 28 kwa siku 6

    Mimi mke wangu na watoto wawili wadogo TV, radio, friji inawashwa mara moja moja, taa tunazima Tusaidiane jamaani mawazo
  8. JamiiForums Tanzania Hii kusema Chama kitaanza kutekeleza Mchakato Wa Katiba Mpya wakiingia Madarakani 2025-2030 ni uongo, kila muhula wanakuja na Uongo huu.. shituka wewe

    Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
  9. JamiiForums Tanzania Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

    Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu 1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua 2. Saa nne unakula matunda sahani nzima 3. Mchana unapiga msosi (wali/ugali) ulioshiba wanga 4. Jioni unapiga chakula laini chips kavu au yai unashushia na soda
  10. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa watanzania wote wanaopenda Adventures, hii si yakukosa, siku sita na gharama ni mteremko ✌🏽

    🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻 Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu! Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya: ✅ Kupanda mlima mrefu zaidi Afrika 🌍 ✅ Kuweka historia yako mwenyewe 📸 ✅ Kukutana na marafiki wapya wa roho ya adventure 🤝 ✅ Kuonja...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuna usalama na Polisi wasiopenda hali hii tunaelekea pazuri

    Ndani ya usalama na Polisi kuna mgawanyiko. Kazi kubwa kwa wazalendo wa ndani ni kuwasomesha wasimamie haki na kuzuia wizi wa kura na waache uchawa. Wakina Gwajima, Lissu na Lema tayari wana watu wao. Kuna wanao weka ukabila hasa wa Gwajima lakini wakiungana wanaweza kuleta jeshi lenye haki.
  12. JamiiForums Tanzania Hii ni kwaajili ya Watanzania wote waliopo, hii ni fursa ya kipekee, maelezo yote yapo kwenye Tangazo

    🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻 Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu! Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya: ✅ Kupanda mlima mrefu zaidi Afrika 🌍 ✅ Kuweka historia yako mwenyewe 📸 ✅ Kukutana na marafiki wapya wa roho ya adventure 🤝 ✅ Kuonja...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu, ki-protokali hii imekaaje?

    Wakuu, ki-protokali hii imekaaje?
  14. JamiiForums Tanzania Kama Hili Ndio Neno Kalitamka Mh. Rais, Basi Hii Ndio Maana Yake...

    Majdhub ni taahira
  15. JamiiForums Tanzania Eminem alimchana sana Mama yake kwenye hii ngoma ya 'Cleanin Out My Closet' akionesha Dunia chuki ya wazi kwa Bi Mkubwa ambaye alikuwa mzinguaji enzi

    Wakati Dr. Dre anapelekewa Eminem ili amsaini, alimshangaa, hakuwa akiamini kama Mzungu huyo angeweza kuchana kama watu weusi lakini alipomsikiliza, sasa akawa na uhakika alimpata mwamba, mtu aliyekuja kuwa na ukubwa usio wa kawaida. Huyu Eminem hakuwa na mahusiano mazuri na mama yake kama...
  16. JamiiForums Tanzania "HUJUI? Mansion si lazima iwe ghorofa! Angalia hii 5-bedroom masterpiece yenye: 2-car garage Swimming pool unayoifikia moja kwa moja kutok

    SISI TUNAHUSIKA NA : DESIGN ,UJENZI NA UKARABATI OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP US +255624004650
  17. JamiiForums Tanzania Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

    Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa. Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa jeuri hii bodi ya ligi na TFF hawako huru, hawako peke yao

    Bodi ya ligi na TFF hawajali timu na wadau wanasema nn kuhusu mechi zinavyochezeshwa. Nijuavyo mm bodi ya ligi na TFF hawana ubavu wa kuahirisha mechi ya derby kihuni namna ile. Timu hata za jeshi kuonewa uwanjani kwa kuchezeshwa kihuni hakuwezi kufanikishwa na bodi ya ligi pekee.
  19. JamiiForums Tanzania Wenye uelewa mpana kuhusu ubora na changamoto za bike hii...

    SINORAY 250CC
  20. JamiiForums Tanzania Hii kolablo ya Mpina na Gwajima ni kitisho kwa CCM maslahi

    Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…