King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Shirikisho la mpira wa miguu TFF imekanusha taarifa za kujiuzulu kwa rais wa shirikisho hilo Wallace Karia,taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii leo asubuhi zilidai kuwa rais ameachia ngazi.
Nimeona jitihada zinazofanywa na wadau katika siku za hivi karibuni kutafuta suluhisho la tatizo sugu la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, ikiwemo hatua ya kufunga kamera za ufuatiliaji barabarani.
Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, matumizi ya kamera hayawezi kuondoa tatizo la foleni kwa...
Yaan nimepiga calculations zote majibu hakuna, integrals, pythagoras theorems mpaka ma-pai-chart kitu kinasoma bila bila. Na hiio ni Hisabati.
Hii inakuaje Wakuu? Hesabu zimegoma kabisa
Ni wazi kabisa ACT wazalendo walisaini maadili ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 mwezi October kuonesha kuwa walilidhia kanuni hizo, wanajua kanuni hizo ziliwaelekeza kuwaelimisha wafuasi wao kuwa hawataruhusiwa kuwa na simu eneo la uchaguzi wakat uchaguzi ukiendelea, pia wanajua wazi kuwa...
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa na mtetezi wa haki za binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Rufaa hiyo ilisikilizwa mbele ya jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa...
Habari wapendwa!
Taasisi ya ndoa imekumbwa na mitikisiko mingi hivi karibuni kutokana na changamoto mbali mbali!
Sababu kubwa inayopelekea hayo yote ni matarajio makubwa ya wenza katika ndoa.
UKWELI ni kwamba WANUFAIKA WAKUBWA WA NDOA NI WATOTO Siyo WANANDOA!
Wanandoa ni watu wawili...
CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii.
Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa.
Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:-
1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe.
Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake .
Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara.
Unapozungumzia Anasa means is endless shit .
So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote
He or...
Nimekaa nikatafakari nimegundua mapenzi ni utapeli tu!, Haiwezekani ati mtu kwa kukubusu tu useme hayo ndio mapenzi!, yani mtu anatumia kiungo chake cha kusagia chakula (mdomo) kukuonyesha mapenzi!, How come..?
Ama mtu anakuonyesha mapenzi kwa kukupa kiungo chake cha uzazi yani uzazi ndio...
Mkiambiwa hamna akili au wengi hamna akili. Mnawakishwa na wasio na akili. Kweli Mbunge na akili timamu anaona hitaji kubwa walilo nalo ni namba maalum za magari? Watanzania wakati huo mnashangilia Simba na Yanga.
Wakuu inakuaje apo
Back to the topic,mida hii ya mchana Niko zangu ofisin,nimetulia baada ya ubize wa asubuh kupanga panga vitu .ikabidi nitulie sasa ..nikaingia zangu fb huko ,ghafla bin vuu nakuta sms messenger..naangalia profile jina la kiume ila mtu kaanza.na mambo daah ikabidi nimjibu mara...
Moja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran.
Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia...
kumekuwa na chapisho linalo sambaa kwenye mitandao ya kijamii likionesha ukurasa wa joseph mbilinyi umeweka chapisho la kutokuwa na imani dhidi ya uongozi uliopo madarakani "Nukuu ya chapisho hil o inadai kuwa nimekuwa nikihisi haklli ya kutengwa mara baada ya kuhusishwa kujiunga na chama cha CHAUMA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.