Una amua kutoka na mtoto matembezi ya kwaida una kutana na wafanya biashara hawa labda anauza vidoli vya kuchezea watoto huna ratiba na kununua iko yeye ana enda mpa mtoto achezee kumuonjesha mtoto una mkataza ataki ana anza kukupigia kelele za kilio kitu cha 2000 mtu ana kuambia 5000 kwasababu...