Fascinating
Senior Member
- May 14, 2025
- 124
- 304
Agosti mwaka huu, CRDB ilikuwa trendy sana, market cap ya Tsh trilioni 3.6 na hisa zake ziliuzwa kwa zaidi ya Tsh 1,500. Kila mtu alitaka kuzinunua, akitumaini mambo yatazidi kuwa matamu, lakini ma-speculators walikimbia.
Sasa mwenendo wa CRDB huko DSE unawapa watu tumbo joto, na licha ya Minong'ono yote ya jana, CRDB bado hawajatoa Press release yeyote.
Wawekezaji mjipange kisaikolojia. Ila wadau ambao hamjawahi kununua Hisa CRDB, zikishuka chini ya Tsh 800, hiyo ndio 'entry point' ya kununua!🔥🔥🔥