hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Ngoja niwaambie kitu Watawala kuhusu hawa Gen Z

    Generation Z (Zoomers/ Gen Z) ni kundi la watu ambao wamekulia katika mazingira tofauti kidogo na Generations zingine za nyuma yao (Generation Y kurudi nyuma) Kwa asiye jua, Generation Z ni kundi la vijana waliozaliwa kati ya 1997 hadi 2012. Gen Z ndilo kundi kubwa la watu waliokulia katika...
  2. JamiiForums Tanzania Nauza Sewing Machine

    Wadau nauza hii cherehani sina matumizi nayo kwa sasa, nauza pamoja na kila kitu cheke. Bei 400k Brand name : JANOME. Mawasiliano : 0763708877 (Whatsap)
  3. JamiiForums Tanzania Tunaweza tengeneza dawa ya ebola na marburg ya kutibu symptoms hii fedheha inatakiwa ifike mwisho

    Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hii nafasi wanayoshika Bandari, leo tuwatandike hasa wakasimulie

    Hawa tunapaswa kuwatandika si chini ya bao 3. Ni team ambayo ipo nafasi ya chini kwenye ligi yao. Ni kipimo kizuri cha kutupatia ushindi na kutuchangamsha.
  5. JamiiForums Tanzania Hii Pikipiki (boxer) imenishinda, fundi mtabe njoo hapa unisaidie

    pikipiki yangu inatoa moshi, kila nikitepeleka kwa fundi anabadili piston kits, na bla blaa kibao kwamba imepona. after few period inajirudia tatizo lile linajirudia!
  6. JamiiForums Tanzania Nimejaribu Leo kwa Mara ya Kwanza. Hii Kitu (Pichani) ni Tamu Aisee Asikwambie Mtu!

    Nauliza tu. Nikiwa nakula kwa wiki angalau mara mbili hivi; kuna madhara yo yote naweza kupata? I can't believe this 👐
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndio hotuba ya Tundu Lissu itakayoishi miaka 10,000 ijayo

  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Hii sio Mahakama ya Kijeshi, Raia wana Haki ya kusikilizwa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema ni haki ya kikatiba kwa raia kusikiliza kesi, hivyo wasibuguziwe wale wanaofika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi hii miradi kama SGR pamoja na Mv Mwanza ni mali ya CCM?

    Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii. Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania. Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au sio CCM analipa kodi? Soma >> GE2025 - Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende...
  10. JamiiForums Tanzania Hii sms imekuaje inakuja na jina hili?

    Natumia TRUECALLER
  11. JamiiForums Tanzania Wiki hii tafuta muvi hizi 6 za kutisha (SCARY MOVIES) ili wikiendi uziangalie na hautojuta

    1: Devil's advocate Kijana mwanasheria machachali kutoka mji mdogo ana kuwa recruited kwenda kwenye law firm ya kitajiri na anapewa kila kitu ambacho hata aliowakuta hawakuwahi kupewa, lakini anakuja kugundua aliajiriwa na shetani kutetea wafanya makosa ya hatari, kinachofata ni sokomoko. 2...
  12. JamiiForums Tanzania VPN: Mungu awabariki wazungu kwa hii kitu

    Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini. Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabehewa ya Treni ya TAZARA yamejichokea, yanatumika hivyohivyo, hii ni hatariiii!

    Serikali isikie kilio cha abiria wanaotumia Reli ya TAZARA, wanapitia changamoto zisizoelezeka kutokana na ubovu wa mabehewa, tuliahidiwa mabehewa mapya lakini hadi sasa kimya na muda unazidi kusonga mbele. Pia, tuliambiwa Wachina wanakuja lakini tangu Mwaka 2025 hadi leo kimya, treni ya abiria...
  14. JamiiForums Tanzania Inasemekana watu wengi wenye hii alama kwenye sikio wana hatma ya kuwa matajiri

  15. JamiiForums Tanzania Nani ana utaalamu na hii gimbal ya Hohem isteady M6

    Wakuu naomba mwenye utaalamu na hii smartphone gimbal ya hohem isteady m6 jinsi ya kuitumia yenyewe pamoja na app yake anisaidie maana imekuwa inanipa shida sana namna ya kuset na kubalance simu yangu
  16. S

    JamiiForums Tanzania Sexless: Nashauri kila mzalendo ajitenge na serikali hii kwa kujiuzulu nafasi yake kama alivyofanya Polepole

    Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
  17. JamiiForums Tanzania Wikiendi hii chukua muda wa kuangalia hizi SPY MOVIES 6 na hautojutia

    1: THE GOOD SHEPHERD Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy...
  18. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wataalamu??

    Kuna binti mmoja kazini kwangu ni rafiki yngu wa kawaida Ambaye tunashirikiana vitu baadhi Sasa sababu ya kuja hapa jamvini ni kuhusu tabia ya huyu binti. Mimi nimeoa yeye hajaolewa na hapa kazini kuna vijana kama watatu wameshamtongoza wajenge familia lakni yeye hatak na mbaya zaid aanakuja...
  19. JamiiForums Tanzania CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

    Kweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli. Siku tatu nzima hakuna huduma ya sim banking wala Tawi
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Karne hii wapo wanaume wa hivi?

    Tatizo la kutokuhuzuria vikao ndo Haya sasa, Wanaume na nyie baadhi yenu Kuna kaushamba flani mnako Tena kanaboa saana ndo maana hata mnavyo tongoza wadada wanawakataa ......mfano mtu..... 👇 anakuja inbox 📥 anakwambia dada mambo ...wajibu poa....anakuliza unakaa wapi....wamjibu pengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…