Dunia haina nafasi ya mnyonge, na ndio maana katika dini yetu ya kiisilamu hakuna nafasi ya kumuachia MUNGU, kila kitu watu wanatakiwa kufanya kwa juhudi zote, kwa nguvu zote na kwa maarifa yote, na MUNGU kaamrisha watu wafanye vitu kwa mtindo huo.
Hata Nabii Yahya mtoto wa Zakaria ambae...