hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge nao walipwe pension kwa kikokotoo cha asilimia 33%. Kama Rais Samia unaona hicho ndio kinachofaa, basi kifae kwa wote!

    Kuna mambo mengine huwa yanakera sana!! Kama Rais Samia anaamini kwa dhati IMANI ya CCM kuwa binadamu wote ni sawa na kuwa kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake, inakuwaje akaona kuwa watumishi wengine wanastahili mafao kwa kikokotoo cha asilimia 33% wakati wabunge...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka south Sudan kabila la DINKA nimekuta na hii

    MARRIAGE IN SOUTH SUDAN MEANS 4 YEARS OF FREEDOM FOR BRIDE Today we tour the Dinka custom of marriage. Despite payment of dowry that ranges from 100 to 500 cows, women are treated godly. Once a man gets married, his wife will not cook or sweep for 4 years. This period is called "Anyuuc"...
  3. JamiiForums Tanzania Nimekutana na hii hapa

    Hii hapa ni kweli?
  4. JamiiForums Tanzania INAUZWA Ndege hii inauzwa

    2.5 B Mzungu kalewa Contacts . Mr.ibuog@gmail.com Wajuba yenu 500M
  5. JamiiForums Tanzania Katiba, Nchi gani Dunia hii iliyowahi kubadilisha kwa hiari?

    Sijawahi kusikia hata siku moja Katiba ikiombwa, Katiba hushinikizwa au kulazimishwa kama ukipenda na sababu ni moja wale wanaotaka Katiba mpya wana nia ya kuingia madarakani ambapo kwa Katiba iliyopo wanaona hawana chance, wale waliokuwa na power ambao ni wanufaika wa Katiba iliyopo hawawezi...
  6. JamiiForums Tanzania CRDB hii siyo sawa, rekebisheni hili

    Mko vizuri sana kwenye slogan yenu ULIPO TUPO. Mtu anakopa hela kwenu kwa makubaliano kuwa mtakuwa mnamkata kwenye mshahara wake kila ukiingia mwisho wa mwezi. Mme muingizia mtu mkopo jumatatu hii mshahara haujaingia bado lakini leo hii alhamisi mmeanza kukata kwenye ule ule mkopo mnakiuka...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Responded TCRA, hawa matapeli wa “TUMA KWA NAMBA HII” tutaishi nao milele?

    Ni kipindi kirefu sasa kumekuwepo aina hii ya utapeli tulioubatiza jina la “TUMA KWA NAMBA HII”. Wapo waliofanikiwa kukwepa na wapo waliolizwa, na bado kuna wahanga watarajiwa. Haya yanatokea hata baada ya zoezi la usajili wa laini za simu ambao uliaminisha wengi ungekuwa suluhu ya jambo hili...
  8. JamiiForums Tanzania Babati: Viongozi BAVICHA Taifa wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya mkusanyiko usio na kibali

    Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao. Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hii kauli " Rais kaleta hiki kafanya hiki" husemwa hata kwa wenzetu au ni hapa tu?

    Huwa nakerwa sana na mtindo wa wanasiasa kumpamba na kumsifia rais kwa maendeleo yanayofanywa na serikali. Kwa uelewa wangu, jambo lolote la kimaendeleo hufanywa na serikali Kwa wananchi kutumia kodi zao kwa niaba yao. Hii ni sawa na kusema una hela yako unatamani kula nyama kwa kuwa huna...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli basi Injinia Hersi na yanga kutikisa dunia

    Jamani mkiambiwa Yanga sc ni mabingwa wa CAf champions league msimu wa 2022/23 msibishe na klabu bingwa ya dunia lazima wafike fainali kama siyo kuwa team ya kwanza Afrika kuchukua kombe hilo. Habari za ndani ndani zinadai Kiungo mtaalamu wa PSG Idriss Gueye anatua jangwani na amekubali...
  11. JamiiForums Tanzania Makosa kama haya ni aibu kubwa kwa nchi yetu

    Hebu jionee mwenyewe
  12. JamiiForums Tanzania Hii ni kumbukumbu nzuri sana kwenye Soka Letu

    Wakuu Kumbu kumbu nzr sana hii, namkumbuka Ramadhani Lenny akija home ( mtoni Kwa azizi Ali, uwanja wa sifa) kucheza ndondo akitokea mbagala kabla ya kuingia Simba. . Hakika alikuwa moto sana na miguu yake kama imechomekwa ivi😃😃 hakika tulipata burudani. Zamoyo mogella, pia huyu nae alikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika tunadharauliana wenyewe kwa wenyewe. Hii si sawa

    Miaka ya nyuma tumesaidia nchi nyingi sana katika harakati za Ukombozi. Kupinga Ubaguzi,Ukandamizaji ba Uonevu. Nchi nyingi. Tuna maeneo na mitaa mingi kwa Majina ya Wanaharakati na wakombozi wa Africa. Mitaa kama Nkrumah n.k na hata Shuleni nakumbuka kulikuwa na Mabweni kama Nkrumah, Samora...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

    Kwema jamani? Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu? Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima. Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua kali sana kwa Maafisa Utumishi wa namna hii

    Kumekuwa na mvutano wa hali ya juu sn kati ya vyama viwili vya kutetea walimu yaan cwt na chakuhawata juu ya nan mwenye haki ya kumtetea mwalimu huku CWT kikijinasibu kuwa na haki na hata inapoonekana chakuhawata wameingia kwenye makato bas cwt ipo tayar kutumia hela kuhonga maafisa utumishi ili...
  16. JamiiForums Tanzania Orodha ya wanasiasa ambao inasadikiwa watajiunga umoja party huko mbeleni watatujuza mengi na kubadili upepo wasiasa

    Nasikia watafunguka mengi. Na hawa ndio wataweka mambo hadharani 👇 1. Job Ndugai huyu atafunguka mengi maana inasadikika namna alivyog'olewa ni sababu alitaka kuleta kauzibe kwa wapiga madili. 2. Luhaga Mpina huyu atafunguka mengi sana huko mbeleni na hali ya hewa itachafuka. 3. Dk . Bashiru...
  17. JamiiForums Tanzania Ukisikia kula tunda kimasihara ndiyo hii sasa!!!

    Kijana mmoja huko buza kwa mpalange amejikuta akitunukiwa tunda kimasihara bila kutoa hata senti tano. Dah,, ila hizi bahati mbona hazijawahi kunikuta ona sasa mpaka nimesha owa.,😋😋😋
  18. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa hii tafadhali atuwekee humu.: jeshi la polisi lakamata madereva 150 wa mabasi ya mikoani.

    Habari wanajamvi. WIKI HII inayoishia leo 21 May 2022 Nilikuwa nimekaa mahali usiku nikasikia kwenye radio kwa mbali ilikuwa ni taaarifa ya habari nikawa interested kuisikia lakini bahati mbaya ikawa imepita. Nimejaribu kuitafuta kwa bidii kwenye mtandao nimeikosa.Inaelekea haina intrest...
  19. JamiiForums Tanzania Baadhi ya makabila yanamila hii sijuwi inamaana gani.

    Baada ya mazishi hutangaza pale makaburini tanga ndg litakuwa kesho na siku hiyo watanyoa ndg,jamaa na marafiki.Swali langu kule kunyoa kuna maana gani?Wajuvi karibuni.
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume msiowatunza mama zenu hii niaibu kabisa

    Wadau wangu leo naongea nawaheshimiwa fulani wanaojidai wamezaliwa na wamama wakwe na wake zao. Iwafikie woteee ambao hawajawatumia mama zao pesa za matumizi tokea wawe nafamilia iwafikie wakaka wote ambao hawawatumii mama zao hela ya matumizi. Tumeenda leo kidogo kuwasalimu watoto na wazee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…