hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Kigamboni: Moshi mkubwa watanda winguni na kuleta taharuki

    Kuna moshi mkubwa Kigamboni na inasemekana ni reserve ya mafuta inaungua. Inatengenezwa scarcity? ===
  2. Z

    Nini tafsiri ya ndoto hii aliyoota mke wangu

    Mke wangu kaoota nyoka anamzuia kila akijaribu kupita njiani. Kila akijaribu kutafuta upenyo nyoka anaziba njia
  3. Je, Marais wengine wa Afrika Wana aina hii ya 'Uzalendo' aliyonayo Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema?

    Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani. Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii. Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu...
  4. Q

    Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi. "Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
  5. Hii movie inatwaje?

    Habari wakuu naomba msaada kwa anayeijua hii movie jina lake
  6. Hii ni Experience yangu niliyoipata kwa Mwanamke Mwembamba

    Huyu mwanamke ndo wa kwanza kabisa mimi ku sex naye akiwa ni mwembamba. Binafis nimekuwa nikipenda wasichana wanene, wenye hips, huo ndo ugonjwa wangu sana, yaani nikiona wa hivyo nachanganyikiwa kabisa. Basi nikasema anyway ngoja nijaribu na upande wa pili hasa kwa kuwa huyu dada alikuwa...
  7. Kenya itasoma bajeti yake mapema kwa sababu ya uchaguzi. Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi, Aprili 7, 2022

    Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi wiki hii. Bajeti yenyewe itakuwa ya ksh 3.3 trillion ambayo ni zaidi ya mara dufu ya bajeti ya Tanzania. ======= Budget reading Thursday as MPs end revenue share row These measures will be contained in the Finance Bill, which must be tabled in...
  8. Rais Biden ajichanganya, amtaja Michelle Obama kama aliyekuwa "Vice President"

    Hizi ni zama za mitambo tu, hatuchekani kabisa hapo, Duh!
  9. Maana halisi ya kufunga Mkanda karne hii

  10. K

    Je, CHADEMA safari hii kwenda na nani kwenye uchaguzi wa Kenya?

    Nakumbuka kipindi kile walimtosa mpinzani mwenzao Raila na kumuunga mkono Uhuru Kenyatta tena nakumbuka mzee Lowassa alifunga safari mpaka Kenya kwenda kuwashawishi wamasai wamuunge mkono Uhuru Kenyatta. Sasa mwaka huu Raila anaungwa mkono na Uhuru Kenyatta. Je,CHADEMA watalazimika kumuunga...
  11. J

    Natafuta mtaalam wa MQL anifundishe kutengeneza system hii

    Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) kwa kutumia MQL script language hata kwa malipo Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically, ukishaitengeneza na kuweke vigezo vyako vya ku trade, unaijaribisha...
  12. Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  13. N

    Ya kina Hapi, Sabaya, Makonda na verse hii ya DMX (r.i.p)!

    Katika wimbo wake wa 'what's my name' kuna sehemu mgumu huyu (dmx) anasema; "Look at all these off‐brand niģgaz runnin' around yappin' about they be holding figures as big as jigga's"! Halafu kuna sauti inasindikiza hiyo verse inasema, "that's the bullshit"! Nimejikuta tu nakumbuka siku chache...
  14. Hii imekaaje; Msanii anashinda tuzo anashukuru serikali badala producer, label, familia yake, n.k

    Artist Unashinda Tuzo Ya Muziki, Toa Speech Mshukuru Producer, Shukuru Label, Management, Family, Media House & Fans! HAYA MAMBO UNAPANDA UNAISHUKURU SERIKALI, UNAMSHUKURU MAMA MHESHIMIWA, AAH MIMI SIONI KAMA NI SAWA BWANA!
  15. M

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi hii

    Habari wakuu!! Ningependa kuuliza kama kwa hii (Msc IT Management) program Content inatosha mtu kuwa na Technical knowledge za IT au zipo based on Management tu CORE COURSES COURSE TITLE CODE Units TCU CREDITS Scientific Research Methods OCS 601 1 10 IT Entrepreneurship and...
  16. Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    "Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma. “Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
  17. Naomba kujuzwa soko la hii bidhaa

    Wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka? Niko Dar nataka nijipanue kifikra na kuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na Singida. Hizi ni yeboyebo ambazo ni reject so bei yake ipo chini pia. Asanteni.
  18. Hii ni dawa ya nini?

    Nimeikuta kwenye bag la mtu wangu katoka safarini. Ni dawa ya nin?
  19. M

    Chadema hii ndio fursa itumieni vizuri.

    Hii ni CcM isiyokubalika kwa wananchi na ilishachafuka huko nyuma na kuwapa nyie fursa ya kukubalika kama chama cha upinzani kinachopinga mafisadi. Hii ndoo fursa ya kunyanyuka tena na kupaa kisha kukamata dola. Changamkeni mtumie hii fursa.
  20. Kenya unveiled a sixth submarine internet cable

    Thirteen years since Kenya welcomed its first ever fibre optic cable, the country has now unveiled a sixth submarine internet cable that promises to offer higher speeds, lower latency and broader bandwidth. The launch of the Pakistan and East Africa Connecting Europe (Peace) cable on Tuesday...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…