hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hii sasa dharau, yaani mimi wa kunialika mahafali ya mtoto wa chekechea? Kweli?

    Yamenikuta jana asubuhi, mpaka sasa sijakaa sawa kwa fikra na hasira. Yaani na ugumu huu wa maisha, upandaji huu wa bei, bado mgao wa umeme na maji na ukaribu wa kufunguliwa kwa mashule eti mtu anakuja kukualika mahafali ya mtoto wake, eti anamaliza chekechea! Hivi chekechea mtoto anahitaji...
  2. JamiiForums Tanzania Geita ni Mkoa wenye dhahabu nyingi nchi nzima na hii ndio Standi yao ya Mkoa ya Mabasi

    Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro. Geita kuna laana Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na mnaowaachia kulea watoto wenu

    Habari wana jukwaa, Hii video inaeleza jinsi houseboy alivyomfanyia mtoto wa bosi wake, kwa kweli inatia kinyaa. Ningekuwa mimi ndiyo mzazi wa huyo mtoto haki ningeua mtu. "Mtoto mdogo alikuwa akimpenda sana houseboy na familia ilikuwa haielewi ni kwanini, baada ya muda mtoto akaanza kukataa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana Taasisi Nyeti kama CIA, FSB na MOSSAD Kuhongeka na kuwekwa Mfukoni mwa Matajiri. Je, hii ni kwa nchi zingine pia?

    Kuna taifa moja Duniani (kwa sasa nimelisahau) wao wameshakubali idara yao nyeti na iliyokuwa ikisifika miaka ya nyuma sasa kununulika (hasa watendaji wake baadhi ila siyo wote), kupenda na kupokea hovyo rushwa kwa tamaa ya kuwa matajiri hali ambayo inaihatarisha hiyo nchi kiusalama kwa siku...
  5. JamiiForums Tanzania Ninahitaji mwenyeji USA jimbo lolote ila Texas ni much preferable

    Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ. Nimeamua kuliweka hili humu jf...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa 'unbeaten' tujikumbushe somo la 'map reading'. Soma picha hii kisha ujibu maswali

    MASWALI: 1. Hii picha ilipigwa wapi? 2. Huyo aliyetoa macho na kubaki mdomo wazi ni nani? 3. Kwa nini macho yalimtoka na kubaki mdomo wazi? 4. Hii picha ni ya tukio gani? Wazee wa "unbeaten" karibuni kwenye map reading!
  7. JamiiForums Tanzania Tunga sentesi moja kwa kutumia hii picha.

  8. JamiiForums Tanzania Nchi ngumu sana hii hadi chombo cha serikali (TBC) wanahamasisha kamali ya Upatu

    Now Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, Kila Tv na radio habari yao ni moja tu "cheza ushinde kwa buku tu" hii inafikirisha sana. Inaamana Uchumi wetu umeporomoka sana kiasi kwamba kila mwananchi anavizia mchongo wa kamali ili kutimiza malengo. Uchumi huru kwa wananchi hasa wa hizi nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitumiwa meseji hii bila kuuliza ujue wewe ni mnoma sana kunako kitanda

    Wasalaaaaaam wazee. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Ewe mwanaume ukiona umepiga show usiku kisha asubuhi demu akaondoka, yakapita masaa kadhaa demu akakutumia mesej nitakayoiambatanisha hapa ujue wewe ni guru kunako kitanda. Huyu manzi jana usiku nimemkamua haswa mpaka alikuwa anageuza...
  10. JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba 'link' ya filamu ya Vuta N'Kuvute | Tag of War

    Wakuu heshima kwenu. Natumai mpo salama kabisa, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada niweze ku-download hiyo movie ya kibongo inaitwa TAG OF WAR mwenye direct link naomba anisaidie tafadhali. Natanguliza shukran.
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Ihefu FC hii iliyo 'Ndembe Ndembe' huenda Leo Mayele aliye kwenye 'Fomu' yake akaondoka na Mipira Mitatu

    Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa (9) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa katika NBC Premier League. Tunaochukia Mayele Kufunga na Kutetema huenda leo tukanuna (tukawa na...
  12. JamiiForums Tanzania Napendekeza aina hii ya tozo kwamba kila mwenye gari alipie tsh 1,000/= kila mwezi

    Moja kwa moja kwenye Mada. Napendekeza aina hii ya tozo kwamba kila mwenye gari alipie tsh 1,000/= kila mwezi kwa mwaka tsh 12,000/= kwa kila gari moja, INALIPWAJE? Ilipwe katika vituo vya mafuta, pale gari linapoenda kujaza mafuta, ikatwe hapo hapo kama vile jinsi tunavyolipia luku, Ukitoa...
  13. JamiiForums Tanzania TAKUKURU hii Rushwa Kubwa na ya aibu katika Soka la Tanzania kwa sasa hamuioni au mnaifurahia ije Kutugharimu?

    Leo nasema (naandika) hapa wazi wazi kabisa kuwa Ligi Kuu ya Tanzania NBC Premier League imeshaharibiwa kwa Rushwa zilizovuka Viwango ambavyo GENTAMYCINE siogopi na sioni Aibu kusema kuwa zimechochewa na Utajiri wa hawa Matajiri Watatu Gharib na GSM yake, Yusuf na Azam yake na Mo na Mohammed...
  14. JamiiForums Tanzania SINEMA FUPI: Kwa Tanzania kuna mwanamke anaweza kujitokeza na kumponya farasi kwa njia hii?

    Katika baadhi ya jamii za Kiafrika, farasi anapougua hadi kukaribia kufa, anatafutwa mwanamke ambaye amemjua na amekuwa na mwanamume mmoja tu katika maisha yake humruka huyo farasi na hupona. Angalia kipande hiki cha sinema hapo chini.
  15. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina vijana wa hovyo sana

    Nimeshindwa hata kumalizia using mjonee tu wenyewe
  16. JamiiForums Tanzania Daladala bye bye hii namba C inanitosha. Asante Sana Allah

    Sasa daladala bye bye Kaa vizuri na Mungu Muda huu nipo hapa Banana Big John Katika Sheli ya Petro Africa Vijana tuishi Katika Mungu Mimi hii namba C inanitosha
  17. JamiiForums Tanzania Unbeaten hii maana yake Yanga siyo ya ligi hii ya NBC

    Huwezi kuwa na unbeaten 49 kama uko kwenye ligi yenye timu zenye uzito unaofananafanana. Naitabiria Yanga kufika mbali sana kwenye mashindano ya CAF.
  18. JamiiForums Tanzania ID ya kipekee sana jf ni hii; imenishangaza sana

    Nilidhani ID yangu ndio yakipee sana JF Tapaiko Namkeho kumbe nilikuwa nakosea kuna huyu mwamba III II II II II, hebu jaribuni kulitamka halafu mtuandikie hapa. Kwangu mimi hii ndiyo ID ya ajabu, hebu leteni nyingine.
  19. JamiiForums Tanzania Nusu nikose ndege leo hii

    Bwana yesu asifiwe Wakuu Leo bwana nusu nikose ndege ya qatar Airways ya kuelekea qatar. Wakuu kweli hii ilitaka kuwa aibu ya karne milionea kama mimi nikose ndege? Ila chap nikawapigia makao makuu ya shirika la qatar chap ikanisubiria Kenya uwanja wa moi ndipo mimi nikapanda precision air...
  20. JamiiForums Tanzania Hii siyo hekima

    Salamu wakuu, Imekuwa kawaida watu kufanya sherehe baada ya ndoa kufungwa makanisani. Wengi wetu tumekuwa tukilazimika kuharibu bajeti na akiba zetu ili sherehe iwe kubwa ama kufurahisha wazazi, wakwe, mke, washkaji. Kuna bwana harusi mmoja baada ya harusi akatuambia kwenye shughuli yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…