hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Krismasi sio sikukuu ya kipagani; wapuuzeni wanaoibeza kwa kusoma mistari hii ya biblia takatifu

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Awali ya yote naomba ku declare interest kuwa mimi ni mkristo; sio mpagani au muumini wa dini zisizojulikana. Kuna baadhi ya waumini wa dini pamoja na wapagani wanaodai kwamba sikukuu ya krismasi ni kipagani....kwamba hakuna mistari yoyote ya biblia...
  2. JamiiForums Tanzania Video ya Rais Magufuli akiwatakiwa wananchi heri ya Christmass

    Hii video inasambaa Sana. Kwani mhusika aliyepo hai video yake Ipo wapi?
  3. JamiiForums Tanzania Tumshukuru Mungu kwa hii pumzi maana tumeweza kufika mpaka leo tar 25/12/2022

    Tuombe: Asante Mtakatifu, asante Jemedari uketie mahali pa juu palipoinuka, asante Mungu wetu Alfa na Omega. Tunakushukuru Mungu wetu kutufikisha mpaka leo hii, maana si kwa uweza wetu bali ni kwa uweza wako ewe Mtakatifu. Kuna wenzetu hawajaweza kufika Leo kutokana na umauti, yote tunasema...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi TANESCO huu umeme ambao mmesema hamtakata sikukuu hii mmeutoa wapi

    Nazidi kuamini baadhi ya maneno kuwa hapa Kuna watu wachache wanahujumu taifa kwa faida zao wenyewe Inakua haina tofauti na kauli ya jamaa mmoja aliewahi sema mo atapatikana siku flani na kweli akapatikana Hawa ndugu zetu tanesco kwa kweli wanatutesa Sana nawaza huu umeme ambao haukatiki na...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana hii video ikawe Motisha kwako tunapoianza 2023

    Nawasilisha, uzee mwisho chalinze na haswaa ukiwa na mabumba ya kufa mtu. weka akili vizuri mambo haya yanawezekana
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Dodoma naomba mualiko Christmas hii

    Ndugu zangu kulingana na huu ukata wa maisha nimeshindwa kuambatana na ndugu zangu kuelekea mgombani kula sikukuu naombeni nyinyi mlioko Dodoma mnialike nije kula ubwabwa.
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana halisi ya mwanaume ni kichwa cha familia

    HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo; i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo. ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Rais aliamua kuwa sehemu ya watu wasiopenda kulipa kodi na ndiyo baadhi yao wanafadhili mitandao ya kijamii kwa kumsifia kuwa anaupiga mwingi. Wakati sasa umefika anajionea yeye mwenyewe ameweka tozo kwa wananchi bado pesa za tozo hazijamsaidia kitu chochote hazijulikani zinaenda kwenye miradi...
  9. JamiiForums Tanzania AIBU: Rais anazindua ujazaji maji Bwawa la JNHP taifa likiwa na mgao wa umeme huku mizengwe kibao ikiwekwa lisikamilike mapema

    ~ Nini kimesababisha bwawa la JHNP lisikamilike kwa wakati? ~ Kwanini aliyekuwa waziri wa nishati kabla ya kutumbuliwa alituhakikishia litakamilika june 2022. ~ Crane za mizengwe za January? ~ Kwanini hawataki kuondoa tatizo la umeme Tanzania? ~ Leo wananchi wengi hawakushuhudia huu uzinduzi...
  10. JamiiForums Tanzania Huenda hii ndio sababu ya kisayansi kwanini Kaini alimuua Habili (Abeli)

    Ukisoma kisa cha Kaini na Habili ( watoto wa Adam na HAWA ambao KWA mujibu wa mafundisho ya wakristo, waislamu na Wayahudi ina aminika ndio binadamu wa kwanza duniani jambo ambalo ni kinyume na mafundisho ya imani za jadi za kiafrika) Utagundua kwamba Cain killed Abel over bullshit. Hakukuwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Rafiki wa shule ya msingi akumbushia stori hii mbele ya mchumba wake

    Akiwa darasa la 5 katika moja ya shule ya msingi huko Arusha Republic John alikumbana na tukio kuingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na wanafunzi wa darasa la 7 [wa kiume pia]. Baada ya kushtaki kwa mwalimu wa darasa kesi ilifika kwa mkuu wa shule, taratibu za uwajibishwaji zilifanyika kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kama takwimu za miradi ya maendeleo inayotekelezwa zingewafikia Watanzania wote, Wanaokosoa jitihada za Serikali hii wangezomewa sana na Watanzania.

    Toka Muungano wa Zanzibar na Tanganyika kuna awamu 5 za utawala zimepita, kwa namna yake kila awamu imefanya mambo makubwa kwa wakati wake, kuanzia kwa Baba wa Taifa Hayati J.K.Nyerere, Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa (Mungu ampe pumziko la milele), Mzee wetu Profesa Jakaya...
  13. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuweka miziki yenye video za nusu uchi kwenye usafiri wa umma ikome

    Shalooom! Wakuu, nilisafiri kwa basi fulani kuelekea mkoani Mtwara ila nilijiskia vibaya sana kuona kila muziki unaochezeshwa kwenye luninga ya gari unaonesha watu walio nusu uchi. Mbaya zaidi nilikuwa na mtoto wa sister naye macho yake yalikuwa yanakodolea kila kinachoendelea. Moyoni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nataka mshahara wangu wote wa Disemba niutumie kwenye likizo hii

    Nafanya kazi vijijin uko ndanindani somewhere in Tanzania, kwakweli ni sehemu ambayo hamna cha kuenjoy zaidi ya filamu na mpira tu nikitoka kazini. Nafikiria likizo hii ya siku 10 ya mwisho wa mwaka niende mjini nikaenjoy tu. Mnanishaurije wadau au nisevu tu ela yangu nibaki mageton kijijin...
  15. JamiiForums Tanzania Wazazi wapumzisheni watoto wenu. Ngoma hii ni ngumu, wapeni moyo

    WAZAZI WAPUMZISHENI WATOTO WENU; NGOMA BADO NGUMU. WAPENI MOYO. Anaandika, Robert Heriel Inawezekana wewe ni miongoni mwa Vijana mnaopitia kipindi kigumu Kutokana na shinikizo la wazazi wakikutaka Uajiriwe. Licha ya kuwaambia upatikanaji wa kazi umekuwa ni mgumu lakini bado wazazi wamekuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adaiwa kutupiwa lawama na viongozi ACT Wazalendo kwa kushindwa kuikosoa Serikali

    Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
  17. JamiiForums Tanzania Hii kitu huwa inauma lakini pia huwa inahamasisha kupambana

    Pale ambapo upo mkoani na unapambana kupata ajira, halafu unapata interviews za Dar mara kadhaa, na unafikia kwa washikaji zako huko Dar ambao kiasi fulani maisha wameyaweza. Ni wa umri wako, wengine hata classmates. Unakuta wana mijengo saafi, usafiri, unakaa pale comfortably unakula...
  18. JamiiForums Tanzania Hii kitu naomba mnieleweshe

    Kitabu Cha Waefeso 5:31 BHN “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko . Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto. Ila...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Tuhuma aliyokutwa nayo Mfanyabiashara Katili Cherehani huku akiwaponza Mama Mkwe na Mkewe aliye Mjamzito

    Baada ya Kukamatwa Jana huko Mbagala alikojificha kwa Kosa la Kujeruhi kwa Ukatili kwa Kumkata Mgoni wake Sikio na Kidole cha Kati hii ndiyo Tuhuma inayomkabili Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani. KOSA lake / TUHUMA yake ni KUTAKA KUUA KWA KUKUSUDIA. Na tayari ORDER...
  20. JamiiForums Tanzania Ungekuwa Waziri Mkuu na kukuta watu wamejaa ujinga namna hii ungewafanyaje?

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wa Halmashauri ya Wilaya Mlele wahamie mara moja kwenye nyumba 11 zilizokuwa za wajenzi wa Barabara ya Inyonga-Mlele na kukabidhiwa kwa halmashauri hiyo. Watumishi ambao ameagiza wahamie kwenye nyumba hizo ni Afisa Usalama wa Wilaya (DSO), Kamanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…