hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Hii inatisha aisee! Nimemkosa binti wa kinyantuzu hivi hivi eti kisa ng'ombe

    Aisee jamani inafikia hatua mwanadamu anauzwa kama kama nguo kwenye Gulio? Kuna msemo mmoja sisi wazaramo tunausema cheza ka ncheza yaani sio poa mwenye power ndio atavuna mpaka nimekata tamaa sasa Kuna theory moja inaitwa struggle for fittest yaani mwenye power ndio atapata asie na nguvu...
  2. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Midoli ya kutangazia nguo zisizo na stara yapigwa marufuku kuwekwa nje ya maduka

    Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja, Rashid Simai Msaraka amepiga marufuku, Wafanyabiashara wa Wilaya hiyo kuweka midoli yenye nguo zisizo za staha nje ya maduka yao. DC Msaraka ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na Mfanyabiashara maeneo ya Kwahani Zanzibar akiwa ameweka midoli hiyo nje...
  3. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

    Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu ---- Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata...
  4. JamiiForums Tanzania Manesi wanahitajika: Kama wewe ni nesi ajira ya nje nje hii hapa tuma maombi nenda mkachape kazi

    Nurse Position at Milvik Bima Location : Dar es Salaam, Tanzania MILVIK BIMA Founded in 2010, MILVIK BIMA is democratising healthcare in emerging markets through technology that enables affordable and accessible healthcare solutions, while empowering people to take control of their health. With...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ni Movie gani?

  6. JamiiForums Tanzania Neno kwa umpendaye siku hii ya wapendanao St. Valentine's Day

    Here why! 'Cause I am hooked on yuh lovin like a big snapper fish Di way yuh look di way yuh dressed a dat mi caan resist Yuh personality there's no odda like it Buji Buji tellin' di world woman yuh criss A woman like you is one in a million Waan yuh inna mi arms twenty four seven I would a get...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini. Vitabu vya 16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

    Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini. Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete. NB: Mimi siko genge lolote.
  9. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapenzi wa Samaki Sato (Fresh)

    Hello ladies and gentlemens? Poleni na pilika pilika za maisha nimekuja na habari nzuri kwenu kwa wale wapenzi wa Sato wabichi (fresh) Tunatoa huduma ya kuuza samaki fresh aina ya Sato kwa bei ya Tsh 8,500 kwa kilo, wanaingia kati ya samaki 5 - 4 kwenye kilo 1. Samaki wetu wanaradha nzuri kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Approach ya Rais Samia ya Tume ya Kuchunguza Haki Jinai haitawaacha madhalimu salama

    Wasalaam wana JF Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana. Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani. Mwenye Enzi Mungu...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Sisi wastaafu tunalia na kikokotoo kipya!! Tukumbuke kwenye hoja zako 2023 ndo hii imefika

  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba hii Ndoto niliyoiota Usiku wa leo isiwe ya Kweli

    Nimeota kumbe Gari Chiba lilishachomwa Moto Kitambo tu na kwamba kwa sasa Picha ya Gari inatafutwa ili Snipers watafutwe na walipige Risasi vile vile na Watafutwe Wataalam walirejeshe kama lilivyokuwa Siku hiyo ndipo Chiba akabidhiwe Kelele ziishe Mtaani. Chiba na Wewe kuwa Mvumilivu Kwanza...
  13. JamiiForums Tanzania Mvua imetuvua nguo kama Taifa. Aibu hii

    Mvua imenyesha na hakika ardhi imepokea maji hadi imetota. Wakazi wa mijini tumeshuhudia adha kubwa inayotokana na ubovu wa miundombinu ya kutiririsha maji. MTWARA Nyumba zaidi ya 17 zimezingirwa na maji (kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV) na wananchi wanalalamikia ufunyu wa mitaro...
  14. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Urusi imepoteza majenerali zaidi ya 20, hii haijawahi kutokea

    Kando na kupoteza wanajeshi 135,000 Urusi pia imepoteza majenerali zaidi ya 20, supapawa ameingia aibu hadi basi tu na yupo bado anapambana kuteka kamji ka chumvi hukooooo. ======= More than 20 Russian generals have already been killed in Russia’s war against Ukraine, Japanese newspaper Nikkei...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kuweza kusaidia, asaidie hii jamii, kobe ni wasumbufu sana

    Nimesoma mahali kuna mchina kakamatwa kwa kukutwa na kobe watano anaowatumia kama kitoweo. Wilayani butiama mkoa wa mara kuna mtu alishtakiwa kwa kukutwa na kobe. Ukweli ni kwamba wilayani humo viumbe hao wako wengi sana na wanaharibu mazao hasa majani ya maharage na kunde. Kama kuna mwekezaji...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie hii biashara sehemu za ibada ...maji na mafuta ni chanzo cha mapato vikatwe kodi

    Huu ni ushauri kwa serikali yetu kuna hizi biashara katika sehemu za ibada mfano kuna kuuza maji kuuza mafuta na vinginevyo serikali iweke utaratibu wa kukusanya mapato katika hizi biashara ambazo Inafanyika bila kulipiwa Kodi. Lipa Kodi kwa naendeleo ya nchi
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini miaka hii ya karibuni wanaume wanajipamba kuliko wanawake au kufikia kuwazidi wanawake

    Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume...
  18. JamiiForums Tanzania Nguo aina hii zinapatikana wapi

    Habari wana jamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta mitindo hii ya nguo ambayo nimeona wanawake wa Ethiopia wamekuwa wakivaa sana,nao.ba kujulishwa maharishi yalipo haya machine ya nguo hizi
  19. JamiiForums Tanzania Nina hofu na uoga! Kwa hii age yangu si ninaweza kuzeeka hivi hivi bila mke au kids? Niko overwhelmed

    Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani. Niko na age 27 ila mpaka sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa huu upotevu wa pesa za umma tunaousikia huko bungeni, sioni umuhimu wa TAKUKURU ni Bora hii taasisi ifutwe!!

    Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo sioni umuhimu wa hii taasisi ya TAKUKURU, naona wanakula mishahara TU!! Hatusikii kashikashi yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…