hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mechi Kali za Kutizama Wiki hii ni Simba vs Namungo na Simba vs Azam nyinginezo tayari Biashara imeshafanyika

    Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atabisha na kupoteza muda kuangalia Mechi ambayo kila mwenye Akili anajua Wazima Taa Umeme Hakuna FC watashinda zote. Mtu wa Mpira na mwenye Akili lazima tu atatulia Kuangalia Mechi ya Simba na Namungo Kesho tarehe 3 May, 2023 na ile ya Simba na Azam Jumamosi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Aaargh.... Hii Dunia hii. Watu wa hivi wanakuwa NDO BASI TENA Maskini!

    Tuvijana twa siku hizi.... Tunapenda sana. 1. Kulelewa na mijimama 2. Kudanga 3. Kuwa Chawa 4. Kuwa NDO BASI TENA (MASHOGA) Yaani hawataki kazi za wima, kazi sugu na kazi za kazi. Wanataka kuinama tu au kukalia kitu wapate pesa. Yaan unashangaa kakijana kanamwona mmama ana gari kanaanza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dylan Kerr, kocha wa Marumo Gallants, aliwahi kuifundisha Simba FC akaondolewa kwa majungu ya waganga njaa. Leo hii ni mmoja wa makocha bora Afrika

    Mwaka 2015 mpaka 2016 alitokea Gor Mahia ya Kenya kuja kuifundisha Simba Fc. Majungu yakaletwa na na wanazi wa Simba. Akafukuzwa lakini leo hii anamafanikio makubwa tu huko Limpopo.
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sitangazi hadharani kiasi cha Ongezeko la Mshahara ili wafanyabiashara wasipandishe bei

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) leo tarehe 01 Mei, 2023 mkoani Morogoro. Rais amewasili uwanjani akiambatana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson pamoja na Viongozi wengine wa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kwa Rivers hii Yanga wapewe maua Yao.

    Hakuna namna Rivers wanaweza kupata ushindi au sare. Hawaoneshi kuwa serious na kazi. Ngoja watimize wajib warudi kwao.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nchi hii imepitia madhira makubwa sana. Eti na hawa ni viongozi wa dini

    Kanisa la TAG wakitafuta kupendwa na Magufuli enzi hizo. Ujinga mtupu , eti nao ni Maaskofu. Leo Malasusa na Pengo eti shatani Musiba asamehewe! Rubbish!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hii tunzo mmeielewaje?

    Mm sijaelewa hii tunzo vipi nyinyi mmeielewa? Utofauti ukwap hapa?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo asema kuwa hii habari ya 16% Share kwenye Madini huenda tumeliwa!

    Kama Taifa bado hatujatuliza vichwa ipasavyo katika ishu za madini. Hatujui vizuri biashara yake, na wala hatujui hata thamani halisi ya madini yetu ukiachilia mbali vipesa mbuzi. Kiufupi bado akili zetu ni zilezile za kugawa Almasi kwa Shanga. Profesa Muhongo ameongea vizuri sana bungeni. kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Sikutegemea ningepewa Heshima kubwa kama hii humu JF. Medal hii nitakuja waonesha wajukuu zangu

    Mwandishi na mchangiaji mtulivu asiye na makeke, hata umchokoze vipi anatabasamu anakuita tu Mkuu.... Mpaka unajisikia aibu. Alilelewa vizuri na wazazi wake akashika maagizo yao. Msomi wa kiwango cha juu wa shahada ya Ustahimivu. Na elimu kwa ngazi ya PhD kwenye suala la mahusiano na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Watu wa CAF wanaumia Simba ilivyotolewa kwenye mashindano kwa sababu hii

    Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba na kama wanaumia hivi inapotolewa Siongei kishabiki, Hata Yanga nafikiri itakuwa hivyo hivyo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Je, wewe katika scenario hii utarudi ili ufungwe miaka 30/ Maisha?

    09.12.2019 Mahakama Kuu ilimwachia huru mtuhumiwa wa madawa ya kulevya. Jana 28/4/2023 Mahakama ya Rufaa ikamuona ana makosa ya madawa ya kulevya , ikamtia hatiani na kuamuru arudi /akamatwe afungwe miaka 30/maisha. Je wewe katika hali hiyo utarudi? Mimi sitarudi yote ya kwangu nyumbani...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 25 wote hawajawahi kuivuka rekodi hii CAF Champions League

    Mwaka 1998 Yanga ilikuwa miongoni mwa timu 42 zIlizocheza Caf Champions League 1998 Yanga ilijitahidi na kufikia hatua ya 8 Bora Tangu wakati huo timu zooote za Tanzania zikijitahidi sana huishia robo fainali yaani ile ile 8 Bora walioishia Yanga, miaka ishirini na tano sasa
  13. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kukukutana masaa mawili na kushinda pamoja ni hadi jumapili ni ngumu sana kujuana, hii ndio sababu ndoa zinavurugika mkianza kukaa pamoja

    Usije kumpima mwenza wako kwa yale masaa machache mnayopanga mkutante sehemu flani, out za weekend ama baadhi ya siku yeye kuja kulala kwako hasa katika ulimwengu huu wa sasa wenye teknolojia ya mawasiliano kama simu. Kuna mengi sana ambayo mtu ulienae huwezi kuyajua atafeki kwa muda mchache...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo na uzoefu juu ya biashara hii wapenda maendeleo

    Habari Wana Jf, nimeona nishare nanyi ili niweze kujikwamua Na Maisha kutokana Na Tafiti ndogo Ya mazingira niliyonayo , wazo langu la biashara ni kudili Au kuuza open shus,Kama makobazi,jamii ya yebo yebo Za dizain mpya,visendo sendo simple,vindala nk vya wanaume na wanawake Hilo Ndo wazo...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoijua hii Baiolojia ya wanawake ni wachache sana

    Roho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu. Ninaongea na wewe mwanaume ambae umechoshwa na kiburi,gubu,jeuri na maneno ya kukera ya mkeo. Pole sana baba.Najua hicho sicho...
  16. JamiiForums Tanzania Kwenye hii nchi ukiwa na Akili timamu utakufa na Ugonjwa wa Moyo.

    Wanaoishi kwa raha kwenye hii nchi ni mazezeta,wapumbavu na wajinga wasiofahamu chochote. Ukitaka uishi bila msongo kwenye hii nchi inakupasa uwe mmoja wapo wa watu wenye utindio wa ubongo,siyo kuishi vizuri tu bali pia utafaidi uzandiki na uzumbukuku wa viongozi na wasio viongozi. Mfano mzuri...
  17. JamiiForums Tanzania Kutokufanya kazi kwa mfumo wa kuripoti wizi, kunafanya raia wengi wapoteze fedha

    Kupitia mfumo wa kutoa taarifa kuhusu mali zilizopitea jeshi la polisi huwaibia raia wengi sana shilingi 500. Yaani unaweza kuwasilisha taarifa zako kwa usahihi kisha baada ya kufanya malipo mfumo unakwambia "Ripoti bado haijathibitishwa" hapo utasubiri hata siku 3 hakibadiliki kitu ndo...
  18. JamiiForums Tanzania Fisi waliopora Mtoto Wilayani Magu, wakutwa na hirizi

    Mamlaka ya usimamizi wa Wanyamapori TAWA mkoani Mwanza imefanikisha kuua fisi wawili walioripotiwa kupora mtoto na kumjeruhi katika kijiji cha Nsola kata ya Nsola Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza. Askari wa TAWA walifanikiwa kuwaua fisi hao huku mmoja akikutwa na hirizi katika mkia wake kama...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya viongozi wa Simba wanamsumbua Msuva wiki hii yote

    Kuna Viongozi wa Simba wanamsumbua Simon Msuva, huku muda mwingi wa mapumziko anapotoka mazoezi wakimpigia simu na kumdadisi awaambie baadhi ya mambo yanayowahusu wydad, tukumbuke kuwa Msuva alicheza wydad kwa kipindi kirefu na anawajua nje ndani, pia anajua mbinu zao chafu na safi ndani na nje...
  20. JamiiForums Tanzania Nikiiangalia hii picha ya Nape naona kuna shida kubwa kwa hawa viongozi wetu

    Hivi huwa wanapimwa akili kweli? Hivi kuna mtu na akili timamu anaweza pita juu ya watu namna hii? Hii si ni busara ndogo kuelewa kuwa si sawa haijalishi wananchi wanasemaje. Huwa nawaza sana hii nchi haiwezi endelea kwa aina hii ya watu ambao ni very.....Sijui. Ila inasikitisha sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…