hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  2. JamiiForums Tanzania Mzazi usimroge mtoto wako, mbariki

    Tafadhali, kama haujatajwa, kaa mbali na huu uzi! Huu uzi ni mahsusi kwa ajili ya watajwa tu, Wababa wenye Akili na Wamama wenye akili. Kuna mambo makuu mawili kwa walengwa: onyo na ushauri Onyo: USIMLOGE MWANAO. Ushauri: MBARIKI MTOTO WAKO. Kwenye mojawapo ya vitabu vya Robert Schuller...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mliopata ajira za serikali wasaidieni wale walokosa ajira kinamna hii

    Hongereni wote mliopata mliopata ajira katika kada ya Ualimu na Afya ni wakati wa kwenda kulitumikia Taifa na kuwafuta machozi wale waliokuwa wanawategemea makubwa hasa baada ya kumaliza Elimu. Lengo la uzi ni kuwaomba wale wote waliochaguliwa ajira serikalini na kwa hakika katika hao kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania Hotuba hii ya Mkapa itufumbue Macho

  5. JamiiForums Tanzania Kuhusu Bandari zetu: Hii ni Kandrasi, Ukodishaji, Upangishaji, Uuzaji, Uwekezaji, Ubinafishaji, Ubia ni PPP au tumetapeliwa?

    Bandari, viwanja vya ndege, electric power supply plants, reli na barabara ni maeneo mhimu sana kiuchumi na kiusalama wa taifa lo lote duniani. Hili halina ubishi. Hivyo umiliki na mamlaka ya uendeshaji yanapaswa kuwa ya taifa lenyewe kwa asilimia 100%. Mamlaka haya hayapaswi kuporwa na mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Kamati maalum ya TLS kuchunguza Mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar

    BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World. Rais wa TLS, Wakili Harold Sungusia amesema kamati...
  7. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Picha: Nape Nnauye Habarini JF GT! Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu. Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
  8. JamiiForums Tanzania Browser nyingine siyo safe kabisa angalia hii

    leo nimeingia Play Store kuitafuta UC browser kwasababu inasevu data sana, cha ajabu sijaiona. nafikiri imeondolewa Play Store. Nikiwa Play Store nascroll down, nikakutana na browser ngeni yenye logo kama ya UC browser, hiyo browser inaitwa Broswer Go, inavyofanana na UC broswer moja kwa moja...
  9. JamiiForums Tanzania Wakristo mnatakiwa kuungana na waislamu kwenye hii vita

    Wakristo mnatakiwa kutambua kuwa hamna nafasi ya kushinda propaganda za LGBTQ isipokuwa kwakufanya muungano na Waislamu katika kupigana vita na Hawa wapotovu, Bibilia Iko wazi kwenye suala la ushoga kwamba ni laana na dhambi kubwa lakini Kuna baadhi ya viongozi wenu wanajaribu kupindisha...
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha. Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake. Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri. Hata jinsi alivyowakilisha...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie gharama za finishing nyumba kama hii

    Naomba wataalam wanisaidie gharama ya finishing nyumba kama hii
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo CWT niijuayo

    Mimi ni mwanachama kwa zaidi ya miaka 15. Miaka michache iliyopita CWT ilitangaza nafasi 12 za makatibu wa wilaya. Nikajaribu kuomba. Mchakato ulikuwa ni kama ifuatavyo: 1. Unaandika barua ya maombi kwa katibu mtendaji Taifa, ukiambatanisha nakala za vyeti, salary slip, kitambulisho cha...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hali yangu hii kweli nitaweza kudumu kwenye mahusiano? Madaktari wananichanganya kabisa

    Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na maisha, mwili wangu na vyakula na vinywaji navyotumia. Wanasema ni tatizo la kutokuwa na stress katika...
  14. JamiiForums Tanzania Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa. 5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Said, Msemaji Kamwe na wana Yanga SC msiojitambua hii Kauli ya Rais Samia jana Ikulu mliielewa?

    "Nichukue nafasi hii Kuipongeza Klabu ya Yanga kwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho ambayo hata Klabu ya Simba pia ilifika mwaka 1993" alisema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan jana Ikulu alipowaalika wapenda Kula Kula hovyo ( Walafi FC ) Klabu ya Yanga. Rais wa...
  16. JamiiForums Tanzania Sijawahi kusikia hotuba yenye nguvu kama hii aliyotoa Malcom X

    Nimekuwa nasoma biography ya Malcom X. Huyu mtu alikuwa wa pekee sana. Hapa nataka kuzungumzia hii hotuba yake(The ballot or the Bullet) ukweli sijawahi sikia hotuba yenye nguvu namna hii. Hotuba nyingi bora huwa za kujifanya tu, wanasiasa wakitumia maneno makubwa, wakiongea wanayotaka watu...
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu Gwajima, hii barabara isipotengezwa kiwango cha lami, kura katafute Mbweni!

    Hii barabara ina walalahoi wengi, Hii baabara inaenda baraza la mitihani Hii barabara inaweza kuunganisha Mbezi Ndumbwi na barabara ya Goba Hii barabara ina hudumia shule kubwa ya St Mary's Hii barabara tayari ilishajengwa madaraja mawili kuunganisha vitongoji vya kwa Maranda na dispensary ya...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni aibu, kwa familia ambayo wazazi walikuwa watumishi wa serikali lakini hakuna mtoto aliye serikalini?

    Nauliza hili swali niweze kupata viewpoint yenu maana kuna baadhi ya watu nawashangaa wanasema watoto wameaibisha wazazi wao ila mimi naona hawapo sawa kwasababu kazi hazirithishwi, Nyie mnaona vp? baba alikuwa ni engineer shirika kubwa tu, Mama alikuwa ni Muhasibu taasisi flani ya mambo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mchambuzi wa EFM Wilson Oruma aishauri Simba SC

    Anachambua Mchambuzi wa Efm Tanzania, Wilson Oruma. "Simba Sports jipangeni, mkiendelea Kusema Yanga Africa wamekutana na team dhaifu" "Mtashangaa wanacheza Fainali ya CAF champions league next season. Hii Fainali ya CAFCC haiwezi Kuwaacha Yanga hivi hivi" "Wamepata uzoefu Mkubwa, ambao...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wazee huyu ni nyoka aina gani?

    Eti huyu nyoka anaitwaje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…