hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa IT naomba mnisaidie kuifunga simu isifanye kazi na kumtafuta aliyeniibia

    Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata aliyeiiba hii simu ni wewe tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa wa Nchi Hii akikwambia Usiku Mwema Inabidi Uchungulie Nje kuhakikisha

    Waongo waongo sana
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye elimu ya stika hii ya TRA, naomba atueleweshe... mbona bidhaa za Bakhresa Food Products hazina?

    Ambaye ana elimu ya hizi stika za elekitroniki za TRA naomba atueleweshe. Mfano bidhaa ilikuwa inauzwa kiasi cha Tsh 100 ikawekwa stika bado inauzwa bei ileile tzs 100 hapo naongelea U-fresh ambazo ni barafu zinazozalishwa na Wachina. Hapohapo maji yalikuwa yanauzwa kiasi cha Tsh 500 ikawekwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana hii nchi saivi ikawa iko kwenye "auto pilot"?

    Yani Haina mwenyewe.. inajiendea tu. Alafu No one is in Control... Yani inawezekanaje... Haya mamvua yote yanayonyesha alafu bado tuambiwe shida ya umeme itaisha March...!? How is it possible, mafuta yameshuka, Nauli zilipanda na ziko palepale!?? Saivi tunasikia Mkurugenzi akiamua tu kubadili...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hii serikali kuna kufanikiwa kweli kwa watumishi wa umma bila kuiba?

    INTRODUCTION: Hapa sizungumzii wizi wa fedha au mali za Umma pekee ila nazungumzia wizi wote wa MUDA na FEDHA. Nimekuwa nikiona na kusikia watu wengi sanaa wakiponda juu ya wizi fedha za uma kwa watumishi. Nimekuwa nikiona na kusikia raia wengi sanaa wanalalamika kwamba wakienda ofisi fulani...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi watu mna-handle vipi hii situation

    Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu. Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hasa hii google saved places(visited places)accuracy yake kwenye ramani

    Je hii kitu Ina accuracy kiasi gani? Je, inaweka kumlocate mtu akilala guest flani na hajawahi lala hapo? Je, ukipita mahali hata mara moja kama location ipo on, baadae ukiangalia kwenye ramani itanyesha uliwahi lala hapo?
  8. JamiiForums Tanzania Monty Python-Life of Brian: Hakuna movie inachekesha kama hii

    Hawa wajinga wa Monty Python sijui walikuwa wanawaza nini. Watu wengi wamejikuta wamepata matatizo ya kiafya kwa kucheka sana baada ya kuangalia movie hii. https://youtu.be/yzgS61zgPEg?si=psfOA9T7CJVIPulO
  9. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuchanganyikiwa maishani mwangu namna hii

    Wanaume wawili walikutana kwenye kituo cha basi na wakawa na mazungumzo. Mmoja wao aliendelea kulalamika kuhusu matatizo ya familia yake. Hatimaye yule mtu mwingine wa pili akasema, “unafikiri unayo matatizo ya kifamilia? Sikiliza hali yangu." "Miaka michache iliyopita nilikutana na mjane...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wadada kuvaa tishet au blauz na kuacha maziwa yamening'inia ina maana gani?

    Yaani hii tabia iliyoibuka ya wadada kuacha maziwa yananing'inia, inatuweka wanaume mahala pagumu sana. Mimi nadhani kwa upande wangu makalio yalikuwa hayanisumbui sana lakini hili suala la boobs wamenidaka.
  11. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Amri hii ya Jaffo kuhusu kusitisha matumizi ya mkaa itaanza lini?

    Jafo alitoa tamko kuwa kuanzia January 2024 mwisho kutumia kuni, mkaa. Kama kuna anayefahamu tarehe ya utekelezaji wa jambo hili atueleze ili tujipange tusije kuingia matatizoni.
  12. JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanikiwa kwa urahisi hapa jijini Dar es salaam. Nenda kaishi Chanika

    Kwa sababu Chanika kuna " uhai" . Huhitaji kuwa expert wa kusoma alama za anga na alama za ardhi kun'gamua kwamba chanika kuna " uhai" . Kama sauti yako ya ndani ( inner voice) ipo active and effective, siku ukifika Chanika uta detect " uhai" juu ya ardhi ya chanika. Siku hizi wafanya biashara...
  13. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Mbagala hali ni hii

    USINYWE BIA KUNYWA MAJI YASIYO YA BARIDI YA KUTOSHA.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Utabiri kwa miaka hii miwili 2024 na 2025

    Kwanza nipende kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufikia siku hii ya mwisho ya mwaka 2023. Kutokana na maisha yetu wanadamu kuwa na vipindi tofauti tofauti, nimeona niwaletee utabiri mfupi juu ya mwaka mpya inayokuja ya 2024 na 2025. Mwaka 2024 Huu mwaka unaonesha utakuwa na utulivu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwa schedule hii 2024 nakwenda kuwa monster.

    Jion 1:00-1:30 Body exercise 1:30-:00 body shower Asubuh saa 11:00-11:30 mazoezi ya mwili. 11:30-12:00 body shower. 12:00-2:00 private study. no sugar no soda No porn No sex No masturbation Organic foods only
  16. JamiiForums Tanzania Naukaribisha Mwaka mpya na zana hii

    Nimesha andaa kitendea kazi changu, nasubiria mida mida nikiamshe. HAPPY NEW YEAR WANAJF
  17. D

    JamiiForums Tanzania Hii ya Tanzania Kupeleka wanajeshi Congo imekaaje!?

    Habari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa SADC. Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani hupangiwa sehemu korofi hasa njia za kupita waasi huku wengine wakijipangia sehemu zenye wingi wa madini na kuishia kutajirisha nchi zao...
  18. JamiiForums Tanzania 2023 inapoisha, unaiacha kumbukumbu ipi ya wema kwa watu? ili kwa watu ili ukumbukwe kwa wema?

    Habari za weekend. To cut the story short ni kwamba, jana nikiwa mihangaikono, nilipokea simu toka kwa jamaa yangu flan anaitwa Gozbert. Ni jamaa yangu ila sio kusema ni mtu wangu wa karibu sanaaa, hapana. Yeye tumefahamiana kanisani. Ni mtumishi wa umma katika kada ya afya. Siku ya kwanza...
  19. JamiiForums Tanzania Wazee wa kazi watu wa namna hii huwa tunaishi nao kwa namna hii

    Eebwa heri za sikukuu wazee. Hawa watu huwa wanakera sanaa. Unakuta jitu ni linywaji lenzio ila likikukuta tu umetoa teni unachukua safari zako tatu linataka chenji iliyobaki umuagizie na yeye. Unaweza ukamkuta yeye bar na kashalewa ila akikuona tu unaagiza konyagi ile ya kati uipige tayari...
  20. JamiiForums Tanzania Atakayetangazwa Mafurikoni Vyurani Weekend hii siyo Augustine kama Wengi mnavyodhani bali ni Simon

    Mafurikoni Vyurani kwa sasa hawana haja ya Augustine kwani wana akina Augustine wa Kutosha, ila kwa Simon wana hitaji nae Kubwa kwakuwa Kwanza Mazingira yote anayajua, Pili katokea hapo na Tatu hata kama asipolipwa hatopiga Kelele sana kwakuwa hata Yeye pia amebebwa sana na hao anaenda Kujiunga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…