hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndio Value for Money ya kitita alichotumia Samia kupeleka wasaa Korea?

    Mpaka sasa tumefichwa ni bilioni ngapi zimetumika. Lakini najiuliza hii ndio value for money?
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

    Eeh watu wanahela hapa mjini, Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini. Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking. Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits. Hii bar nitarudi tena kivingine.
  3. JamiiForums Tanzania Unanuka Kwapa? Hakiya Mungu tena hii dawa itakutibu 100% Kesho nipe mrejesho

    Oga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu. Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena kidogo, uendelee na shughuli za usiku. Kesho niletee mrejesho, sitaki hata 100. Mchango wako ni...
  4. JamiiForums Tanzania Wewe kama uliwahi kutumia hii chanuo alafu bado unajitafuta umeishafeli

    Je, ulitumia hii chanuo na bado unajitafuta hujajipata? Angalau uwe na mtoto wa kukuita baba inatosha
  5. JamiiForums Tanzania Hii ratiba mpya ya SGR mbona kama treni ya haraka ndo inaenda polepole kuliko ya kawaida

    dkk 8 tu zimeachana uharaka wake upoje ama mimi ndo sijaelewa.
  6. JamiiForums Tanzania Hii picha inakupa kumbukumbu gani mdau?

    Mwaka 2018 kulitokea mambo ya ajabu sana kwenye suala la ukamataji Samaki wenye umbo dogo au samaki ambao hawajakomaa! Samaki hao wenye urefu chini ya sentimita 25 kutoka Ziwa Victoria walikamatwa katika mgahawa wa Lamba Catering Service. Ni kati ya kilo 100 za samaki waliokuwapo mgahawani hapo...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa ajili ya wanaume 18+ under 25 years.

    Gonzalez nawafungulia code 3 kwa comment za mdau in a previous code 2. Hii ni kwa wanaume 18+ but under 25 years. 1. Usinywe pombe nothing bad like driving your mind in a crazy way. 2. If you can afford hakikisha umelipia gym or you exercise daily, lifting weights itafaa zaidi. 3. Tumia...
  8. JamiiForums Tanzania Mungu wetu ni Mungu wa rehema

    Tuombe, Eeeh Mungu Mwenyezi Muumba Mbingu na ardhi pamoja vyote tunavyoviona na tusivyoviona, Tunakushukuru kwa zawadi ya uzima na afya njema, Tunakusifu na kukuabudu wewe kwa kuwa hakuna mungu kama wewe, Baba tunakuomba ubariki kazi za mikono yetu, tusipungukiwe na chochote, -Utusamehe makosa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje

    Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Sugar kutema cheche Wazalishaji sukari wavunja ukimya, wadai kutotendewa haki sakata la sukari Muktasari: Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na kutajwa kuwa wao ndiyo chanzo cha kupanda kwa bei ya sukari nchini, umoja wazalishaji wa...
  10. JamiiForums Tanzania Tangu nizaliwe nimepitia changamoto ngumu ngumu ila hii ya sasa too much. Sasa naweza kusema hakuna jambo la kunipeleka kwa waganga au manabii fake

    Hello Hapo zamani Njaa nimewahi kulala zaidi ya mara moja. Nimewahi kukosa mahali pa kulala. Nimewahi kulala porini peke yangu. Nimewahi kushikwa mjini kwa kosa la uzurulaji. Nimewahi kukataliwa na mtu niliyemwamini kutia Saini fomu yangu ya kujiunga kidato cha 5. N.k. N.k Baada ya miaka...
  11. JamiiForums Tanzania Tusifumbue macho hii kauli "Wanaume wameisha" inatweza utu wa Wanaume

    Inasikitisha kwa Mwanamke mwenye Kaka, Baba na Babu kutamka Wanaume wameisha hii ni disrespectful ya kiwango cha umeme wa grid ya Taifa.. Hili ni zaidi ya tusi Mwanamke anayeweza kutamka haya maneno inaonesha ukuaji wake ulijaa changomoto inawezekana vipi udisrepect baba na kaka zako
  12. JamiiForums Tanzania Kendrick Lamar amechukua tuzo ya saba BET... Hii sio sawa kabisa huyu jamaa atengwe

    kama itawezekana afungiwe kabisa haiwezekani kila siku yeye tu.
  13. JamiiForums Tanzania Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025

    Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025 Leo Yanga imemtambulisha kiungo mshambuliaji Clatous Chama akitokea Simba ambapo amemaliza mkataba wake Ujio wake ndani ya Yanga ni jambo la furaha sana kwa mashabiki wa Yanga maana ni mchezaji ambaye aliibwa sana hati kutia...
  14. JamiiForums Tanzania Hii safisha-safisha inayoendelea ndani ya Simba inapendeza sana

    Kabla ya kuisha mwa msimu wa 2022-2023 nilikuja na mkeka ulioelezea jinsi Simba inavyotakiwa kubadilisha kikosi chake kwa mtiririko fulani wa kuacha wachezaji ili ndani ya misimu 3 ijayo iwe na kikosi kipya kabisa. Lilipokuja dirisha kubwa la usajili, mkeka wangu ulionekana kufuatwa kwa 95%...
  15. JamiiForums Tanzania Wale wanaopenda nyumba simple lakini classic tukutane hapa

    HII NYUMBA TULIDESIGN WENYEWE JAPO MTEJA ALIANZA UJENZI NA MTU MWINGINE THEN SISI TUKAANZA KUREKEBISHA 1. TULIREKEBISHA MSINGI MAANA ULIKUWA MFUPI SANA NA MKANDA ULIKUWA MDOGO MNO (REJ PICHA NO 1) PIA TULIONGEZA UKUBWA WA CLOSET YA MASTER NA CHOO MAANA ALIVIRUKA 2. TUKAANZA KUINUA UKUTA...
  16. JamiiForums Tanzania Lissu akiunda chama chake nitakuwa wakwanza kujiunga kwenye chama chake. Hii itakuwa CCM Z kama Gen Z

    Kwema Wakuu! Lisu anasubiri nini? Kwa huanzishi chama watu tujiunge. Bila shaka itakuwa CCM Z kama Gen Z kwa maana kwa jinsi niwaonavyo watanzania karibia wote DNA zao ni CCM ila tunataka tuwafanyie Blood Transfusion ya mabadiliko yenye tija. Kwa kweli sijui kama Blood Transfusion itaweza...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania William ruto raisi wa Kenya ametonesha vidonda vya Gen Z

    Habari za usiku huu kama kichwa Cha habari kinavyosema Kwa mnaofuatilia hotuba ya William ruto raisi wa Kenya yaani kiufupi ametonesha vidonda vya gen z anaulizwa maswali mengine anajibu kingine halafu anawatukana kwamba wamemsababishia hasara ya billion 2.5 yaani wewe raisi umewekwa tu hapo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊

    HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊 Kijasusi jitahidi uwafahamu watu kabla ya wao kukufahamu, na hapo ndipo utagundua WANAFIKI NA WASIO WANAFIKI. DALILI ZA MNAFIKI 1.Kwanza atajifanya mwema sana kwako 2 Atajifanya kuumia sana dhidi ya wanaokusema mabaya...
  19. JamiiForums Tanzania Jirani yangu amepata stroke familia inaamini ni jini hii ni siku ya tano yuko ndani haongei hawampeleki hospital.

    Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
  20. JamiiForums Tanzania Hadi Juni 2024, zimeripotiwa taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa

    "Uchambuzi huu Kwa hisani ya Boniyai" Mwaka huu 2024 pekee yake binafsi nime’ ripoti taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa. Hawa ni baadhi tu ya watu waliopotea kwa kutekwa na kisha taarifa zao kutopatikana mahala popote ikiwemo vituo vya Polisi na Hospitali katika vyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…