heslb

  1. L

    Sipati Disbursement kwenye account yangu ya HESLB

    Habarini. Leo watu wengi disbursement zimekua displayed kwenye account zao za Heslb Ila kwangu bado hakuna mabadiliko. Kwanini?
  2. Murashani GALACTICO

    Nashindwa ku-apply for appeal kwenye kiunganishi cha Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Mwenye kuelewa namna ya kufanya Apply For Appeal kwenye mfumo wa OLAMS HESLB naomba msaada maana kila nikiingia mfumo unaniandikia "An Error Occurred Please Try Again" Msaada kwenye tuta wakuu
  3. master09

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 3 November 2024 jumapili kimya.Hii...
  4. master09

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
  5. master09

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
  6. master09

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
  7. Just Pray

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu HESLB imetimiza miaka 20, je imekuwa msaada ipavyo kwa wanafunzi wasiokuwa na uwezo kufikia elimu ya juu?

    Ni takribani miaka 20 sasa tangu mwaka 2004 ambapo Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) ilianzishwa na imekuwa ikitegemewa na idadi kubwa ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita kuelekea vyuo vikuu. Licha kutoa mikopo kwa wanafunzi wengi lakini bado imekuwa ikilalamikiwa na...
  8. Utajua wewe

    Majibu ya HESLB

    Habari Wana JF. Baada ya dirisha la 4 dogo account yake inasema hivi Bodi ya Mikopo (HESLB)
  9. fundi saa

    Jinsi ya kusitisha mkopo heslb

    Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza.... nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
  10. Copro mtego

    DOKEZO Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu (HESLB) wanataka kukiuka mkataba wa kimalipo kwa wanufaika

    Bodi ya mikopo (HESLB) kwa hili mnataka kuvuka mipaka kwa kutaka kukata pesa za posho kwa intern (watarajali) doctors, nurses etc. Kwanza intern sio muajiriwa anakuwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo na halipwi mshahara anapewa posho ya kujikim ndio maana TRA hawawakati kodi. Pili mkataba...
  11. PSEUDOPODIA

    Msaada kuhusu status ya HESLB

    Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni wao wenyewe wata upload, ushauri tafadhali kwa wenye kujua kuhusu hili.
  12. A

    Kuhusu Huu ujumbe wa HESLB

    Wenzangu naomba munisaidie Kuna huu ujumbe wa HESLB ukiangalia ALLOCATION za akaunti zetu za SIPA! Unamaana Gani pia utachukua MUDA Gani Hadi kukaaa sawa au kurudishwa katika Hali ya kawaida?
  13. K

    Huu ujumbe wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) una maana gani?

    Kuna kijana nimemfanyia application ya mkopo heslb,sasa toka jana naona account yake imebadilika na kuwa SIPA, sasa nikiingia kwenye allocations za mkopo inanipa ujumbe huo hapo chini. Je, hii inaashiria kakosa au kapata mkopo?
  14. Katurido

    HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

    Wanafunzi wa shahada mwaka wa kwanza 30,311 Wanufaika 2,157 mikopo ya ‘Diploma’ Wanafunzi 588 kunufaika na ‘Samia Scholarship’ TZS 99.7 bilioni kutumika kuwagharimia mikopo, ruzuku TZS 2.9 bilioni Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumatano (Oktoba 09, 2024) imetangaza...
  15. DeMostAdmired

    Hivi kuna namna mdaiwa HESLB anaweza kuangalia kiasi anachodaiwa pasipo kufika ofisi za HESLB?

    Kama head inavyojieleza, hivi kuna uwezekano mdaiwa akaangalia deni analodaiwa HESLB pasipo kwenda ofisini kwao? Na kama hakuna huo uwezekano kwanini wasiweke mifumo online watu tukawa tunafuatilia mwenendo wa madeni yetu? SOME ADDITIONAL CONTENTS..... JAMANI NIMEINGIA KWENYE ACC YANGU KAMA...
  16. Jumlisha

    Bodi ya mikopo HESLB Dirisha la marekebisho halina option ya kufanya marekebisho kwa walio kosea

    Ndugu wana JF, hii changamoto nimeiona kwa watu kadhaa ambao application zao zina makosa ila hazijapewa uwezo wa ku edit na wamekiri kabisa hakuna option ya marekebisho na siku zinakimbia kufikia deadline. Je, ni kuonesha bodi ya mkopo hawajazipitia hizo fomu za maombi au wanaangalia vipengele...
  17. Afcon 2027

    HESLB yaja na mpango mpya kwa wasiyorejesha mikopo, waungana na RITA, NIDA na Taasisi za Kibenki kuwatambua kirahisi wadaiwa

    Bodi ya mikopo(HESLB) imeunganisha mifumo ya kimkakati Kwa ajili ya kuwafikia wanufaika wenye kipato lakini hawajaanza kurudisha mikopo hiyo. Heslb imeingia makubaliano ya ushirikiano na wakala wa usajili, ufilisi na udhamini(RITA), NIDA na taasisi za kibenki lenye lengo la kuwatambua...
  18. Roving Journalist

    Bodi ya Mikopo (HESLB) yasogeza mbele muda wa kuomba mikopo ya Chuo Mwaka 2024/25

    Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa...
  19. T

    Hongera HESLB kuongeza muda maombi ya mkopo, tatizo ni RITA kuchelewesha kutoa au kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa au kifo

    Sitachoka kuwalalamikia RITA, unatuma cheti cha kuzaliwa walichotoa wenyewe, wanakaa nacho zaidi ya wiki 3, baadae wanakujibu picha ya kivuli haionekani vizuri. Wanakwambia kitume upya. Ukishakituma baada ya siku kadhaa wanakujibu cheti walichotoa wenyewe eti hakiko kwenye orodha...
  20. Katurido

    Hivi kuna kipengele cha ku-attach affidavit unapofanya maombi Bodi ya Mikopo (HESLB)?

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavo jieleza tajwa hapo awali. Mimi ni kaka na nina wadogo zangu wawili, mmoja kamaliza Kidato cha sita mwaka huu na mwingine yupo Kidato cha nne. Mi Sina elimu kubwa sana kitu ambacho huwa na wapambania sana madogo wasome wafike mbali ili watimize...
Back
Top Bottom