hesabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

    Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu: Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati...
  2. M

    Kwa hizi hesabu za bolt bodaboda nawahurumia, pesa wanaingiza hadi laki kwa siku ila kinachobaki kidogo

    Mfano Hesabu 100,000 TOA Kamishen ya bolt 24% - 24,000 Mafuta - 20,000 Chakula - 10,000 Ofa za bolt kwa wateja - 10.000 kifurushi - 2,000
  3. S

    Jeshi la Marekani wanategemea sana hesabu

    Wamerekani wamekuwa wakionesha Dunia kuwa Hesabu ndio kila kitu Jeshini kwani 100% ya maamuzi yanayofanyika jeshini/vitani ni Hesabu & Physics Mfano: 1. Kurushusha mabomu ni hesabu kwa huku kwetu ipo kwa kidato cha tano Phy/maths 2. Mambo mengi vitani yanahitaji prediction (probability) ipo...
  4. Smartkahn

    Mwanasiasa yeyote, Hakikisha unajua hesabu ya Matendo na maneno yako kabla hujazungumza

    Tunatarajia kushuhudia mwanasiasa hasa yule mashuhuri(public figure), kuzungumza hoja zilizofanyiwa utafiti na zikathibitishwa kwa uchambuzi wa kina na scope pana. Weledi katika hutuba unahitajika sana, kamwe usije ukajitolea tu maneno kichwani mwako utaharibu mambo. Hayohayo maneno unayotamka...
  5. Brayan_Jk

    Namna rahisi ya kupunguza mzigo wa kutunza kumbukumbu na kupiga hesabu kwenye Ufugaji wako wa Kuku

    Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku? Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna ambayo haijawahi kutokea,ili uelewe gharama zako zote na mwisho wa siku ufanye maamuzi sahihi kulingana...
  6. 888I

    UCHAMBUZI: Hesabu za Kura 32.7M na Dakika 540 Zinakwama Wapi Kimahesabu?

    Wakuu, Matokeo ya Uchaguzi mkuu yameshatoka na maisha yanaendelea na tumeapishwa. Lakini, kama mdadisi wa mambo, nimekuwa nikicheza na takwimu rasmi za INEC na Sensa yetu ya 2022. Naomba tusaidiane kuzitafakari hizi namba kwa pamoja, maana kwangu kimahesabu picha inagoma kukaa sawa. Huu si...
  7. K

    Hesabu Zinasema Alipata Kura Milioni 32

    Oktoba 29 hadi 30, walionekana waandamanaji waliokuwa wakipinga zoezi la uchafuzi uliokuwa ukiendelea. Kulikuwa na ushahidi wa watu, hasa vijana waliofanya jambo hilo, picha zipo na mwonekano halisi ulitambuliwa. Kwa maoni yangu, kwa kukadiria tu kutokana na mwonekano huo toka sehemu mbalimbali...
  8. mkuuwakaya

    GE2025 Wamepika matokeo wakati hesabu hawajui, kitawalamba soon

    Matokeo ya Uraisi wameyapika na mbaya sana hesabu hawajui. Soon wanaenda kuumbuka, na sisemi wapi watashikwa/ kitawalamba na upishi wao wa kitoto. Hesabu ni sayansi
  9. Matovu Godfrey

    Hesabu chini - zimebaki siku 10! kufika Oktoba 29

    !!! MIKAKATI YA KUPELEKA NA UTAWALA!!! _______________________ JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 Wapo baadhi ya viongozi mashuhuri kwa mfano wabunge wanaojifanya upinzani ambao wanaweza kutumika kuwanyamazisha wapiga filimbi, au mstari wa mbele wa mapambano. Siku zote...
  10. Matovu Godfrey

    GE2025 Hesabu chini - zimebaki siku 11 kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 Jinsi polisi wanavyocheza kadi za vitisho na kuweka woga! _______________________ _______________________ Sote tunajua kuwa polisi wana idadi ndogo sana ikilinganishwa na idadi ya watu nchini Kwa hivyo wanatumia mbinu kuonyesha uwepo na...
  11. Matovu Godfrey

    GE2025 Hesabu chini - zimebaki siku 12! kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! #OktobaTunatoka bado siku 12 Sababu tunayo na si moja lakini iwe siku ya kwemda kukomboa waliotekwa na kufichwa! Inauma sana kuwa na serikali inayomwaga damu ya wanamchi alafu inaona sifa! Hata tusipofanikiwa kingine zaidi ya kuwakomboa na kukomesha utekaji ni ushindi...
  12. Matovu Godfrey

    Hesabu chini - zimebaki siku 15! kufika Oktoba 29

    UKO TAYARI KUKUMBUKA, ~ Internet inaweza kuhujumiwa je, una njia mbadala Nguvu inaweza kuzimika pia, je, una power bank Kutakuwa na vitisho, ungependa kuendelea hivyo 🔥 Kunaweza kuwa na kukamatwa, unyama, umepoteza moyo wa kuku Je, uko tayari kutumia simu yako kama chombo cha kufichua, kwa...
  13. jikuTech

    Kama Hesabu rahisi (Fedha,idadi,muda) za kila siku zina eleweka , Basi hii Hapa ni Mbinu rahisi ya kuelewa Programming Kupitia Websites na Mobile App

    Programming tafsiri rahisi ni kutengeneza programu ,kwamba baada ya kufanya programming ndio inapatikana programu ya kompyuta, undani wa kujua programming ni kufahamu sayansi ya kompyuta. LAI : Maelezo haya ni ya kiswahili lakini kwa neno ambalo hauja lielewa kabla ya kuendelea chukua muda...
  14. E

    Polepole kanatudanganya juu ya bima ya afya na hesabu zake za Abunuwasi apuuzwe kabisa

    Polepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa, Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uongo kabisa. Apuuzwee polepole.
  15. M

    Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

    Hebu angalia mwenyewe hapa kwenye mgawanyo wa urithi kwa mujibu wa Quran 4:11-12
  16. Tuo Tuo

    NMB naomba mnijibu hii hesabu

    Wakuu, Juzi nimewekewa hela kwene akaunti cha ajabu kwene salio haikuonesha kuongezeka….. Aliyeniwekea nikamwambia mi sijaona akajibu amepewa na risiti nikamwambia uongo huo akarudi kwa wakala ,wakala akasisitiza ameweka….. Ikabidi nichukue statement. Jana nikarequest statement nikakatwa hela...
  17. N

    Naombeni tupige hesabu, Kila mbunge akipewa milioni 400, jumla ni shilingi ngapi zinachotwa kwenye kodi zetu ?

    Ni matusi kukiita kiinua mgongo kwasababu hata watumishi waliofanya kazi miaka 30+ katika taasisi kubwa kama Benki kuu, TRA, Bandarini, Tanapa, n.k. wengi sana hawapati hicho kiasi, Kuna jumla ya majimbo mangapi yenye wabunge Idadi ya wabunge Viti maalum Idadi ya wabunge wanaochaguliwa na...
  18. E

    Wataalamu wa hesabu za mikopo saidia hapa

    Makato ya mkopo tsh 100,000,,,,muda: miaka 10 ,,,,,riba 17% na bima 1% ikatwe kwa mkupuo
  19. E

    Wahasibu saidia hesabu hii

    Mkopo wenye makato ya sh.100,000/ ,,,riba 17%,,,muda wa mkopo miaka 10. Je,nitakopeshwa sh ngapi!? Kumbuka bima 1% inakatwa kwa mkupuo.
  20. profHarryEnock

    Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
Back
Top Bottom