hela

  1. ndege JOHN

    Bilionea ni mtu mwenye hela sana, akikupa million 200 hapati gepu

    Kuna watu wenye hela zao Sema tu hujakutana nao wapo huko duniani Wanasubiri marafiki wawape pesa fikiria fikiria hela ziko hewani ni wewe kuzidownload tu tafuta rafiki mzuri mwenye idea maana kila kitu kinaanzia kwenye idea.
  2. T

    PreGE2025 Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

    Akihojiwa na vioa msemaji wa CCM ndugu Amos Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya CHADEMA. Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona CHADEMA wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea...
  3. M

    Tafuta hela, Kariakoo majengo yanaota kama uyoga

    Hali ya uchumi inaimarika sana nchini. Pamoja na lawama za mfumuko wa bei, hiyo ni mojawapo ya growing economy hatuezi ikwepa. Kariakoo kuna uvunjaji na ujenzi wa majengo ya ghorofa karibia 100. Hii ni idadi kubwa sana. Tafsiri ya haraka pia mazingira ya biashara eneo hilo kitovu cha Afrika...
  4. Selemani Sele

    PreGE2025 Viti Maalum wanamaliza hela za wananchi bila sababu

    Kwa msaada wa wiki pedia Viti maalum vya wanawake ni nafasi bungeni zinazotolewa kwa utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali na unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika bunge na mabaraza na kwa njia hiyo katika siasa ya nchi hizo kwa jumla. Kuna nchi nyingi za dunia...
  5. BOB LUSE

    Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

    Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia, sio kusubiri kudaka tu. Heshima yako na ndoa...
  6. Frank Wanjiru

    Ahmed Ally: Wote tumepigwa na taharuki juu ya hela nyingi wanazohitaji wachezaji wetu

    Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili. . Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu Tanzania yenye uwezo wa kuzalisha nyingi hivyo kutoka kwenye vyanzo vyake bali tunamtegemea...
  7. BOB LUSE

    Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Kawaida ya Waajiriwa wengi, kuweka Akiba, Saving account kwenye benki zetu, kwaajili ya usalama. Account hizo kuna ledger fee unalipa, huingizi chochote. Nikushauri, wekeza kwenye masoko ya Hisa, akiba yako itaongezeka Kila mwezi, Kwa riba utakayokuwa unalipwa. Usipate hasara, kusubiri mpaka...
  8. Mjanja M1

    Sitafuti hela kwaajili ya Mwanamke

    Huu msemo wenu wa "tafuteni hela wanaume ili mmiliki pisi kali" hua nauona ni msemo wa kijinga tu, binafsi naipambania pesa kwaajili ya maisha yangu mimi na si ya malaya, mnasujudu ngono sana ndiomaana mnatumia pesa kupata penzi, acheni ufala vijana wenzangu tafuteni hela kwaajili ya maisha yenu...
  9. Kiplayer

    Tafuta hela ni msemo usioendana na wanaoutumia

    Wengi wanaopenda kusema hii kauli ya TAFUTA HELA ni mafukara wazuri tu na ndio maana kuna muda naiona miyeyusho.
  10. M

    Tupeni hela zetu tukafie mbele

    Inasikitisha wastaafu kutoa kauli kama hizi
  11. OCCID Dominik

    KERO Hela ya malipo ya transcript imelipwa lakini bado NACTE hawataki kuitoa

    Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata mapema tuu sasa Kimbembe ikawa kupata TRANSCRIPT. Pesa ilishalipwa katika control number husika na sms...
  12. BOB LUSE

    Wanaume, usihangaike kutafuta wanawake, tafuta Hela, hao watakuja wenyewe!

    Unatumia muda na Hela kidogo ulizo Nazo kusaka wadada,mpaka unasafiri Mbali kufuata demu! Unachoma mafuta unazunguka Mkoa Mzima/ wilaya/ kitongoji kisa demu! Elewa kuwa umepoteza muelekeo na nimtumwa wa mapenzi,mhanga wa kupenda Kuliko pitiliza. Unahitaji Maombi uokolewe. Wewe ni cheap and...
  13. MK254

    Wakenya na Waganda wanapiga hela sana Somalia. Tupeane mchongo, mnawezaje hiyo nchi?

    Wakenya walio Somalia wanatuma wastani $500,000 kwa siku, noma sana yaani mlifikaje huko na mnavumiliaje hayo mabomu, nchi yenye misuko suko ya kidini. ========= Somalia has emerged as a new source of remittances for Kenya and Uganda, accounting for $180 million and $21.9 million respectively...
  14. Chief Kumbyambya

    Wazee nahisi kuna mtu amenicheza, nikipata hela hazikai

    Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi. Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh. Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela...
  15. ndege JOHN

    Nina kipaji cha kuchoma hela niamishiwe wizara ya fedha.

    Mimi hata ukinipa million 5 sasa hivi siwezi kujibania lazima ipigwe kiberiti kazi ya Hela sio kuwekwa chumbani au kuhifadhiwa.. Unajenga nini lijumba kubwa wakati una mwili mdogo we huoni wazungu hata vitanda vyao vidogo.. Nipelekwe BOT pale nikachome hela nitakuwa mwaminifu sitatoka na pesa...
  16. ndege JOHN

    Hela sio ya kusolve matatizo peke yake

    Huwa nashangaa mtu anapata pesa anabaki na mawazo mengi kichwani yaani in short anaitesa pesa yake anaipa changamoto pesa yake kazi yake inakuwa ni kutatua tu matatizo mara ya wagonjwa mara ya madeni. Sikatai kutumia pesa kwenye shida ila usijisahau babu kula kidogo sheikh kula kuku au safari...
  17. MKATA KIU

    Ujanja mpya umeibuka wa kutapeli wanawake hela kwa kutumia dating page za Instagram

    Uzi umefutwa maana unaharibu biashara za watu.
  18. N

    Mtandao wa Vodacom wameniibia hela yangu msaada tafadhali

    Mimi ni wakala wa voda na mitandao mingine pia kwa kutuma na kutoa hela Leo nipo ofisini kuangalia kamisheni yangu nikakuta zaidi ya 50 elfu imekatwa Moja kwa moja nikawasiliana na huduma kwa wateja kitengo cha mawakala nikawaambia mbona mmepunguza kamisheni yangu. Wakaniambia wasiliana na...
  19. Kasiano Muyenzi

    Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi kuchunguza - ni katika tamaduni gani mwanaume asiye na kitu alipewa mke? Kwa maoni yangu binafsi...
Back
Top Bottom