hela

  1. W

    JamiiForums Tanzania Fundi nilimpa elf 10 ya mafuta, kaenda kununua ya kuchakachua kubana hela, gari haiwaki inabidi nisafishe tenki zima, Mafundi njaa zitawaua !

    Vijana wetu kuna muda mnajishusha tunawapa chance kuwaamini lakini mambo wanayofanya yanatukatisha tamaa ya kuendelea kuwaamini. Gari ilikuwa na matatizo, nikaenda mtaani kutafuta fundi aje kuliangalia. Gari iligoma kuwaka kwajili ya matengenezo tukaona mafuta hayatoshi kuliwasha. Nikampa...
  2. JamiiForums Tanzania Milioni Siyo Hela Kubwa: Program iliyowakomboa wengi

    Safari hii nilitaka watu 20 na saizi wametimia Asante Kwa kuniamini
  3. JamiiForums Tanzania Promota Andaeni pambano la Mandonga Vs Mandonga Jr mtapiga hela

    Nyota wa ngumi Tanzania karim mandonga baada ya kumtambulisha mwanae kwenye vitasa , mapromota andaeni pambano la mandonga na mwanae mtapiga hela japo ni Nilaana mzazi na mtoto kupigana 😃😂🤣
  4. JamiiForums Tanzania TFF: Zawadi ya CRDB kwa Yanga ilikatwa kufidia madeni yao kwetu kama walivyoomba. Sisi ndio tunaidai Yanga

    Taarifa kutoka TFF -- TAARIFA Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba. Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Niliondoka kule kwa kuwa mimi sio fala, niliona napishana na hela

    Naibu Waziri Wa Afya, Dr. Mollel Amewaambia Wananchi Wa Jimbo Linaloongozwa Na Mbunge Profesa Mkenda Kuwa, Watu Wa Rombo Waendeleea Kumuunga Mkono Mbunge Huyo Lakini Amekumbushia Kwamba Aliondoka Chama Chake Cha Zamani Kwa Kuwa Aliona Anapoteza Muda Kwa Kuwa Walikuwa Wanaandamana Muda Mwingi.
  6. JamiiForums Tanzania Nampongeza Mange kwa kupiga hela za wasiojitambua ila anawapoteza CHADEMA

    Ni mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia...
  7. JamiiForums Tanzania HATUJAMALIZANA..MTURUDISHIE NA HELA ZETU ZA TKT MLIZOTUIBIA MKISEMA TUNACHEZA TAIFA LUPASO

    LAANA YA KUFUNGWA KUU ILIANZIA HAPAAAAAAAA HAWA JAMAA WAKIWA TAYARI WAMESHAPATA BARUA TOKA CAF MECHI KWA NEW AMAN STADIUM WAKAMTANGULIZA AHMED ALLY KWENYE VYOMBO VYA HABARI AKISISITIZA MECHI N KWA MKAPA NAOMBA MKATE TKT KWA BIDII MECHI IPO NA TUTACHEZA KWA MKAPAAA WANANCHI WAKAJAZANA...
  8. JamiiForums Tanzania Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

    Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara . Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina. Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini ushukuru au uombe kujengewa Barabara, Shule au Kisima na Serikali kama kodi na Rasilimali zenu ndo zinazozalisha hiyo hela?

    Katika jamii yoyote inayotawaliwa kwa misingi ya haki na usawa, wananchi wanapaswa kuwa kiini cha mipango ya maendeleo ya taifa. Hata hivyo, hali imekuwa tofauti katika maeneo mengi ambapo wananchi wanalazimika kuandika barua, kuomba kwa wanasiasa au hata kuandamana ili kupata huduma za msingi...
  10. JamiiForums Tanzania Tafuta hela

    Tafuta hela hakuna mzee wa miaka 60. Tafuta hela V8 Sio gari za selikari. Tafuta hela usiwe unalala na gesi chumba kimoja haupo ICU wewe. Tafuta hela uache kusema weka chipsi za kushiba. Tafuta hela weekend sio siku ya kufua. Tafuta hela kuku ana vipande viwili tu. Tafuta hela uache...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku kiongozi atakuletea hela mfukoni

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa muda mrefu vijana wengi nchini Tanzania tumekuwa tukisubiri kwa matumaini: ahadi za ajira, mitaji ya biashara, misaada ya serikali au nafasi ya “kubebwa” na mtu fulani mkubwa. Lakini leo nataka kusema kile ambacho wengine wanasita...
  12. JamiiForums Tanzania KUWA NA PESA PEKE YAKE HAITOSHI KUWA NA NYUMBA NZURI UNAHITAJI PIA WATAALAMU WABOBEVU KAMA SISI CALL US 0624004650

    TUNAHUSIKA NA HUDUMA YA DESIGN NA UJENZI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA CALL/WHATSAP US +255624004650
  13. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Huu Mtego Unaozidi Kutafuna HELA za Vijana Wengi .... Hadi Mafao ya Wazee Wetu Hayajasalimika Kwenye huu Mtego

    Mtego Huu Si Mwingine ni Huu Hapa Chini . Ni uwekezaji wa kitapeli (Ponzi schemes) . Ponzi scheme Nini utauliza?? . Well, Ponzi scheme ni mfumo wa kitapeli ambapo watu wanaahidiwa faida kubwa, ya uhakika (guaranteed) na risk yake ni ndogo, . hali hii inayowafanya wengi kuvutiwa na kuweka fedha...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anafanya kazi ya hatari sana

    Huyu jamaa anafanya kazi ya hatari sana, Ajabu AKIPATA tu hela yote kwenda kuhonga , Kwani sisi wanaume shida ni Nini?
  15. JamiiForums Tanzania Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela

    Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela Hili tatizo linakera sana imepelekea baadhi ya wamiliki wa nyumba na majengo kutokuonekana sana uraiani na kuishi maisha ya siri baada ya kupata...
  16. JamiiForums Tanzania Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna wakati unafika, hela inakuwa sio sehemu ya shida zako ila unakua na shida ambazo hazitatuliki kwa hela!

    Hii stage ukiifikia basi ujue the only solution ya matatizo yako ni Mungu baba mwenyezi wa mbinguni pekee⛓️‍💥⛓️‍💥
  18. JamiiForums Tanzania Ukipata hela yako kula

    Habari za muda huu wanadau wa JamiiAfrica? Juzi kati nilikutana na wazee wawili njiani,wakipeana ushauri wa jinsi ya kutumia hela anayoipata kwenye shughuli zake,kilichonishangaza ni pale mmoja wao alipoomba ushauri wa hela anazopata kila siku azifanyeje,Yule mzee wa pili alimjibu kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Walimu mnao kata hela za wadogo zetu tunapowatumia mna shida gani?

    Leo nimeamka na ninyi waalimu hakika haipendezi kabisa na sio sawa. Ni mara kadhaa sasa hii tabia baadhi yenu(walimu) huwa tukituma hela za matumizi kwa watoto/wadogo zetu mnawakata hela zao. Mfano kuna dogo yupo advance shule X juzi nilimtumia mwalimu wake hela cha ajabu kwenye ile hela...
  20. JamiiForums Tanzania Utajibu vipi ukiombwa hela ya pasaka weekend hii

    Mshahara bado haujaingia, akaunti hazisomi ila ni uhakika kuwa Yesu anafufuka keshokutwa na tutasherehekea. Unamjibu vipi boyfriend au girlfriend wako akikuomba hela weekend hii?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…