heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siioni Tanzania bila Heche na Lissu

    Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ccm kutumia makapuku wa chaumma kumtukana heche kupitia dalali na shehe fake mwaipopo inamaanisha nini?

    Jamani wadau mmeamkaje? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, imeibuka tabia ya ccm kutumia wale makapuku wa chaumma kupitia yule shehe fake mwenye vikundi vya kigaidi mwaipopo kumtukana heche na hitimisho lao wanasema aachie ngazi kwenye nafasi aliyonayo sasa maswali yangu ni haya; 1. Je...
  3. JamiiForums Tanzania Fanyeni hivi ili Heche ajiuzulu

    Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA. Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi? Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala. Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua...
  4. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa John Heche kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza (Mutafungwa)

    Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako? Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje? Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini? Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za...
  5. JamiiForums Tanzania Heche kuendelea kuwepo ofisini licha ya kashifa za ubadhirifu wa mali za chama ni maana halisi ya Siasa biashara

    Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama. Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KATAVI: Kiongozi wa CHAUMA avaa nguo za CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche mbele ya waandishi wa habari

    Huyu ni kiongozi wa CHAUMA kavaa nguo za Chadema na kujifanya yeye ni Katibu wa Bavicha Mkoa wa Katavi, kaitisha press na kuanza kuishambulia Chadema na Makamu Mkiti John Heche. Nafikiri wanasheria wa Chadema waanze kuwachukulia hatua za kisheria watu kama hawa wanaojipachika vyeo bandia...
  7. JamiiForums Tanzania Hili la Heche kulalama kuwa kuna watu wanamfuatilia lichukuliwe kwa umakini. Lissu nae alianza kulalama anafuatiliwa baadae

    Mzaha mzaha uota usaha. Heche amelalama zaidi ya miezi mitatu kuna watu wanamfuatlia. Yasije yakajitokeza yale ya Lissu.
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Heche Ahojiwe, Hakuna Kinga kwa Ufisadi

    CHADEMA kuna fukuto la ufisadi linaendelea dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche. Hili naomba tuliweke sawa, katika siasa, hakuna kiongozi anayepaswa kupewa kinga dhidi ya maswali au kuwajibishwa kwa sababu ya umaarufu wake. Madai ya matumizi mabaya ya fedha yaliyoibuliwa dhidi...
  9. JamiiForums Tanzania Lilianza la kuandamana Ubalozi wa Vatican kutaka Padre Kitima akae pembeni saivi Maandamano ya kutaka Heche akae pembeni😂

    Hii Nchi Wenye akili waliuliwa October 29. Endeleeen kupumzika kwa Amani ndugu zetu.🙏
  10. R

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuwajua mamluki wanaotumwa kumchafua Heche ni hii

    Ukiona mtu anafanya kazi ya kumlaumu Heche, lakini hajawahi kuyakemea/ kuyasemea haya listed below, ujue katumwa na mbogamboga kumchafua Heche. Mfukuze kama ana kadi ya chama 1. Akiambiwa kuna tone tone haongei chochote 2. Akiambiwa free Tundu Lissu haongei chochote 3. Akiambiwa viongozi wa...
  11. JamiiForums Tanzania UFISADI CHADEMA, wanachama wamemkalia Kooni John Heche wamuomba Msajili kuingilia Kati wamtaka Katibu Mkuu Mnyika kuunda tume ya kumchunguza

    Shalom Makamanda, Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati na Katibu mkuu wa CHADEMA kuunda tume ya kumchunguza wakati huo akiwa pembeni kwani hawawezi...
  12. JamiiForums Tanzania Heche: Kijana niliyemshtaki kwa madai ya kunitukana sasa ananiita 'baba'!, aje athibitishe Mahakamani

    John Heche amesema amefungua kesi dhidi ya mtu anayedai amekuwa akimtolea kauli za uongo, akisema mhusika atalazimika kuthibitisha madai yake mahakamani. Pia ameonya kuwa watakaoshindwa kuthibitisha madai yao na kulipa fidia wanaweza kupoteza mali zao. "Nimeanzisha kesi yangu aje kudhibitisha...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Ukitunyima amani tunakunyima amani

    Nina taarifa za ndani kabisa kwamba wanataka kunikamata. Mimi siogopi kukamatwa, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga pabaya na jipange upya. Hatuwezi kuishi kwa kunyimana amani. 'Ukitunyima amani tutakunyima amani'...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Heche adai kufuatiliwa na gari namba T 318 EQJ

    Makamu Mwenyekiti wa ChademaTz Bara leo Julai 29, 2026 akihutubia kwenye mkutano wa ndani wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza ameeleza kuwa kuna gari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop) nyeupe iliyofika nyumbani kwake asubuhi ikiwa na namba za usajili T 318 EQJ, baada ya kufanya uchunguzi...
  15. JamiiForums Tanzania Heche: Mnaotumwa kuteka watu, mwisho wa siku watawaueni nyie kupoteza ushahidi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa mkoa wa Mwanza amezungumzia masuala mbalimbali ikiwemo suala la utekaji nchini, ambapo ameshutumu kuwa anafuatiliwa na watu wanaotumia magari yenye namba za usajili fake. Leo asubuhi kuna gari imekuja nyumbani kwangu namba T 318 EQJ, Toyota Land Cruiser...
  16. JamiiForums Tanzania Tuhuma za ufisadi zimepunguza kasi ya uropokaji wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa.

    Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Heche: Nchimbi anasema Rais anataka Katiba na yeye pia anataka Katiba. Sasa inakwamia wapi ambapo anataka sisi tukomae?

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, ameihoji Serikali ya Tanzania akitaka itaje wazi ni nani anayekwamisha mchakato wa Katiba Mpya, kutokana na kauli ya Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, iliyowataka Watanzania ‘kupambana’ ili kuipata...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee wa kutupa Katiba Mpya ni Tundu Antipasi Mughwai Lissu, au kwa maana hiyo CHADEMA ya Lissu na Heche

    Sima cha kuongeza. Ongeza wewe msomaji.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Gerva Lyenda: Wanaosema Heche anakula hela walete ushahidi

    Akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media Julai 27, 2026, Mkuu wa Idara ya Habari na Uenezi wa CHADEMA, Gerva Lyenda, ameeleza kuhusu wanaotoa tuhuma dhidi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho, John Heche kuhusu wizi wa fedha, akisisitiza kuwa fedha za CHADEMA huingizwa kwenye akaunti rasmi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…