Je Kama CHADEMA haina mvuto,imesambaratika,haipendwi, chama tawala kwanini wanaogopa kufanya reforms zinazopigiwa kelele Hadi watu kutekwa, kuumizwa, "kupotea", hadi kuzuia watu kwenye viwanja vya ndege kuhudhuria kesi, kusudi ili ufanyike uchaguzi wa huru na haki mkaithibitishia dunia maneno...