haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haya nyie wajinga, vipi ICC file liko chumba nambari ngapi?

    Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania. Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada . Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua. Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa matukio haya mpaka sasa huyu akiendelea basi nyie ni zamu yenu mnayetunza.

    Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha. Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie. Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
  3. JamiiForums Tanzania Haya ndio maelezo ya mifumo ya submita

    1. Submeter ni nini? Submeter ni kifaa kinachotumika kugawa au kupima matumizi ya umeme kwa mtu mmoja mmoja ndani ya jengo au eneo moja. Mfano: kwenye nyumba za kupanga, kila mpangaji anapata bili yake kulingana na kiasi alichotumia. --- 2. Submeter inafanyaje kazi? Submeter hupokea umeme...
  4. JamiiForums Tanzania Angalieni wenzenu wanavoadamana vizuri, ama nyie hampendi maadamano kama haya

    https://www.tiktok.com/@brutofficiel/video/7579183083396533526 Tindo
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Enyi mnaokejeli haya maandamano mna upungufu wa akili

    Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto...
  6. JamiiForums Tanzania Waislam kubalini Wakristo wamewazidi katika maeneo mengi nyeti. Kama haya kisha mjifunze

    Hamjambo! 1. Waislam ni kama Kaini kwa ndugu yake Habil. Wanaona wivu na kuwa na hasira na maendeleo ya Wakristo. 2. Mimi kwa upande wa Baba ni Waislam. Mara yangu ya Kwanza kuingia msikitini nilishangaa Sana. Waislam wengi hawajaujenga uislam kama taasisi. 3. Unaweza kuingia msikitini Siku...
  7. JamiiForums Tanzania D9 on the way: Haya ndio matukio 10 kutokea hayatosahaulika tangia tupate uhuru

    Haya ni matukio 10 yaliyowahi kutokea na kutikisa nchi tangu.Hayo ndo matukio ambayo sio rahisi kufutika na kusahaulika vichwani mwa watanzania walio wengi. yapo kwa mpangilio kuanzia namba 10 mpaka namba 1. kama kuna tukio lingine limesaulika ongezea. 10•••1982: Ndege ya Air Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Haya ndio majaabu ya 9 desember

    9 desember ni mpango wa Mungu inaongea vitu ving kwa pamoja Kwanza ni arobain ya watu waliouwawa tarehe 29 mwez wa 10 9 desember inatimia siku ya 40 mwisho wa msiba Ukifungua biblia zabur 9 mstari wa 12 yaan 9 desember inatajwa humo kwenye biblia fungua usome . Je unafaham maajabu gan...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mambo kama haya maridhiano yatapatikana? Au wamechukia Lissu katajwa na Bunge la EU?

    Hawataki kabisa Lissu atembelewe na makada wa CHADEMA
  10. JamiiForums Tanzania Vijana Hatujazoea Kulalamika, Lakini Haya Yanayotokea Sasa Ni Beyond Uvumilivu!

    Jamani wana JF, kuna jambo linaniumiza sana na natamani tulijadili kwa uwazi bila kuogopa. Kila siku tumekuwa tukisikia kauli zinazotuambia, “Vijana fanyeni kazi, acheni kulalamika.” Sawa, lakini mnataka kuniambia kweli vijana wa taifa hili hawafanyi kazi? Ukweli ni kwamba vijana tumepitia...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 VIDEO: Gwajima aliwahi yatabiri haya yanayotokea sasa

    VIDEO: Gwajima aliwahi yatabiri haya yanayotokea sasa
  12. JamiiForums Tanzania TBT: Unakumbuka nini maeneo haya?

    Hapo pembeni karibu na jengo la Tanesco ndipo palikuwa stendi ya daladala ubungo. Wewe unakumbuka nini maeneo hayo?
  13. JamiiForums Tanzania Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

    Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka Marekani. Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??) Eti...
  14. JamiiForums Tanzania Je, wakati wageni wanamiminika kwa wingi kuja Tanzania kuleta fujo JWTZ wenye jukumu la kulinda mipaka walikuwa wapi?

    Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini? Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
  15. JamiiForums Tanzania Samia kwanini unakwepa haya maswali?

    …………
  16. C

    JamiiForums Tanzania Katika haya madhehebu makubwa RC pekee wameoesha kuuishi ukristo kwa vitendo, KKKT ni wanafiki wakubwa,ANGLICAN na wengineo wanafiki pia

    Nimefuatilia kwa makini haya madhehebu ya dini nimebaini kumbe roman Catholic ndio haswaa wanao uishi ukristo kwa vitendo hawa sio wanafiki wanasimama na kweli daima nadhan hawa ni wakuwafuata pasi na shaka, hawa wamesimama na wananchi kabisa na huo ndio ukristo safi Nimewadharau sana KKKT...
  17. JamiiForums Tanzania Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela

    Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni roho ngumu tu, ila Rais Samia angekuwa na UTU, angeondoka Ikulu kwa haya mauaji na ubakaji uliotokea akiwa Kiongozi Mkuu wa nchi

    Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI! Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
  19. JamiiForums Tanzania CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

    Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Tume ya Enquiry Haijaundwa - Haya Yafanyike kwa Haraka

    Wanabodi, 1. Waliotekwa wote waweze kuachiliwa na kuwarejesha katika familia zao. 2. Miili ya wale wote waliokufa kwa kupigwa risasi warejeshewe familia zao wakazike. 3. Mafisadi waliopata Magari ya kifahari pasipo chanzo kinachoelezeka wafilisiwe. 4. Waliohusika kupiga risasi raia wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…