haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanapatikana wapi haya

  2. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha pili yametoka, kumbe kuna shule zenye majina haya?

    Kumbe hizi shule zipo Job Ndugai High school Janeth Magufuli Secondary School Jenister Mhagama Secondary School Joel Bendera High school Janeth Magufuli Girls Secondary School Juma Zuberi Homera Secondary School January Makamba Secondary School Dr Tulia Girls Secondary School Daniel...
  3. JamiiForums Tanzania Una malengo ya kuanza ufugaji kuku 2026? Zingatia haya kabla hujawekeza hela yako kuepuka hasara

    Nimefuga kwa miaka kadhaa ,kwa mtu ambaye anataka kuanza serious ufugaji wa kuku 2026 ,ningemshauri azingatie haya Habari ya mwaka mpya wafugaji wenzangu, Kila mwaka kuna watu wengi wanaanza ufugaji wa kuku kwa matumaini makubwa, lakini wengi wao wanakata tamaa njiani kutokana na hasara ambazo...
  4. JamiiForums Tanzania Wengi wetu tulikuwa tunaona ni uonevu Russia kuivamia kijeshi Ukraine, ila kwa haya yanayotokea (Imperialism)- ilikuwa haki kabisa ya Urusi

    JUST NI REALITY VIEW , NGUVU KUBWA INATUMIKA KUHAKIKISHA MALI (RASILIMALI ) ZA NCHI MOJA ZINAPITIA , NA NI LAZIMA ZIPITE KWENYE NCHI KUBWA YENYE NGUVU KIJESHI ILI TUU MAISHA YAENDELEE.............. NILIKUWAGA NAONA NI UONEVU WA URUSI , KUMBE MADAI YAKE YALIKUWA NA MASHIKO ...... OIL...
  5. JamiiForums Tanzania Aibu iende kwa nani juu ya huu upuuzi unaofanyika? Watu makini hawezi kufanya maandamano ya kipuuzi kama haya

    Yaani mkusanye watu wasiofaa hata kutazamika kwa macho alafu mdanganye kuwa ni waumini wa dini fulani ambayo kataa usikatae ina ushawishi mkubwa hapa nchini basi wewe hako sawa. Kwanza hii inaleta picha kuwa tayari una chuki na kinyongo juu ya hili dhehebu. Pili hili dhehebu halikubaliani na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda . Nimeyetaja matukio...
  7. JamiiForums Tanzania Usifuge ng’ombe wa maziwa bila kufahamu haya, utafeli

    SOMO FUPI (LILILOFANYIWA UTAFITI): Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Ng’ombe wa Maziwa Lengo la somo: Kuwezesha mfugaji au mwekezaji kufanya uamuzi sahihi, wa kitaalamu, na wa faida kabla ya kununua ng’ombe wa maziwa, ili kuepuka hasara zinazotokana na maamuzi ya haraka au taarifa zisizo...
  8. JamiiForums Tanzania Haya maandamano ya Iran ndio anguko la taifa la Kiislamu?

    Kuna Video nimeona inasambaa ikionesha maandamano Nchini Irani kwa siku nne mfululizo je ndio anguko la taifa la Kiislam la Irani Video hii hapa chini
  9. JamiiForums Tanzania Utawala wa JPM umeleta matunda haya kwa kufungia maduka ya kubadilisha pesa

    Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki. Sasa kwa utawala uliyopita magufuri ndio chanzo ya yote haya kuanzia utekaji,kubaka uchaguzi,kuua vyama vya...
  10. JamiiForums Tanzania Majizi haya yanaweza kuuwa kweli

    Wote tunakubaliana MaCCM yote ni majizi. Lakini mijizi ifuatayo Nape Nnauye, Dotto Bitiko, Innocent Bashungwa, Selemani Jaffo, Hussein Bashe, January Makamba na Ummy Mwalimu. Sidhani kati yetu kama kuna mtu hiyo mijizi hipo tayari kuuwa ilimradi, iendelee kuiba. Ndio hao watu ni wadokozi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Haya ni maajabu!! Rais anashinda ndani kama utumbo?!!

    Amejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha. Ni rahisi kumfitinisha hata na watoto wake. Kama mnabisha, mtumieni Wanu au Abdul SMS yenye maneno "tuletee hata leso yake". Ujumbe huu tu ukionekana...
  12. JamiiForums Tanzania Mtibeli na Haya Land , acheni kurudisha harakati Nyuma za kupambani haki

    Hawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini. Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha . Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa. Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika kirahisi Hayaland na Mtibeli mjitafakari sana
  13. JamiiForums Tanzania TISS ilitakiwa kuwa usajili wa wazi ili kuondoa haya mambo yenu maana weledi hakuna

    Yale mambo sijui nyerere aliweza kufanya kwa kificho kuweka usalama wa taifa anaotaka kwa sasa yamepitwa na wakati ndio matekeo ya leo yani hata magaidi yalivyoingia mkuranga wao walikuwa wapo wapo tu. Kinacho waogopesha ni nini hii idara ikawa wazi kila mwenye taalamu anaweza kujiunga na nyie...
  14. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo 10 muhimu ya kuzungumza kabla ya ndoa ili kuepuka maumivu baadae

    Kabla ya Ndoa, haya ni mambo muhimu sana mnayopaswa kuyazungumza ili kuepuka maumivu na kuvunjika moyo baadaye: 1. Fedha - Tutazisimamiaje? Pamoja au kila mmoja kivyake? Nani ataweka akiba, nani atatumia, na tufanye nini mambo yakibana? 2. Watoto - Je, tunataka watoto? Wangapi? Na ni maadili...
  16. JamiiForums Tanzania WhatsApp wanapaswa kuangalia haya maudhui ya channels wanazotupendekezea

    Sina magrupu ya ngono wala nini basi waseme ni algorithm, yani unaamka asubuhi hii ndio unacho kutana nacho. Kuna namna ya kunyuti utumbo huu?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kaacha legacy mbaya sana kwenye usalama wa nchi hii!

    Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana haya mambo ya kutafuta wachumba mitandaoni na kwenye media mnatuzalilisha wakubwa zenu

    Vijana wa sasa sijajua au ndio kizazi chenu cha wakati. Ila sisi wakubwa wenu mnavyo jionesha kuwa mnashindwa kutafutana mtaani mpaka kwenda kwenye media yani niliona kijana mmoja kuna kipindi kimoja mpaka nika jisikia vibaya sana. Umfahamu wala hakufahamu mnaenda kuokotana kama madanguro...
  19. JamiiForums Tanzania Shutuma kutoka kwa Mzee wa Kizanzibari kuhusiana na vijana wa Kizanzibari kuzidisha anasa za mapenzi zinazovuka mipaka zina ukweli?

    Shutuma hii inawapa watu wengi maswali wakijiuliza anasa kwa vijana wa Kizanzibari imekithiri kwa kiwango gani hata kufikia kupeleka malalamiko mitandaoni Je haya yasemwayo ni kweli vijana wa Kizanzibari wanayafanya? Binafsi nawachukulia vijana wa kizanzibari kama watu wapole na wanyeyekevu...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania sio wabunifu, kwanini ukiwa nchi za watu kuna utofauti kabisa. Naomba niwape haya

    Ukifika muda wa jioni China Guangzhou ndio unakuwa muda wa wamachinga ili kuondoa msongamano na wenye maduka ila pale Kariakoo hakuna ilo. Kizuri pale Guangzhou ndio muda ambao wajasiliamali wadogo hususani wauza vyakula unawakuta wengi wakiwa na mabanda yao. Kinachonifurahisha kila mtu ana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…