haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haya ndio mazingira ya soko kuu la Samaki Hai

    Hili ndilo soko kuu la samaki kwa sasa lililopo eneo la Maili Sita katika Wilaya ya Hai Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wa samaki waliohamishiwa eneo hilo walikabidhiwa eneo hilo lisilokuwa na miundombinu yoyote inayoendana na aina hiyo ya biashara. Hakuna miundombinu ya vyoo maalumu kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Endelea kupenda hela kuliko utu ipo siku utakumbuka maneno haya

    Asalaam alhkumu. This is the world we are passing through. Fanya yote tambua iko siku utalala kwenye tumbo la ardhi. Jifanye mbabe, nguli gaidi n.k kaburi inakusubiri, hela ni mfumo na hela ndo kitu ambacho kinabadilisha watu mwisho kujipa ukuu kwasababu anachambambi chambi. Endelea na...
  3. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

    United States Vice President Kamala Harris will be the 18th and most senior American official to visit Africa this year in late March. The tour to Ghana, Tanzania, and Zambia was scheduled for 25 March to 3 April. This visit will be the most high-profile as the US and Russia go pound-for-pound...
  4. JamiiForums Tanzania Maelekezo haya kwa Walimu wa Manispaa ya Ilemela yapo nchi nzima?

    Niende kwenye hoja! Yamekuja maelekezo ya kusainisha waalimu mkataba ambao unamtaka kila mwalimu kufaulisha somo lake kwa asilimia 100. Hakuna mwanafunzi kufeli mtihani wa somo lake! Na kufeli kwao inaanzia B na sio F kama baraza la mitihani linavyo elekeza! Je, Sikuhiz mwalimu ana sign...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Je, maswali haya yana majibu?

    Habarini ndugu wananchi wa jamii forum Mwenye maswali ya haya majibu km anaweza tusaidia Nimekuwa nikijiuliza sana ●Je? ni muda gani muda ulianzishwa ●Nini kilianza muda au dunia? ●Dunia ina deni la nani ikiwa wanadamu walivumbua pesa? ●Tunajifunze vipi kwa kitu ambacho hakipo(non existence)?
  6. JamiiForums Tanzania Mwamposa, haya makundi ya Kuwaombea yakiisha utayaombea Makundi gani mengine ili upige pesa zao kiulaini?

    Tayari Umeshayaombea Makundi yafuatayo: 1. Wanawake na Uzao Wao 2. Wanaume Wapuuzi Wasiodindisha Mikuyenge / Mikurudungu yao 3. Wafanyakazi na Wafanyabiashara 4. Watoto 5. Wanafunzi 6. Wenye kuhitaji Mimba za Ndoa na Uzinifu 7. Wanandoa na wenye kuhitaji Waume na Mabwana Leo nasikia uko na...
  7. JamiiForums Tanzania Namshauri Lema arudi Canada kuungana na familia yake. Haya matusi kwa watanzania yametosha sisi wanaArusha tusije laumiwa baadae

    Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka! Kuna watu...
  8. JamiiForums Tanzania Usihangaike na mwanamke ambaye havutiwi nawe

    Wanaume wengi huumia kwa kutokuzingatia vitu vya msingi linapokuja suala la mahusiano. Sababu hawajui wanachokitaka, wanachokifanya, hawana uzoefu. Na kuishia kuumia, kuwachukia, na kuwalaumu wanawake kwa mambo mengi. Lakini ili kuepuka hayo, na wakati unatengeneza uzoefu kwenye suala la...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa hujapata wateja kwenye biashara unatakiwa ufanye nini?

    Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee? Maana biashara ni mpya na sitaki kuifunga
  10. T

    JamiiForums Tanzania Haya maridhiano kuna mmoja atakuja kushtuka imeshakuwa asubuhi!

    Vyenga vya leo vinatosha kabisa kuona kuna mmoja katika maridhiano haya yanampa faida kuubwa sana hasa huko tuendako, na kuna yule ambaye anafurahia vinono vya muda mfupi! Maridhiano kwa nchi kama hii yetu yenye watu waliozoea Amani kama maji ya mtungini ni mhimu sana kwa mstakabali wa nchi na...
  11. JamiiForums Tanzania Haya anayofanya Freeman Mbowe ni unafiki mkubwa kuwahi kutokea. Angefanya Zitto Kabwe wa ACT moto ungewaka

    Kwakweli nimechoka na siasa za bongo. Miezi michache iliyopita Zitto Kabwe alikuwa anashambuliwa Kila Kona kwa sababu ya ruzuku. Wakamwita msaliti na matusi chungu nzima. Leo Chadema chini ya Freeman Mbowe wamechukua ruzuku na wamekausha kimyaaa. Unafiki! Miezi michache iliyopita...
  12. JamiiForums Tanzania Haya wale Viherehere na mwenye Chuki na Rwanda, Rais Kagame na Wanyarwanda mjibuni sasa Rais wa Ufaransa Macron

    " Congo DR iache kila mara Kulaumu Kuvamiwa na Rwanda, tumechoka na kabla ya Kuwashutumu Majirani zao Wajiimarishe hasa Kiusalama na Kuimarisha kama Taifa kwa Umoja na Kuwaunganisha Wakongo wote* amesema Rais wa Ufaransa Manuel Macron alipokuwa Ziarani nchini Congo DR. Chanzo Taarifa: Amka na...
  13. JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

    Mzazi unaweza unaweza ukajitahidi ukamlea mtoto katika maadili mema...Ila uhuni na utaahira...Ataupata shuleni...Shuleni ni sehemu kuu ya kuharibu watoto kitabia na kimaadili... Mimi ninafanya shughuli ya kukaa watoto kabla ya kwenda mashuleni...Tunawatengeneza vizuri tu kitabia na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Mkuu wa Wilaya akataa kuishi kwenye Nyumba ya Serikali akidai haina uzio. Anaishi hotel ya Burigi. Haya mambo hapo nyuma yalisahaulika

    Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita. Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa. Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi. Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko. N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ina mtazamo gani kwenye matukio haya kwa watoto?

    Habari zenu Kumezuka tabia ya wazazi au walezi kufungua akaunti za mitandao ya kijamii huku walijipatia umaarufu kupitia video za watoto wao. Kwangu mimi si busara mtoto kumuingiza katika dunia ya mitandao wakati bado anahitajika kusoma na kujifunza mambo mengi lakini kinachotokea wazazi...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hukosa wapenzi kwa kufanya makosa haya wanapokutana mara ya kwanza (first date)

    Umekutana na mwanamke ukapata namba yake na mkapanga mkutane mara ya kwanza mahali ili muongee/ mle/ mpate kinywaji. Kuna muda hili jambo linatia mawazo sana. Unajiuliza utafanyaje ili umpate kabisa umuweke ndani Kukutana na mwanamke mara ya kwanza huwa ni kwa ajili ya kujuana zaidi. Sio kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wameharibu mahusiano yao bila kujua kwa kufanya makosa haya

    Ni muhimu kujua makosa ili usiyarudie/usiyafanye. Ukishaondoa makosa, kinachobaki ni vitu vizuri. Pia kuna makosa yatakayomfanya mwanamke wako kupoteza mvuto kwako. Ataanza kujitenga nawe. Nawe utaanza kulazimisha penzi mwisho wa siku anakublock, anakunyima penzi au anakuchunia kabisa. Hivyo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia alienda Arusha 01/03/2023 wakati Lema anaingia nchini? Mapokezi haya makubwa kwa Lema yanatoa picha gani Kwa chama tawala?

    Kwenda kwa Rais Arusha leo ni asset au liability kwenye uwanja wa siasa? Kama ni liability washauri wake walishindwa kuona madhara haya? Kama ni asset, kivipi? Kwa ukubwa wa msafara wa Lema, hakuna umuhimu. Rais akatembelea Arusha kikazi azungumze na wananchi hivi karibuni kuonesha kukubalika...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda, hivi Rais Samia anajua hizi shule zinazofunguliwa hazina walimu na wanagawana walewale wachache?

    Kabla ya kuongezwa madarasa, yale ya covid 19 n.k, tayari kulikuwa na upungufu mkubwa. Wastani wa hadi walimu 8 kwa shule (wastani wa chini). LEO, kuna wimbi kubwa la ujenzi wa mashule. Kuna halmashauri zina jumla ya shule hadi nane (primary na sekondari) zikiwa zimeshapata usajili na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea Simba SC kipi kati ya haya mawili kilikuwa cha muhimu ilipocheza na Vipers FC leo Kampala?

    Je; 1. Simba SC icheze mpira wake wa Samba Loketo ila ifungwe au iambulie sare/suluhu kisha timu na mashabiki tuvurugane zaidi, tuchapane bakora, tuchekwe na watani zetu Yanga SC na mgogoro uzidi Kukua. au 2. Simba SC icheze vibaya kama ilivyocheza leo (tena ikiwa ugenini) Jijini Kampala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…