haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

    sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu. Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa yaliletwa na kontena mbili zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce &...
  2. JamiiForums Tanzania Antinatalism vs Childfree: Mambo ya uelewa kati ya haya mawili

    Natumaini mko wazima wanna forum. Mada ya leo itahusu antinatalism na childfree. Nitaanza kwa kuweka hizi hoja mbili wazi kuwa kuna watu ni childfree (by choice) na pia ni antinatalist ila si kila antinatalist ni childfree. Nitaanza kuzungumzia watu childfree Watu wanaochagua kuwa childfree kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo yanayotukwamisha vijana ni haya

    Haya ni mambo ambayo yanatufanya vijana tusiaminike. Historia za familia zetu Tabia zetu Mitazamo yetu. Haya matatu yanaweza kukwamisha maisha yako yote bila wewe kujua.
  4. A

    JamiiForums Tanzania IPO haja Kwa taasisi za watanzania kununua hisa kwenye haya makampuni

    Ili wa Tz waweze kumiliki rasilimali zao IPO haja ya hizi taasisi kuwa wanauziwa hisa , Bakwata, TEC, CCT, Bodi ya madaktari, ma engineer, cwt,TLS,nbaa, PSPT nk , ili tuepukane na Wana siasa uchwara. Makampuni iwe TPDC, TPA, nk nk
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

    Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni. Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka. Siyo...
  6. JamiiForums Tanzania Haya TEC wameshakuja na Tamko leo Jema, je, na Sisi wana JamiiForums Tamko letu litatoka Saa ngapi?

    Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko. Sasa ole wenu Tamko lenu lije tofauti na nilivyoanza Mimi mtajua kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo na Nyoka hana Ugoko ( I'm Kidding guys ) Tafadhali naomba Wachaguliwe Members kadhaa na kwa Niaba yetu waje na Tamko la Jumla la wana JamiiForums wote juu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya ya Nahodha wa Asas FC kuna haja ya kupoteza muda Kesho kutizama wakicheza na Yanga SC?

    "Tunafurahi Kesho kucheza na Yanga SC ambayo baadhi ya Wachezaji wetu Wanaishabikia na Wengine Wanaishabikia Simba SC. Na kuhusu Matokeo anayejua ni Mwenyezi Mungu pekee kama tutashinda au tutafungwa" amesema Nahodha wa Asas FC kutoka nchini Djibouti inayocheza na Yanga SC Kesho ( Jumapili )...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Haya mambo anayofanya Msajili wa Hazina Ndg Nehemia Mchechu ni wana CCM wachache watanavutiwa nayo; hongera sana sana sana kuyashape mashirika ya umma

    Moja ya mtu anayefanya kazi kubwa na kitaalam ni Nehemia Mchechu; amefanya vizuri NHC wana CCM wakamwonea wivu na kumshauri Magufuli Amtumbue. Amefanya vizuri sana kwa muda mfupi kama msajili wa hazina ; its like yeye ndiye mtu wa kwanza kuteuliwa kuifanya kazi hiyo. Changamoto iliyopo ni...
  9. JamiiForums Tanzania Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

    Wakubwa zangu poleni na uchovu. Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali. Naishi maisha Magumu mno. hii ni Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki. Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri...
  10. JamiiForums Tanzania Hao wahehe wanaojinyonga wako wapi, nilikaa Iringa ila mbona nilikuwa sisiki haya mambo?

    Niliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili, Katika vitu nilovyokuwa na shauku ya kuvihakikisha ni ule usemi wa wahehe kusifika kujinyonga. Nilitegemea kusikia habari za kujinyonga kila wiki ila nilichoambulia kwa muda huo wote kuna mwanafunzi alijinyonga kitu ambacho hakikunistua.
  11. JamiiForums Tanzania Jumanne safari kuja Mtwara. Haya mambo wadau tuwekane sawa

    Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara. 1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury 2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza. 3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara 4. Hotel gani nzuri na yenye...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuacha punyeto hatimaye nimepona

    Baada ya kufanya masturbation kwa miaka zaidi ya sita mfulilizo, ikanifanya nipoteze uwezo wangu wa kiume. Mwaka juzi ni kafunga ndoa, lakini bahati mbaya Kila napo shiriki tendo dakika mbili Chali. Aiseee hali hiyo ilinitesa sana japo pia nilikuwa naendelea na masturbation mana I was too...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, katika mazingira haya tulitegemea Dkt. Slaa afanyaje?

    Habari wana jf, habari za siku nlihamia kidogo jukwaa la michezo maana mambo ya siasa yamekuwa ya moto kweli . Nimekutana na comments nyingi kuhusu Slaa kwamba haaminiki upande wa upinzani hivi katika mazingira haya wa kumwamini ni nani ? Upinzani au Dkt. Slaa? Na tulitegemea afanyaje...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Siasa za mtandaoni na mtaani ni tofauti!

    Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia juujuu bila kufungua mlango wa sita wa fahamu kuyafahamu zaidi, unaweza kuhisi ndivyo yalivyo. Moja ya mambo hayo ni siasa zetu huku mitandaoni na mitaani. Kwa mara ya kwanza kama hujawahi kabisa kufuatilia siasa na ukaanza kuzifuatilia mitandaoni, utagundua...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Watanganyika tuwaombee viongozi wanaofisadi na kuuza bandari za Tanganyika! Haya ni majaribu

    Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?
  16. JamiiForums Tanzania Hey naombeni ramani ya kufika maeneo haya nakuja Dar Jumatatu

    Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe. Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale. Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara)...
  17. JamiiForums Tanzania Haya ni machache kati ya mengi niliyoyasikia au kuyaona kutoka kwa maustaz, wachungaji na waganga wa kienyeji. Je, na wewe ushashuhudia lipi?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu katika nchi yetu kuna watu wamekuwa wakisabishiwa, au kusababisha wenyewe vifo vya ndugu zao bila wenyewe kujijua kutokana na imani zao, au mawazo yao. Hapo chini ni matukio mawili kati ya mengi ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe. 1. Mnamo mwishoni...
  18. JamiiForums Tanzania Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

    Generation Z au Zoomers ni kizazi cha waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 hadi 2012. Umri wao ni kati ya miaka 9 hadi 24. Kizazi kitakachofuata baada ya Generation Z kitaitwa Generation Alpha (Generation Alpha and the generations that will come thereafter will be more worse than Generation Z)...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Haya maisha ya namba gani?!

    WanaJf wenzangu,Nawasalimu.Kuna jamaa yangu mmoja anaishi maisha ya ajabu sana!Hela anapata sana,lakini Hana kitanda,godoro Wala chumba Cha kulala!Kulala kwake ni kwa kidandia mara kwangu mara kwa jamaa wengine,akizipata analala bar!Na ni mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali nk.Na ukimpa ushauri...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Natangaza haya hadharani: Nitapata ajira haraka baada ya kuhitimu Shahada ya Kwanza

    Kutokana na tatizo la ajira, vijana wengi wanaishi kwa msongo huko chuoni juu ya vipi wataishi baada ya masomo. Kwa akili zangu timamu, mimi kijana ninaesoma Shahada ya kwanza ya Ualimu, katika moja ya chuo hapa jijini Dar es Salaam, nina imani kuwa sitakaa mtaani muda mrefu nikisubiri ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…