haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KERO Haya malori yanayopaki barabarani yamekuwa kero

    Hivi hawa jamaa wanajiamini sana! Kiasi kwamba wanaweza kuvunja sheria za mamlaka. Hapa maeneo ya Zakhem Mbagala kuna maroli yanapaki kuanzia service road, barabara ya waenda kwa miguu, mpaka njia moja ya barabara kuu. Hili jambo linasababisha foleni kuwa kubwa na kulazimisha magari ya kawaida...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo namna ya kutamka haya majina

    PHOEBE = fibi DEBORAH = debra YVETTE = ivet PAULA = pola CHARLOTTE = shalot
  3. JamiiForums Tanzania Maisha haya tutayapata lini?

    Unemployment rates inafanya kazi ya walimu kuwa ngumu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimeona mama mmoja analia kwa uchungu mbele ya Mwigulu Nchemba kuwa mtoto wake alitekwa na polisi. Je haya ni maigizo yanayofanywa na Chadema?

    Mama huyu amelia kwa uchungu sana. Tena Waziri mkuu ameona kwa kauli yake kwa kusema kuwa wanaChadema wanajiteka akimaanisha hakuna utekaji. Mama amelia kwa uchungu sana maana anadai polisi walifika nyumbani wakijifanya wamachinga na kumteka mtoto wake tangia mwezi wa nne. My take; hata kama...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa upande wetu wana CCM, kiongozi akishatamka maneno haya huyo Habari yake imekwisha!..

    Kila ninapojaribu kuwa tafakari wana chadema huwa nakosa majibu ya kimsingi kabisa,kwanza kiongozi wa namna hii hata mbingu zimeshamkataa,hakika!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tumia haya maneno Manne kwenye matangazo yako ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua fulani

    Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu ya Mananuzi,kununua Bidhaa zako nk LAKINI Leo nitamalizia maneno mengine matatu ya kuyatumia...
  7. JamiiForums Tanzania Mda wa kujisaidia fanya haya itakusaidia kuepuka baadhi ya changamoto

    Unapo jisaidia haja kubwa hakikisha unafanya haya ili kuepusha bawasiri ya kujitakia. 1. Hakikisha ukifika chooni unachuchumaa na kutulia subiri haja itoke yenyewe. .yaan epuka kuisukuma haja yako kwa kujikamua kwa njia yeyote ile. Lakufanya una chuchumaa tu tulia ukikaa sana huja yenyewe...
  8. JamiiForums Tanzania Haya hapa ni majina matukufu ambayo yamefanya miujiza mikubwa kwa manabii walipoyatamka tu

    Habari ndugu wanajamii Ningependa kushea nanyi list ya majina matukufu ambayo manabii waliyatumia pia, mfano nabii issa(yesu) aliyatumia majina haya kufanya miujiza mingi hata ya kufufua watu, lakini majina haya yalitumiwa na nabii mussa(moses) kuiamrisha bahari ipasuke, lakini majina haya...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kweli Wanaume hawapendi kuulizwa maswali haya sita kutoka kwa wenza wao?

    1. "Uko wapi?" (The Tracking Syndrome) Kisaikolojia: Mwanamke huuliza kwa usalama, lakini mwanaume husikia kama anafuatiliwa au haaminiki (distrust). Ushauri: Badala yake, sema: "Natumai uko salama huko uliko, nakusubiri nyumbani." Hii inampa hamu ya kurudi. 2. "Nipike nini?" au "Tule nini...
  10. JamiiForums Tanzania Haya maneno yamesemwa kweli?au ni uzushi?

    "Chokochoko ya nini sahivi tunaliponya taifa acheni maneno ya kukatisha tamaa yaliyopita yamepita tutafute amani swala la Polisi kuua ni kawaida kikatiba we sahivi mrushie polisi jiwe uone kama hatakushambulia maana katiba yetu ndo inavyosema" 🗣️Thabit Kombo akiongea bungeni kuhusu mauaji ya...
  11. JamiiForums Tanzania Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa

    Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa. Hakuna waafrika pakukimbilia afrika kila sehemu afrika ni kama ring tone zina fanana kwa ujinga wao. Hivi mnajua zile muvi za zombie ujumbe ulikuwa afrika itakuwa kama zombies na control na vikundi vya zombie wenye unafuu. Hii ripoti msije...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana sio kwa madhaa haya

    Jf
  13. JamiiForums Tanzania Usifanye haya mbele ya Maji

    Usiwahi Kunywa Maji yaliyopo Mbele yako mara baada ya kuongea Maneno hasi.. ukizungumza ukiwa na hasira kali mawazo mabaya, Maji huwa na tabia ya kufyonza kila mtetemo wa kila neno ulilotoa. Ikiwa Utazungumza Maneno hasi huku Maji yapo pembeni, Kisha ukabeba Maji hayo na kuyanywa basi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania Nimelipia hostel Dar kwa wanaojiita manabii, nimesomewa vifungu na shehe, nimechanjwa sana usukumani, nimefanya online remedies. Yote haya batili

    NIkupe tu taarifa wewe unae hangaika na vitu vya kufikirika kuwa huu ni uchezaji tu wa akili yako. PESA HUZAA PESA. BAHATI NI PALE FURSA IKUKUTE UKIWA NA UTAYARI. Hakuna cha nyota wala aura, hakuna cha mikosi wala nuksi. Kama umefulia umefulia tu, patabadilika pale utakapo chukua na panaweza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Haya ya Kichwa, polisi siwaamini, wamejijengea sifa ya kutoaminika

    Wamejijengea hawana sifa ya kuaminika. Na hili la kichwa, nitakuwa wa mwisho kuwaamini. Kama walikana kumshikilia Sativa, na mbaya zaidi yule kijana SOKA aliyeripoti kwao kuchukua pikipiki yake, leo eti niwaamini. HAPANA Soma pia Kichwa cha Marehemu James Temba, aliyeokotwa Mto Msimbazi...
  17. JamiiForums Tanzania Ningejifunza haya kabla ya kufika 30

    MAMBO 6 NINGEJIFUNZA KABLA YA KUFIKA MIAKA 30 NAMBA 1 Mwanamke anayekupenda kwa dhati, huwa tayari kubadilika kwa ajili yako. Atarekebisha tabia yake, sauti yake, mienendo yake na kila kitu kinachoweza kuhatarisha kukupoteza. Mapenzi ya kweli huambatana na jitihada za kulinda uhusiano. NAMBA...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kujisumbua vijana watakuwa wengi zaidi na wabishi zaidi kwa maisha haya

    Huwezi kuwalegeza vijana kuacha kudai haki zao kwa kuwapa rojo na uchawa. Vijana wanaona mambo mabaya na miaka ijayo vijana wanaongezeka hawapungui! Ushauri wangu ni kwamba tutengeneze mazingira mazuri na maendeleo hizi porojo za CCM na Samia ni kupoteza muda. Kwa wale wanajali nchi hasa wana...
  19. JamiiForums Tanzania Hata yule Mfungwa wa Kike kumbe naye ni ASKARI !! Haya Majama yanayomzunguka Samia ni Majinga ,yanafanana Kila kitu

  20. JamiiForums Tanzania Haya sasa kimenuka kiwanda cha kusafishq mafuta kujengwa Mombasa sio Tanga mapendekezo ya aliko dangote

    Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani? Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…