hawezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa rafu nilizoziona za Chama cha Mapinduzi kwenye mkutano mkuu itoshe kusema Lissu ni tishio kwa chama kile hivyo hawezi kushinda uchaguzi

    Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
  2. JamiiForums Tanzania Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu? Amekuwa kama underground fulani hivi

    Mpo salama! Kama utafuatilia mikutano na mambo ya CHADEMA utagundua kuwa Sugu ushawishi wake umeshuka Sana. Yaani akiwepo sehemu ni kama hayupo hivi. Yaani huwezi kujua yupo au hayupo. Hakuna anayemzingatia Sana Wala Waandishi wa habari na wachukua kamera hawana habari naye. Na ukimwon labda...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Elon Musk , asema anawaheshimu wanawake japo ni watu ambao hawezi kuwaamini milele

    Elon Akihojiwa na redio , amesema chanzo cha kutengeneza sex robot ni kuokoa Mali, muda na uhai wa wanaume wengi duniani. Akitolea mfano wa sheria za talaka ambapo wanaume wengi hujikuta wakipoteza Mali nyingi walizotafuta kwa jasho lao bila usaidizi wa wenza wao. Amesema ataiuza sex robot...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kutumia P-2 hawezi kushika ujauzito , je afanye nini ili akae sawa

    Ndugu zangu salaam sana.. Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito. Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2 Baada...
  5. JamiiForums Tanzania Ibenge hawezi kuiachia Yanga kirahisi rahisi

    Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea. 1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uropokaji wa Tundu Lissu ni kilema hawezi kubadilika. Tumkatae kabla hajaleta maafa

    Wafuasi wa Tundu Lissu wamekuwa wakimtetea huyu 'masia' wao kuwa ni mkweli, kanyooka, penye nyeusi anaita nyeusi, ni msafi. Lakini siku zinavyozidi kwenda inajidhiilisha Tundu Lissu sio mkweli bali ni mropokaji. Lissu anaropoka jambo lolote ambalo anahisi wafuasi wake watapenda kulisikia na...
  7. JamiiForums Tanzania Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior. Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone. Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Dudubaya: Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti CHADEMA

    Msikie kwenye hii video:-
  9. JamiiForums Tanzania Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono? Yericko; Hawezi kushinda yule

    Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono?? Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono. Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu, Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono?? Yericko: Hawezi...
  10. JamiiForums Tanzania Mke mzinzi hawezi kumwombea mmewake

    Kama ulikua hujui hili basi leo elewa. Kazi ya mke kwenye familia ni pamoja na kumwombea mme wake afanikiwe kila jambo. Kama mke mzinzi basi hapo jua upo peke yako. Mke mzinzi hawezi kumwombea mme wake. Moyo wake unapenda watu wawili wakati akiwa anaomba Mungu anaangalia moyo wake Mungu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Lissu anasema ataweka ukomo wa uongoz. Mbowe anasema hawezi kuachia chama kwenye minyukano. Je, twende na nani?

    Habari wana mageuzi? Nilifuatilia hotuba za magwiji hao wawili wakati wanatangaza nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. Lissu alisema akiwa mwenyekiti Chadema ataweka ukomo wa uongozi Chadema ili kutoa fursa kwa vijana kuchukuwa nafasi ya uongozi. Mbowe yeye slisema hawezi kuachia chama...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Chadema haijawahi kuwa na M.kiti, nje ya Familia ya Mbowe, Hawezi kuvunja mwiko

    Nataka watu watambue kuwa , Toka kuanzishwa Kwa Chadema ambacho ndio chama Cha ukombozi, haijawahi kutokea chama hili kikawa na Kiongozi Mkuu ambaye c mwana familia wa Chadema. Hivyo Mimi naona kwangu itakuwa mtihani mkubwa Kwa Mbowe kuvunja mwiko uliowekwa na waasisi wa Chama hicho, Moja ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kibu Dennis amebadilika sana, hawezi kuendelea kucheza Simba msimu ujao

    Simba sasa hiv inabebwa sana na Kibu Dennis, huyu mwanaume amefika hapa kwa sababu ya zomea zomea yetu mashabiki wa Simba kwake, alikuwa akifanya makosa mengi sana kiasi kwamba tulidhani hastahili kuchezea Simba, nayakumbuka sana maneno ya Mzee Magori alipomzungumzia mchezaji huyo wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe hawezi kupambana na matakwa ya muda

    Muda huwa ni Mwalimu sahihi kwa lolote jambo, Mfalme mpya bwana Mbowe yampasa atambue. Bwana Mbowe anaweza kuhonga pesa kwa wapambe akidhani atabadiri upepo umtakao aondoke. Bwana Mbowe anaweza kuahidi vyeo kwa vyawa wake ili kwa kujidanganya huenda watampigania ili labda ile kukubalika kwake...
  15. JamiiForums Tanzania Ntobi: Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa

    Ntobi, mwenyekiti wa Chadema mkoa wa shinyanga na Kijana mtiifu wa Mbowe ameendelea kushambulia wasiomuunga mkono Mbowe. Safari hii anasema kuwa John Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa. Heche ambaye amewai kuwa mwenyekiti wa bavicha taifa, diwani na mbunge. Kwa sasa vijana wa Mbowe...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni dhahiri Lissu akishindwa Uenyekiti hawezi kubaki CHADEMA. Akibaki naye atakuwa Walewale tu

    Habari za Leo. Hakuna kitakachomfanya Lisu aendelee kubaki CHADEMA. Lisu anagombea uenyekiti ili aisafishe CHADEMA Hasa kwenye Safu ya juu ya uongozi ambayo anaishutumu imechafuka kwa Rushwa na matendo ya kifisadi. Ikitokea Lisu amepigwa chini. Na uongozi ule anaosema umechafuka kwa Rushwa...
  17. JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya zinabebwa na Wakenya na sio viongozi wa Upinzani, Tanzania hilo hatuwezi, Lissu hawezi ingia barabarani mwenyewe

    Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv. Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya. Wakenya hata usiku wa manane ukwaamusha ukawaambia tuingie Barabarani wanaingia. Mikutano ya hadhara Kenya haihitaji...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nisikilize, upepo wa kisiasa uko kwako 100% lakini mkakati wa kuibiwa kura umeshaanza kusukwa, jiandae

    Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu anaweza kuivusha nchi lakini hawezi kukivusha chama chake!

    Haya maajabu au dharau kwa watanzania? Kwamba baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wanasema Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao lakini hao hao wanasema anafaa(alifaa mwaka 2020) kuongoza nchi nzima ya Tanzania. Tutafakari! Demokrasia iwe kwa vitendo siyo kwa maneno matupu ya majukwaani au...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Rais ajae baada ya Suluhu atatokea kusini mwa Tanzania Bara, Ni Mwanamke Tena !!

    Binafsi ningependa Rais ajae atokee upinzani lakini kwa hali ilivyo hata uwezekano mdogo haupo, hatuna budi kumsubiri rais ataepitishwa na chama Tawala. Ni dhahiri Rais Ajae lazima awe mkristo kwa utamaduni wa chama tawala, hii imerahisisha zaidi kumjua Rais ajae ikiwa bado atakuwa hai. Wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…