hawana

Yajna (Sanskrit: यज्ञ, romanized: yajñá, lit. 'sacrifice, devotion, worship, offering') refers in Hinduism to any ritual done in front of a sacred fire, often with mantras. Yajna has been a Vedic tradition, described in a layer of Vedic literature called Brahmanas, as well as Yajurveda. The tradition has evolved from offering oblations and libations into sacred fire to symbolic offerings in the presence of sacred fire (Agni).Yajna rituals-related texts have been called the Karma-kanda (ritual works) portion of the Vedic literature, in contrast to Jnana-kanda (knowledge) portion contained in the Vedic Upanishads. The proper completion of Yajna-like rituals was the focus of Mimansa school of Hindu philosophy. Yajna have continued to play a central role in a Hindu's rites of passage, such as weddings. Modern major Hindu temple ceremonies, Hindu community celebrations, or monastic initiations may also include Vedic Yajna rites, or alternatively be based on Agamic rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu Sifa kuu za Muislamu ni pamoja na kujizuia, uvumilivu, kusamehe, huruma na hawana woga wa kusema ukweli tuifate dini ya mwenyezi Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18) Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini Simu nyingi za Samsung Hawana inbuilt Call recorder na VoLTE?/5G?

    Unakuta flagship kabisa hawana hii option wakati ni jambo dogo sana kuliko kuanza ku install ma third party applications? Kuna baadhi zinakuja na hii option nyingine ni mpk u download. Nani Samsung yake ina support hii kitu? Kuhusu VoLTE/5G nishakuaga na Samsung A9 Pro 2016 ilikua na hii...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiwa Boss kazi inapotokea wafanyakazi hawana maelewano

    Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea wafanyakazi wako hawapendani inakupa ugumu umuache nani ubaki na nani wakati wote...
  4. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

    Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
  5. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

    Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza...
  6. JamiiForums Tanzania Ripoti FAO: 64.8% ya Watu barani Afrika hawana uwepo wa kupata Chakula Bora

    RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani hawana uhakika wa Kupata Chakula Bora ambapo Bara la Asia ni Milion 467, Afrika Milioni 316, Marekani...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga anaanda kikosi Cha CAFCL, niwatoe hofu Simba tarehe 8 leteni timu msiogope Wala Yanga hawana tatizo na nyie, sisi ni ndugu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana Bingwa na Makamu wao wala hawana Mbwembwe, ila wa Nyuma yao ndiyo wana Mbwembwe zinazotia Shaka mbeleni

    Yaani Mwanafunzi aliyekuwa wa Kwanza pamoja na Mwenzake wa Pili katika Darasa Wao wala hawana Shobo na Mbwembwe ila yule aliyeshika Nafasi ya Tatu ndiyo anasumbua Darasani kiasi kwamba Walimu wanajiuliza hivi ingetoa Yeye ndiyo kawa wa Kwanza au wa Pili si angeshangilia Shule nzima na pengine...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nani anafahamu kampuni au ofisi inayomilikiwa na Nape au Makamba? Kama hawana ofisi watakubali kuishi bila kazi ya uteuzi?

    Viongozi wengi wa kisiasa Tanzania hasa wa chama tawala hakuna kumbukumbu zao za kumiliki biashara wala ofisi au kampuni. Mfano Nape na Makamba tofauti na kazi ya ubunge qwalipaswa kumiliki kampuni na ofisi kwa ajili ya kuanza kufanya kazi kipindi hiki ambacho wametambuliwa. Kukosa ajira ya...
  10. JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Tuseme tu Hawana Uwezo?

    Na. M. M. Mwanakijiji https://youtu.be/R6TiVOZZZj4?si=iM4J0sv3gbtjSNmI Waliitwa vijana...nakumbuka walipotumbuliwa nilisema ni ujana tu unawasumbua. Nikasema warudishwe labda wamejifunza. Tukaseme wapewe nafasi tena Alipokufa JPM hawakuficha hisia zao kuonesha hasimu kaondoka na wala kupima...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Umri unaenda aisee, nachanganyikiwa! Samahani niliowatukana kwasababu umri mkubwa halafu hawana kitu

    Kiukweli hapa nilipo nachanyikiwa Sana wakuu sijui nifanyeje kiukweli Kama ingewezekana kuna uwezo wa kurudisha siku nyuma ningefanya hivyo lakini ndiyo hivyo haiwezekani hata kidogo aisee ndugu zangu mniombee kabisa Unajua kipindi Niko kijana barobaro kwenye mwanzoni mwa miaka 20 nilikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Sky News majuzi walikuwa busy Kushangilia kutinga Fainali hadi kusitisha Vipindi vyao Vingine mbona Usiku huu wanajifanya kama bado hawana Matokeo?

    Yaani Msipenga leo kajua kweli kutufurahisha Watu ambao hatupendi Shobo na Sifa za Watu Fudenge Wakoloni wetu.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Suala la usajili wa wa Clatous Chama limedhihirisha kuwa vyombo vya habari vya michezo nchini ni waongo na hawana uwezo wa kuchunguza na kupata ukweli

    Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala sio wachambuzi au wachang'ombe feki hapa nchini. Hebu fikiria ndipo uone kuwa vyombo vya habari...
  14. JamiiForums Tanzania Simba wamemchoka Chama hawana haja naye Yanga tumchukue

    Viongozi wengi hasa Mo Dewji amekataa kumlipa zaidi Chama. Na anasema amechoka na kelele za kuhusu Chama. Akina Magori wanaunga mkono. Aachwe. Mashabiki wengi wa Simba wamemchoka. Wamebaki wachache. Umri nao unaenda nadhani tumchukue Yanga. Miaka mingi tumemtaka Chama. Huu ndo wakati wetu sasa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Waliomuua yule mtoto albino wahasiwe haraka sana, hawana sifa ya kuitwa binadamu

    Huyu mtoto hadi mmekatisha uhai wake amewakosea nini jamani, hili jambo kila ninapofanya shughuli zangu linanijia, nimevaa uhusika kuwa yule ni binti yangu amefanyiwa unyama ule, niko katika hali gani. Kweli nyie mliofanya unyama na ukatili kiasi hicho mnastahili kuwepo duniani kweli? Huyu...
  16. JamiiForums Tanzania Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA asema "Waandishi wengi wa Habari hawajui kusoma tarakimu"

    Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA, Inj. Andrew Kisaka, amesema asilimia kubwa ya Waandishi wa Habari hawajui kusoma tarakimu hasa wakiandikiwa ili wasome, kwani wamezoea maneno isipokuwa tarakimu za laki kwani ndizo wanacheza nazo kila wakati, hivyo hivyo ameiomba Tume Huru ya Taifa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mainjinia hawana stress

    Kada mnazoongoza kujiua ni watu wa Afya madaktari, watu wa fedha TRA mna mshahara mkubwa ila bado mnajiua.. Watu wa usalama mapolisi na jeshi nao mnakufa kufa mnajiua. Mainjinia hakuna Kujinyonga ni wanakula tu maisha hawamsikii Profesa Janabi wanakula na kunywa na kucheza mziki.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia: Niliporuhusu wapinzani wafanye siasa hawana cha kusema zaidi ya kunitukana

    Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa CCM walimpinga sana ila hakuhofu ila hata alipowaruhusu wamejikuta hawana cha kusema zaidi ya kumlipa matusi.
  19. JamiiForums Tanzania Ukraine inao wa kuwasaidia, Russia vilevile, hawa wapalestine hawana faida Duniani? Mbona ni tofauti na yalivyo mataifa mengine yaliyo na vita?

    Wapalestine watakwisha hivihivi tunajionea Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje kiutatautata tu na mambo yakaishia hapo Ukraine inao NATO, vilevile Russia ina China, SA, Korea...
  20. JamiiForums Tanzania FT: Borussia Dortmund 0 - 2 Real Madrid | Uefa Champions League Final | Wembley Stadium | 01.06.2024

    Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London. Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…