hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa yanayoendelea ni wazi kuwa kuna watu wanamhujumu Rais Samia. Hatua za haraka zichukuliwe kuwadhibiti

    Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini. Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi...
  2. S

    Ni hatua gani zinastahili kuchukuliwa endapo Rais atavunja Katiba kwa kukusudia au kutokukusudia?

    Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, kwamba ikiwa iko wazi na dhahiri kabisa kwamba raisi wa Tanzania anaekuwa madarakani, anaamua kwa makusudi na huku akijua hilo, au kwa kushauriwa vibaya, au kwa kutoelewa, anavunja Katiba ya Tanzania (yaani kufanya uamuzi au kuchukua hatua inayoenda kinyume...
  3. Mbunge Stella Ikupa: Hatua gani zimechukuliwa kwa Halmashauri zisizonunua mafuta ya watu wenye Ualbino

    Mbunge Stella Ikupa: Hatua Gani Zimechukuliwa kwa Halmashauri Zisizonunua Mafuta ya Watu Wenye Ualbino. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Festo Dugange amesema hadi sasa ni halmashauri 41 pekee nchini zilizotenga fedha kwa ajili ya ununuzi wa mafuta...
  4. Vodacom nawapa onyo kwa mara ya mwisho kabla sijafuata hatua mpya

    Ndugu zangu hamjambo ? Natumia ukurasa huu kuwaambia watumishi wa Vodacom na wahusika wote wa MGODI kuwa mtamponza mtumishi wenu kwa hizi sarakasi zenu . Mimi natumia laini ya voda mwaka jana nilijiunga na huduma ya MGODI specifically nilipendelea kuweka kiasi cha akiba kwenye akaunti ya akiba...
  5. Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

    Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage uhaba wa dola. Nchi hufanyaje hivyo?
  6. Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

    Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola. Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi. Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku. Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia...
  7. P

    Wanaosoma magazeti kwa mbwembwe kuchukuliwa hatua

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itawachukulia hatua baadhi ya watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe huku wakiongezea baadhi ya vitu wakati wa usomaji. Hayo yameelezwa na Meneja Huduma za Utangazaji, Andrew Kisaka katika mkutano wa mwaka wa vyombo vya utangazaji nchini...
  8. M

    TCRA: Vyombo vya habari vinavyochanganya lugha kuchukuliwa hatua, ‘kuna haja ya kukiita kipindi Goodmorning?’

    Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua. 📹 TheChanzo Written by Mjanja M1 ✍️
  9. M

    Watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe kuchukuliwa hatua

    Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka, amesema kuwa watangazaji wote wanaosoma Habari kwa Mbwembwe na kuongeza chumvi kwenye habari wanazosoma watachukuliwa hatua. 📹 TheChanzo Written by Mjanja M1 ✍️
  10. Nchi kadhaa duniani zaanza kuchukua hatua dhidi ya Israeli juu ya operesheni yake ya kijeshi huko Rafah ambayo yaua wapestina wengi

    Israeli bado yaendelea na operesheni yake katika mji wa Rafah ulioko shemu ya Khan Younis ambayo ipo sehemu ya kusini mwa mji wa Gaza yenye wapestina wapatao milioni 1.4 Operesheni hiyo imeanza kutoa idadi kubwa ya vifo vya wapalestina pamoja ya idadi ingine ya vifo inotokea katika Ukanda wa...
  11. Serikali ya Tanzania itoe VISA free kwa wahindi, wachina, wakorea, wajapan katika hatua za mwanzo

    Napendekeza serikali ya Tanzania ichukue hatua katika haya mapendekezo yangu. 1. Napendekeza serikali ya JMT itoe visa free kwa raia kutoka India, China, Japan na Korea - katika mchakato wa visa free kwa mataifa mbalimbali tuanze na hayo mataifa manne kwanza kwa miaka 20 ya mwanzo. 2...
  12. Kwanini wanaotoa ushuhuda makanisani huwa hawachukuliwi hatua za kisheria?

    Moja kwa moja.... Nilimsikia mama mmoja anasema katika ulimwengu wa roho amechinja wachawi karibu mia, alipewa upanga na malaika. Sasa watu mia kuchinjwa rohoni ni upotevu mkubwa wa nguvu kazi. Mwingine unamsikia anasema walikuwa wachawi, wanasababisha ajali, wanakinga damu. Wanajinadi kuwa...
  13. Natamani kufahamu hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa wakala wa kampuni za betting

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natamani kufaham hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa WAKALA wa kampuni za Betting kama, MERIDIANBET, PLAYMASTER, PRIMIERBET na nyingine zinazofanana na hizo. Naomba Mwenye uzoefu au aliyefungua Ofisi anisaidie hatua za kufuata niweze kufungua Ofisi Mkoani...
  14. Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja unakiona kwenye ramani kama ilivyo google map, tofauti na ile ya kwenye karatasi. Wengi tuna viwanja...
  15. Ndugu yangu kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha hapa namanisha kiuchumi basi fanya hivi

    Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi. Acha Kuendekeza wanawake Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo; 1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa. 2. Kuwa na mwanamke mpambanaji...
  16. New app for learning English: Kiingereza - Hatua kwa Hatua

    I would like to announce the launch of a new course for Swahili speakers to learn basic English. Its name is Kiingereza - Hatua kwa Hatua. I'm the author of this course and I feel that it has the potential to have a very positive impact on education in Tanzania, in particular by providing a...
  17. Katika hatua ya makundi AFCON, Aishi Manula ashika namba nne kwa ubora miongoni mwa walinda milango wote

    Mtandao wa Sofascore umetoa ubora wa walinda milango katika hatua ya makundi ambapo mlinda mlango wa Tanzania, Aishi Manula, amefanikiwa kuwa katika namba nne kwa ubora katika orodha ya walinda milango wote walioshiriki katika mechi za AFCON 2023 hatua ya makundi. Orodha kamili iko hapa:
  18. Hii hapa ratiba ya Hatua ya 16 Bora ya AFCON 2023 Nchini Ivory Coast

    Baada ya Tanzania kushika nafasi ya mwisho katika Kundi F na kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataofa ya Afrika (AFCON2023), ratiba ya Hatua ya 16 imejulikana. Timu ambazo zimeingia hatua hiyo kupitia nafasi ya Mshindi wa Tatu Bora ni Guinea, Namibia, Mauritania na wenyeji Ivory Coast...
  19. C

    Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kurudia mtihani wa Kidato cha Nne

    Naomba Team mnipe hatua zamsingi za kuzingatia ili kujiandikisha kuridia mtihani wa kidato cha nne. (Mhitaji anataka kituo tu, yeye atajisomea online).
  20. Hivi kikawaida sijui hapa tuchukue hatua gani dhidi ya huyu mchungaji...

    Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja. Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea. Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana). Jana wakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…